Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
hahaaaaa nipo mkuu si unajua mimi nikishusha napigaa nondo za uhakika with supportive evidence sio kama huyu msaga sumu ben

Wewe ndio MOJA kati ya vijana ambao CCM inajivunia kuwapata toka upinzani, achana na masiasa ya kuchafuana jenga cariier yako as young politician. Kiukweli naboreka na mapambano ya kuchafuana ya wanasiasa haswaaaa vijanaa... inaboaaaaa mbayaaa... upo CCM jenga CCM aliyepo CDM ajenge CDM. Mimi kama mtanzania kijan ni kuwa na Tanzania yenye mfumo mzuri wenye uwajibikaji so naturally siwezi kuwa mshabiki wa chama Tawala ila sikichukii chama tawala na sio mshabiki wa upinzani.... i need to see Tz inakuwa kama UK au USA na sio business as usual, mwenzetuu, cham kimeshika hatamuuuu..
I believe u have every chance to be a good politician for the coming generation hii mambo ya siasa chafuu tuwaachie wakina wasira na kizazi chao tujenge Tanzania ya kuwajibika na kufanya kazi kujenga nchi...
Bila kuwa na mfumo wenye check and balance Tanzania itabakia maskini hata wajukuuu zetu watakuja kutuchapa viboko kwa upumbavuu huuu... So kwangu mimi kuuu ya Tanzania nitapigana na mtu ambaye anataka kuua mfumo wenye uhuru wa kusoana na kuwa mbadala wa mawazo ya upande wa pili. We all need upinzini kwa ustawi wa nchii usjidanganye.. CCM bila upinzani imara ni jangaa la Taifa
 
  • Thanks
Reactions: ILA
Jamani wanasiasa watanzania inatosha sasa tujenge taifa letu na tuachane na hali ya vituko vinavyoendelea na mwisho

wake ni laana.Mungu tunaomba walionachuki binafsi uwape roho ya kusamehe na kusahau, na wale wenye uwezo wajione kama

hawana uwezo.Tujalie hekima kutoka kwako na kila mtanzania aweze kuwa na moyo wa upendo, umoja, na atembee na

kushirikiana pamoja na watu wote bila kujali itikadi za vyama, kabila, rangi, dini, elimu, utajiri.

Nashukuru Mungu kwa kunipa uhai ili nijionee wanadamu wanavyoumizana kuzidi wanyama kwa sababu wamekosa kuwa

na hofu yako
 
Ben mbona umemsahau hata mbowe aliwahi kusema kwenye media kuwa kuna watu wana mpango wa kuwaua viongozi wa chadema?
 
Kinachosikitisha kuna watu hata humu ndani ya JF ambao bado macho na akili zao hawajaweza kuona Ubaya wa CCM. Hapo ndo inaonyesha jinsi gani tuko na safari ndefu. Nilikuwa sijaelewa maana ya Chadema kuvaa magwanda, kumbe waliona mbali kuwa kazi ya Ukombozi ni vita. Kila mwana Chadema awe tayari kupigana vita (si kwa bunduki) kuiongoa CCM.
 
Ben,

Kwenye thread ya 'hugochavez' ya kwanza juu ya sakata la Lwakatare...ulitoa post ya mshangao tu. Kwamba 'Ludovick ! ', ukaishia hapo na hukuendelea na comment yoyote.
Kwa maswali kedekede juu ya ufahamu wako kwa Ludovick, nini unachoweza kutuambia. Je unamfahamu Ludovick au haumfahamu?
 
Mwigulu Mchemba na Nape Nnauye ni watu wa kukamatwa mara moja haiwezi kuwa hivi wao wataamke before kuwa wana video then baada ya miezi kadhaa tatizo litokee,hivi siasa za Tanzania zimekaaje?Yaani wamechokonoa mambo mengi kuhusu Chadema wameshindwa sasa wanakuja na Ugaidi ati na wamemshitaki Kamanda Lwakatare kwenye mahakama ya Tanzania hii kali ya mwaka.Tangu lini mahakama za Tanzania zikasikiliza kesi za Ugaidi wajamen??hebu nisaidieni hapa
 
Ben,
Wewe subiri Lwakatare na Ludovick wakutaje ukathibitishe ile sumu uliyopewa kumpa Zitto. Kwa sababu ulishakiri itarahisisha kazi ya hakimu...

mbona kwenye hati ya mashtaka hakuna ambapo Ben ametuhumiwa kumpa sumu Zitto?. Au kuna plaint nyingine naandaliwa na DPP?.
 
Swali kwa Saanane?
Hivi umewahi kukutana na Ludovick?

Niitwe Mahakamani nikahojiwe kuhusu hili.Unless kama kuna mtu mwenye reference ailete hapa kama mimi nilivyoweka reference.Hata hivyo ijulikane kumjua/kumfahamu/kukutana na mtanzania yeyote awe mwanachama au si mwanachama wa CHADEMA si dhambi.
 
Ben Saanane wewe mbio za sakafuni mwisho wake ukingoni,jibu maswali kuhusu LOdovick Yaliyo ulizwa na The Boss.
sipendagi porojo na ku divert maada kama ulivo fanya ktk majibu yako ya awali kuiweka CHAUMMA humu,hope hautaizungumzia tena atleast leo tu focus katika issue 3

1 .ushiriki wako katika kumteka kibanda.
2. filamu ya lwakatare na
3. mahusiano yako na ludovick kabla hajakamatwa
 
Last edited by a moderator:
Hey guy kweli wewe ni noma kwahiyo hata chaumma nako ulikuwepo ukishiriki kujenga chaumma nimeamini wewe kijana ni jasusi huoni hata aibu kutoa siri zako hadharani au lile tatizo lako sugu la kichwa limeanza nakukusababishia kukata network.eenhee endelea kutujuza kwahiyo pale chaumma wewe ulikuwa na nafasi gani.HALAFU SI NDIO WEWE ULIPELEKA UMBEYA KWA BABU KWAMBA KINA SHONZA WAMEANZISHA CHAUMMA?vipi tena leo uamue kujiumbua?au kwakuwa ushafanikisha lengo lako japo moja la sumu lilidunda hatimaye ukajikuta uko chini ya mikono ya masalia

Hivi kuna siri gani CHAUMMA chama ambacho kimekufa?Kuna baadhi yenu hapa mlijifanya wanachama waaminifu wa CCM kabisa lakini mkawa mnataka kadi za CHAUMMA na kuomba uongozi kupitia PM.Mwingine ni muandishi anayejipambanu kuwa mwanasheria humu na bingwa wa mtandao wa mgombea mmoja mtarajiwa wa CCM.Sitamtaja jina .Ha ha ha(Unafiki Mbaya)
 
Ben,

Kwenye thread ya 'hugochavez' ya kwanza juu ya sakata la Lwakatare...ulitoa post ya mshangao tu. Kwamba 'Ludovick ! ', ukaishia hapo na hukuendelea na comment yoyote.
Kwa maswali kedekede juu ya ufahamu wako kwa Ludovick, nini unachoweza kutuambia. Je unamfahamu Ludovick au haumfahamu?

huyu Ben Saanane anajua scenario nzima,na maji yamezidi unga anatapatapa, fitna malipo yake fitna,dhambi ya uzushi na uchonganishi hulipwa malipo hayo hayo.

ni kweli watz tumedhulumika sana kiuchumi,ni kweli serikali ya CCM haifanyi deliverance inayo takiwa,ni kweli vyombo vyetu vya usalama vina pwaya.lakini yote haya asije kibaraka akajivika u malaika kwa kutumia matatizo yetu na kujifanya anataka kutukomboa.Hapana Ben huu uhuni,haukubaliki. sema ukweli kuhusu haya matukio na ushiriki wako.
 
Last edited by a moderator:
Ben Saanane wewe mbio za sakafuni mwisho wake ukingoni,jibu maswali kuhusu LOdovick Yaliyo ulizwa na The Boss.
sipendagi porojo na ku divert maada kama ulivo fanya ktk majibu yako ya awali kuiweka CHAUMMA humu,hope hautaizungumzia tena atleast leo tu focus katika issue 3

1 .ushiriki wako katika kumteka kibanda.
2. filamu ya lwakatare na
3. mahusiano yako na ludovick kabla hajakamatwa

Haya maswali kama una ushahidi angalao kidogo kama mimi nilivyotoa hapo juu ungenitaka nikahojiwe polisi kama nilivyofanya.Otherwise nitaya-discredit kuwa ni ya ovyo yasiyostahili kujibiwa na mtu yeyote makini
 
Acha uongo wewe! Evidence gani ulishaweka? Hebu niambie ulitumia utaalamu gani kugundua sauti ya asiye onekana tena kwenye clip yenye tatizo la sauti kiasi kile!
We ni mmoja ya wanamikakati kwenye hii clip natatizo lako ni kuropoka!
hahaaaaa nipo mkuu si unajua mimi nikishusha napigaa nondo za uhakika with supportive evidence sio kama huyu msaga sumu ben
 
Zitto unatafutwa broo na adui yako aliyetumwa na mkuu wa chama.
 
Nyoka wa watu kaingia kwenye shimo wewe anakubughudhi nini? Kwa nini umuwekee kizinga cha moto, si upite zako tu na uendelee na safari yako? Dhambi nyingine za kujitakia tu!



....Haa ha ha, umeniongezea maisha kwa kunipa kicheko...
 
Haya maswali kama una ushahidi angalao kidogo kama mimi nilivyotoa hapo juu ungenitaka nikahojiwe polisi kama nilivyofanya.Otherwise nitaya-discredit kuwa ni ya ovyo yasiyostahili kujibiwa na mtu yeyote makini

kwa hiyo unataka ujue kwanza tu what extent najua ushiriki wako ndo useme kitu,and if i have nthn tangible ndo ujione umepona? thats too low...,hiki ni kipimo cha uaminifu wako,nataka uwe honest ,useme kwa dhati ya moyo wako kuhusu hili sakata,kua clear na u reveal kila kitu na position yako ktk hili halaf ngoja.............
narudia mambo 3
1. una mfahamu vipi Ludovick/ mnashirikiana mambo ktk mambo gani
2.ushiriki wako upo vip ktk tukio la Kibanda
3.filamu ya Lwakatare

tumechoshwa na siasa za maji taka na kukufumbia macho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom