Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
ben Saanane
Hivi vyama ni institutions na vipo kisheria na wengi tunasimama nyuma ya vyama kwa sababu vinawakilisha misimamo kama tuliyonayo au vinatoa fikra mmbadala nje ya chama tawala. SO hizi tasisi they are there to stay until we no longer need them. Wewe unamsimamo wako kama mwanachama lakini si lazima msimamo wako ni wa chama au wa nchi. HATA KWENYE DINI KUNA WATU WANA MISIMAMO MIKALI, ITS GOOD BUT FOR SOMETIMES BUT IS NOT GOOD ALL THE TIME.
Its said ''measure of courage is to survive and not to die''. Jifunze kusamehe mwanaume mwenzako anapoamua kukubali yaishe na kuwa mpole mind u sio mpumbavu. Zitto ameamua kukaa kimya na humsikii tena akiongelea haya na alitumia ustaarabu mkubwa sanaa kwa kauli yake ya kufunga mwaka mpya hapa JF.
Kwa akina mwampamba, shozya and the like..... nashangaa hata ukijibishana nao, they have already choose they path na bahati mbaya wako CCM lakini hawalali wakifikiria CDM, they say ''u cannot hate a person u dont love".

Be strategic matamko na publicity za kwenye JF zitakupoteza.
Kuendesha chama cha upinzani ni kazi kubwa na ina challange nyingi na kwa hili CDM lazima ipitie mapito ya aina hii, na viongozi tunaowataka ni wale ambao wako tayari kuanguka wao na kubeba mzigo wa makosa yao bila kukiangusha chama. Vilevile kuna haja ya CDM kutafakari na ikiwezekana ijivue kabisa na ikae pembeni kwa viongozi wanaopatikana na sakata kama la Lwakatare. Inaweza kusaidia but it should not get itself caught in unless is political game that cdm will benefit. Lwakatare alikuwa ni mkuu wa usalama na mahali alipojiingiza inabidi aubebe msalaba huo, simhukumu na siamini kama ana makosa lakini chama kama taasisi kikae pembeni.
Ugomvi wowote kati yako na Zito au na mwanachama yeyote lazima utueleweshe una faida gani kwa chama na siasa za vyama vingi Tz kabla ya kuhamasisha yeyote ajiunge nao.

Mimi ni mtanzania na nipo tayari kuipigania Tanzania kwa sababu za msingi na zenye kutuletea mafanikio ya baadaye. Huwa sipendi kutishia au kutishiwa na mtu yeyote na by the way huwa sitishii(natenda).

Haya masifa ya humu JF hayana faida yoyote kwa ustawi wa siasa za upinzani na mwisho wa siku yatabomoa na si kujenga.
 
hiyo ni lazima, na watasemana tu,si unajua kipigo cha polisi wa bongo. Jamaa wanapiga huku umewekwa kwenye life support ili usife.

Pia kuna haja ya kuchunguza watu waliouliwa kwenye vikao vya chadema wenda huwa kuna watu wako staged kama sniper.
 
Mbona Juliana Shonza hajapost humu kwa muda sasa?

Huwa napenda sana swagga zake.

Yeye huja na kuanzisha sredi halafu huyo anasepa anawaacha mnararuana na kuparuana hapa.
hahaaa nipo mkuu si unajua mimi nikishusha nashusha vitu heavy weight with supportive evidence sio kama huyu msaga sumu ben anajishtukia maana anajua aliyotaka kuyafanya na hapoo amekaa mguu pande anajihisi kutajwa mda wowote
Kale kamdada bana. Katata sana.
hahaaaaa nipo mkuu si unajua mimi nikishusha napigaa nondo za uhakika with supportive evidence sio kama huyu msaga sumu ben
 
Hahha oh boy Ben Saanane
Vyombo gani vya habari vimekuandika? Huwa unanifurahisha unavyojifikiria wewe ni maarufu@ kumbe umaarufu wako unaishia jf tu.
Wacha wee, kwahiyo unawapa tiss info kupitis jukwaa hili? Hshahaaa amaa kwelI umepanick... just relaxxx boy! Lol
 
Last edited by a moderator:
wacha nichape usingizi nitakutana na informed data asubuhi
 
Mkuu Saanane,
Hii sasa mnaenda mbali sana. Kijana si una elimu yako nzuri tu?
Tafuta kazi maana siasa za namna hii ni hatari mno hata kwako mwenyewe.

Ni ushauri?

Hao wawili upande wa kulia kwa Zitto ni nani?

mkuu nadhani ben anaweza kukusaidia kwa hili maana inaonekana yeye ndo aliewapiga picha
 
wamekosa muelekeo,badala ya kupeleka maswala polisi wanakuja kulia lia humu jf, cdm inauliwa na njaa za vijana.

kweli mkuu huyu mtoa mada anawekwa mjini na chadema sasa asipoandika huu ----- wake humu mkono hauendi kinywani.
 
Ben Saanane ni mhusika katika hili,huhitaji hata kujiuliza mara mbili, Ben anaonekana ni professional katika mambo haya,anajua anachokifanya ndo maana alijiandaa na "cover up story" kujiweka on safe side meanwhile kutafuta scape goat. Ila mbinu zake this time ni very cheap isipokua kwa wajinga wachache.

kuna maswali ya msingi hapa njoo ujibu Ben Saanane uliyo ulizwa na The Boss.

KUHUSU HII YA

‘’ kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,Kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.

Yaani,nakuombea uwe hai ushuhudie mwaka huu watu wanavyoumbuka.Asante mungu kwa kufanikisha hatua zote kilichobaki ni kuweka kwa tv muone "


1. wewe binafsi ulikua Masalia ,na akaunti ya tuntemeke ni wewe pekee umekiri mmeitumia pamoja kama masalia. kwa kua ulijiunga na masalia ki mkakati bila shaka unajua password..i bet hii qoutation hapo juu uliandika wewe mwenyewe kupitia account ya tuntemeke, 2months ago,ili iwe cover up story kwa kua ulijua tukio hili la kibanda na mkanda vinakuja,ili kukuweka wewe on safe side,na kuwaangamiza wenzio as scape goat.

2. huenda account ya tuntemeke haimilikiwi na masalia kabisa kama unavyo dai,ili wewe ndo mliki wa acccount hiyo,na unaitumia kama kete ya kisiasa kuwa chafua wenzio na ku pre empty issue kama hizi. Ben u real know what he is doing,tatizo pro cdm wengi wameshikiwa akili,hawafikiri sawa sawa.

NB; nshasema toka desemba kwamba hakuna yeyote ndani ya cdm anae mjua ben vizuri na kazi anayo fanya huko,si slaa wala zitto ambao wote kwa nyakati tofauti wamejikuta wanafanya nae kazi kama royal agent wao. period

Mkuu upo sawasawa kabisa chezea ben wewe waache waendelee kumchekea mwisho wa siku watavuna mabua kama walivyovuna kwa lwakatale ,ben anajua password za id ya tuntemeke na alikuwa anaitumia kuwapiga kina slaa kabla masalia hawajamkamata na sumu aliyokuwa ametumwa kumuwekea zitto.inasemekana masalia wale mapacha watatu kwa maana ya shonza au iron lady,Mwampamba na mchange walishachange password ya tuntemeke hivyo jamaa hana access nayo tena
 
Ben Saanane ni mhusika katika hili,huhitaji hata kujiuliza mara mbili, Ben anaonekana ni professional katika mambo haya,anajua anachokifanya ndo maana alijiandaa na "cover up story" kujiweka on safe side meanwhile kutafuta scape goat. Ila mbinu zake this time ni very cheap isipokua kwa wajinga wachache.

kuna maswali ya msingi hapa njoo ujibu Ben Saanane uliyo ulizwa na The Boss.

KUHUSU HII YA

‘’ kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,Kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.

Yaani,nakuombea uwe hai ushuhudie mwaka huu watu wanavyoumbuka.Asante mungu kwa kufanikisha hatua zote kilichobaki ni kuweka kwa tv muone "


1. wewe binafsi ulikua Masalia ,na akaunti ya tuntemeke ni wewe pekee umekiri mmeitumia pamoja kama masalia. kwa kua ulijiunga na masalia ki mkakati bila shaka unajua password..i bet hii qoutation hapo juu uliandika wewe mwenyewe kupitia account ya tuntemeke, 2months ago,ili iwe cover up story kwa kua ulijua tukio hili la kibanda na mkanda vinakuja,ili kukuweka wewe on safe side,na kuwaangamiza wenzio as scape goat.

2. huenda account ya tuntemeke haimilikiwi na masalia kabisa kama unavyo dai,ili wewe ndo mliki wa acccount hiyo,na unaitumia kama kete ya kisiasa kuwa chafua wenzio na ku pre empty issue kama hizi. Ben u real know what he is doing,tatizo pro cdm wengi wameshikiwa akili,hawafikiri sawa sawa.

NB; nshasema toka desemba kwamba hakuna yeyote ndani ya cdm anae mjua ben vizuri na kazi anayo fanya huko,si slaa wala zitto ambao wote kwa nyakati tofauti wamejikuta wanafanya nae kazi kama royal agent wao. period

Unajaribu sana kupindisha ukweli.Sijawahi kuitumia ID ya TUNTEMEKE.Sikua interested.nilitumia ID yangu hii na ndiyo maana hata michango yangu humu ilikua ikiniweka matatni sometimes.I'm not a coward

ID ambayo nina Pasword yake ni CHAUMMA ambayo tuliifungua mimi na Kafulila na Mawazo aliyekua katibu Mwenezi na Itikadi wa CHAUMMA pale makao makuu ya CHAUMMA.

Baada ya kuweka wazi walichokua wakipanga CHAUMMA dhidi ya CHadEMa na upinzani nilibadili ile pasword haraka.Mind you baadhi yenu hadi juzi juzi mmekua mkiwasiliana na kutuma pm mkidhani mnaendelea kuwasiliana na viongozi wa CHAUMMA

kile nilichoahidi ndicho kilichotokea.Ndugu David amerudi kuomba Msamaha NCCR-Mageuzi(Vyombo vya habari vya leo jumanne vimeripoti).Acha upotoshaji huu
 
Mkuu unaposhindwa kujibu maswali rahisi, wadau waliokuuliza unazidi kuwapa fursa ya kukushuku zaidi. Umeulizwa maswali kuhusu Ludovick, nafikiri unge-clear hizo swali.
inaogopesha ila tuna tumaini atajibu tu... binafsi nalisubiri hili jibu ...
 
Mwaga usi subiri ajitokeze kupinga, huyo jamaa hawezi kujitokeza kabisa!

Pasipokumungunya neno mipango yote ya kuihujumu chadema anairatibu mwigulu nchemba,ajitokeze hapa kupinga nimwage mambo hadharani
 
Hahha oh boy Ben Saanane
Vyombo gani vya habari vimekuandika? Huwa unanifurahisha unavyojifikiria wewe ni maarufu@ kumbe umaarufu wako unaishia jf tu.
Wacha wee, kwahiyo unawapa tiss info kupitis jukwaa hili? Hshahaaa amaa kwelI umepanick... just relaxxx boy! Lol
Ameshaona dalili za jela zinanukia na waimba nyimbo za ukombozi wamebadilisha santuri sasa wanaimba mapambio na kuwaombea wakapumzike kwa amani.

 
Unajaribu sana kupindisha ukweli.Sijawahi kuitumia ID ya TUNTEMEKE.Sikua interested.nilitumia ID yangu hii na ndiyo maana hata michango yangu humu ilikua ikiniweka matatni sometimes.I'm not a coward

ID ambayo nina Pasword yake ni CHAUMMA ambayo tuliifungua mimi na Kafulila na Mawazo aliyekua katibu Mwenezi na Itikadi wa CHAUMMA pale makao makuu ya CHAUMMA.

Baada ya kuweka wazi walichokua wakipanga CHAUMMA dhidi ya CHadEMa na upinzani nilibadili ile pasword haraka.Mind you baadhi yenu hadi juzi juzi mmekua mkiwasiliana na kutuma pm mkidhani mnaendelea kuwasiliana na viongozi wa CHAUMMA

kile nilichoahidi ndicho kilichotokea.Ndugu David amerudi kuomba Msamaha NCCR-Mageuzi(Vyombo vya habari vya leo jumanne vimeripoti).Acha upotoshaji huu

Hey guy kweli wewe ni noma kwahiyo hata chaumma nako ulikuwepo ukishiriki kujenga chaumma nimeamini wewe kijana ni jasusi huoni hata aibu kutoa siri zako hadharani au lile tatizo lako sugu la kichwa limeanza nakukusababishia kukata network.eenhee endelea kutujuza kwahiyo pale chaumma wewe ulikuwa na nafasi gani.HALAFU SI NDIO WEWE ULIPELEKA UMBEYA KWA BABU KWAMBA KINA SHONZA WAMEANZISHA CHAUMMA?vipi tena leo uamue kujiumbua?au kwakuwa ushafanikisha lengo lako japo moja la sumu lilidunda hatimaye ukajikuta uko chini ya mikono ya masalia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom