Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Ben,nimekuwa msomaji tu wa hii post na majibu yako since yesterday,na sasa naomba niseme kitu kimoja
kwako
,'Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini na kukubali kuwa Ben Saanane anatumiwa kuimaliza CHADEMA'
namuomba Mungu wangu katika utatu mtakatifu,anipe uzima na neema ya kushuhudia mwisho wa wasaliti
wote wa haki ya watanzania'

Nikutie moyo tu kuwa Mungu aliyempigania Daudi dhidi ya Dubu na simba wakali,na akampa kumpiga Goliathi
kwa jiwe dogo laini,atamfanya Goliathi wako kuanguka mbele ya macho yako na ya watanzania soon'

Amen mkuu
 
Josephine ndo ulitakiwa uwe first lady? mmh Kheri Mungu ametuepusha mengi,Mungu ni mwema,Asante mungu kwa kila kitu. Haitokaa itimie tena ndoto ya Babu kukaa magogoni!!! tizama tamaa ya pesa na madaraka ilivyo mfuta kigori huyu kuwekwa uchumba na yule padri,mwenye umri mkubwa na mzee kama babae mzazi. Oooh Josephine naona sasa umekata tamaa,naona sasa ukweli umeanza kuujua,naona sasa ikulu haifikiki,naona sasa depression limekukaa.Mungu ulieumba kwa nyakati sita,na kupumzika siku ya saba,hakika tumefika siku hii,Waonaje ukitumpuzisha dhidi ya wanachumba hawa?
 
Last edited by a moderator:
Ben,Zitto,Kafulila ,Mtela Mwampamba,Juliana Shonza lao moja tunaangalia tuone movie yao inaishia wapi,

duuh hii sasa kali, lleo unamtosa Ben? Mtaalamu , jasusi na kamanda, wengine wakisema man of the year 2012? asalaleeeee
 
sasa ndio nimejua nani anamweka ben mjini. Na hii jeuri yake anapatia wapi,kumbe ni kijana wa festi ledi kivuli

Sijawahi kutofautisha Ben Zitto,Mtela na Juliana Shonza imani yangu ni watu wa kuwekwa tu kuangalia post za hawa watu wanne utashuhudia jinsi wanavyotumikia watu hakuna mada au thread au post ambayo wamewahi kuhitimisha huwa zinaelea hawa wote dugu moja na bwana yao iko moja
 
duuh hii sasa kali, lleo unamtosa Ben? Mtaalamu , jasusi na kamanda, wengine wakisema man of the year 2012? asalaleeeee

AAh huyu mtu wa Zitto damu damu bwana unabisha ,hawa wote dugu moja lao moja kusherehesha jukwaa tu sio mbaya lakini vijana damu inachemka manake wanadhani wataisimamisha tanzania angalau kwa sekunde moja
Dowans wanalipwa
Bomba la gesi linapita barabarani
mwanayamala vitanfda 28 kwa wanaozaa 80
waliofeli asilia 93
halafu wao wanageuza move kuchezwa mchana badala ya jioni ndio mana nasema hii mitu dugu moja bro
 
Ben Saa Nane
Kupitia uanachama wangu kwa CHADEMA Kamwe msitegemea kosa lolote kutoka kwangu litakalowapa easy ride kwa mitego yenu. Kati ya watu wanaotakiwa kuhojiwa na jeshi la polisi kulingana na matamshi yao hadharani kwa sasa ni Mwigulu Nchemba, Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Festo Richard Sanga, Habib Mchange, Nape Moses Nnauyeili watoe ushahidi walio nao pamoja na ndugu Zitto Kabwe aliyedai kwamba alisikia mipango ya Mauaji inayomhusu yeye kutoka kwa watu waleee… Ahojiwe aeleze alisikia kutoka kwa akina nani. Najua watu wa Usalama wa Taifa mnapita hapa, Take Note (kama hamko katika hila hizi)

Nadhani kwa uwepo wa Kesi hii ya Lwakatare Mahakamani na kwa jinsi CDM kuwa na 5 good lawyers lazima kuna mkondo wa kisheria utakao wafikisha watajwa wote mbele ya Pilato kwa minajili ya kuilinda jamii.

Kwa hiyo mkuu Ben kuna haja ya kuanza kuchimbua namna ya kuwa Unganisha hawa mabwana uliowataja kwa kutumia hawa wanasheria badala ya UWT ambao ndiyo wanaofanya nao kazi.
 
Josephine ndo ulitakiwa uwe first lady? mmh Kheri Mungu ametuepusha mengi,Mungu ni mwema,Asante mungu kwa kila kitu. Haitokaa itimie tena ndoto ya Babu kukaa magogoni!!! tizama tamaa ya pesa na madaraka ilivyo mfuta kigori huyu kuwekwa uchumba na yule padri,mwenye umri mkubwa na mzee kama babae mzazi. Oooh Josephine naona sasa umekata tamaa,naona sasa ukweli umeanza kuujua,naona sasa ikulu haifikiki,naona sasa depression limekukaa.Mungu ulieumba kwa nyakati sita,na kupumzika siku ya saba,hakika tumefika siku hii,Waonaje ukitumpuzisha dhidi ya wanachumba hawa?
Baada ya kujulikana wacheza movie na kubanguliwa ngumi za uso mahakamani munageuza kibao kwa Josephine kwa hiyo Salma ni bora mjumbe wa NEC na mgombea mwenza wa Kikwete na Raisi mtarajiwa 2013 kwa ticket ya CCM
Mwambieni arudishe kisiwa alichokabidhiwa na Stella Manyanya kusini mwa ziwa Tanganyika,Pande la mbuga ya katavi aachie bwana na Bonde la kishapu aachie kable ya kuingia ulingoni 2013 kugombea uraisi kwa ticketi ya CCm kama habari zilivyooenea mtaani
 
SIKU NYINGI NILIWAHI KUSEMA ZITO CHADEMA ILIPASWA KUMTIMUA KABLA YA UCHAGUZI MKUU 2010...! atawagharimu saana mbele ya safari.
hata ile Kashfa ya Kuvujisha siri kwa Othman , ilikua sababu tosha kumng'oa CDM.....endeleeni kucheka nae.....! msimuogope.
 
...He he he he, so na Butola anahusika tena?kweli wewe mwanamke ni something else, usamehewe tu kwakweli....
Josephine amechanganyikiwa,kwa kua ngoma hii inamgusa Ben Saanane na definately Babu Slaa ndo mastermind wa mipango yote...ndoto za kua 1st lady zina yeyuka. roho ina muuma sana kwa hii video kua on public
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Saanane,
Hii sasa mnaenda mbali sana. Kijana si una elimu yako nzuri tu?
Tafuta kazi maana siasa za namna hii ni hatari mno hata kwako mwenyewe.

Ni ushauri?

Hao wawili upande wa kulia kwa Zitto ni nani?

Ushauri wa maana sana huu,fitna na unafiki havikupeleki poote mkuu, kitu chochote kikisha tumika hutupwa,chukua hatua bado mapema kaka,life is too short don't wait.
 
Baada ya kujulikana wacheza movie na kubanguliwa ngumi za uso mahakamani munageuza kibao kwa Josephine kwa hiyo Salma ni bora mjumbe wa NEC na mgombea mwenza wa Kikwete na Raisi mtarajiwa 2013 kwa ticket ya CCM
Mwambieni arudishe kisiwa alichokabidhiwa na Stella Manyanya kusini mwa ziwa Tanganyika,Pande la mbuga ya katavi aachie bwana na Bonde la kishapu aachie kable ya kuingia ulingoni 2013 kugombea uraisi kwa ticketi ya CCm kama habari zilivyooenea mtaani

irrelevant, nnacho pinga ni josephine kuvuruga chama,yeye kama mchumba wa Babu slaa,kuja hapa kum accuse dogo zitto kua yupo nyuma ya filamu ya lwakatare is insane..
anataka kutuaminisha kua msimamo wa slaa pia juu ya zitto ni huo huo kama wa josephine.this sio kitu chenye afya kwa chama hata kidogo...endeleeni kumchekea ipo siku mtavuna mabua
 
Huyo ndio muongozaji wa series hii, hao kina saanane njaa ndio inawaweka mbele, siku akishiba wala hutaona post za kifitna kama hizi.
 
ktk sakata linaloendelea la 'filamu' ya Lwakatare, mambo mengi yamejiri. mojawapo ni kamanda Ben wa Saanane kutaja watu ambao wanapaswa kuhojiwa kuhusiana na kipigo cha mwandishi Absalom Kibanda.

Ktk list ya wanaopaswa kuhojiwa Ben amemtaja Zitto Zuberi Kabwe mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu kwenye chama. Ben ametaja pia wanasiasa walioshirikiana na Zitto ktk kile kinachoitwa PM-7 ambapo baadhi ya watu walitafsiri ni Pindua-Mbo e 7, yani kundi la watu 7 wa kumpindua Mbowe, ambalo Juliana Shonza anadai kundi hilo liliasisiwa na Ben wa Saanane.

Zipo tuhuma nyingine kutoka kwa kina Shonza juu ya Ben kutaka kumpa sumu Zitto.

Kwa kuwj Ben yuko hapa naomba ajibu mambo haya mawili aweze kuclear doubtz.

Kwanza, je ni kweli aliwahi kujaribu kumpa sumu Zitto kama inavyodaiwa na akina Mwampamba?

Pili kwa kuwa Zitto ni kiongozi wa chama means ni kiongozi wa Ben pia. je Ben haoni anakiuka maadili yj chama kuanika tuhuma za Kiongozi wake hapa? kama Ben ana taarifa kuwa Zitto anahusika kwa vyovyote na sakata la Kibanda kwanini asipeleke kwenye vikao vya chama badala ya hapa jamvini, ambako watu wa vyama vingine wanaweza kutumia kama Political Credit?

Je Ben haoni kuendelea kumtuhumu Kabwe kunaweza kuleta mambo yafuatayo:
kwanza mpasuko ndani ya chama,
pili watu wanaweza kudhani kuna chuki binafsi kati ya Bemw na Zitto?
Tatu wengine wanaweza kudhani chuki hizo zimetokana na jaribio la Ben kumpa sumu Zitto kufail?

NAOMBA KUTOA HOJA.
NOTE😱nly wenye akili timamu wanaweza kuchangia.
 
irrelevant, nnacho pinga ni josephine kuvuruga chama,yeye kama mchumba wa Babu slaa,kuja hapa kum accuse dogo zitto kua yupo nyuma ya filamu ya lwakatare is insane..
anataka kutuaminisha kua msimamo wa slaa pia juu ya zitto ni huo huo kama wa josephine.this sio kitu chenye afya kwa chama hata kidogo...endeleeni kumchekea ipo siku mtavuna mabua
Vibabu nchi hii vingi tuu na tulishavuna mabua alhaj Babu Kikwete mbona anasaidiwa kwa karibu kwenye nec ya CCM na hajat Salma,sio tu Hajat Salma anatembelea maeneo ya nchi bali pia anapokea ripoti za kazi za mikoa na wizara na kutoa maagizo ya utekelezaji baada ya kuvuna mabua kwa alhaj Kikwete kwa Babu Slaa hatutakubali manake katiba itahakikisha ujinga wa alhaj Kikwete na hajat Salma haurudi kamwe
 
AAh huyu mtu wa Zitto damu damu bwana unabisha ,hawa wote dugu moja lao moja kusherehesha jukwaa tu sio mbaya lakini vijana damu inachemka manake wanadhani wataisimamisha tanzania angalau kwa sekunde moja
Dowans wanalipwa
Bomba la gesi linapita barabarani
mwanayamala vitanfda 28 kwa wanaozaa 80
waliofeli asilia 93
halafu wao wanageuza move kuchezwa mchana badala ya jioni ndio mana nasema hii mitu dugu moja bro

Froida,

Kaa mbali na mimi!Sitakujibu kuanzia hapa kama kweli wewe ndiye uliyeandika haya!
 
umemsahau PADRI MUASI aka mzee wa ruzuku.

Alhaj Dr Kikwete ametafuta uraisi kwa miaka kumi akipita kwenye migongo ya akina Dr Salim Salim akiwasiliba kwa kila namna akila Fredrick Sumaye,Mark Mwandosya, KatapilaJohn Malecela ,miaka saba mingine jumla 17 amefyonza hazina ,mzee wa kupewa suti na muuza mbuga za ngorongoro kwa marafiki zake anashindwa nini kuunda kikosi kazi cha kuhakikisha hajat Salma Kikwete ndio anakuwa raisi wetu 2015
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom