Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Sasa naona vyama vya siasa vimepoteza muelekeo,
Sio upinzani au chama kikuu chenye dhamana na Serikali,
Wote wamepoteza dira ya kuifanya Tanzania iwe moja,
Dira ambayo iliwekwa wakati tunajitoa kwenye makucha ya Wanyonyaji,
Kinachofanywa na hawa mabwana ni kuwachanganya Watanzania,
Mmegundua udhaifu wetu kuwa tunapenda kushabikia zaidi,
Saa ya ukombozi wetu kujitoa kwenye makucha ya ninyi wanasiasa itakuja tu.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Sikutegemea mtu kama wewe uwe judgemental
Mkuu Mimi Baba, "usihukumu, usije ukahukumiwa!", calling a spade a spade ndio kuwa judgemental?. Jee Yuda Iskariot ilikuwa shujaa au sio shujaa?!. Kuelezea ile newtons law of "action and opposite reaction" ndio kuwa judgemental?!, au kwa sababu nimesema "payback time?!.
Pasco.
 
WANAJAMVI,

Natoa Rai kwa CHADEMA na kambi ya upinzani(wale wapinzani wa kweli) tujiandae sasa kutumia mbinu zile za Akina Nelson Mandela za Umkhontho we Sizwe(Spear of the nation) kupambana na ukaburu wowote utakaoinyemelea Tanzania.Kuna kila dalili ya kutaka ku-tarnish image ya wanachama,viongozi na CHADEMA kuwa ni chama cha KIGAIDI.

RED BRIGADE ichukue center stage kulinda viongozi na wanachama wetu pamoja na interest za chama popote bila kuvunja sheria lakini sheria itekelezwe bila bias. Hizi hila za kutaka kuchafua image ya chama ni mbinu ya kuwavunja moyo tu.Tusikubali.Vijana CHADEMA hatujawahi kuwa softy,siyo historia yetu, siyo falsafa wala itifaki ya Kombati kunyamazia haya.

Mkuu Ben Saanane huko unakoenda sasa naona kama si njia sahihi. CHADEMA ijitakase kutoka ndani kwani wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako! Ukianza Mkuki wa Taifa watadhurika wengi. Mkuki wa Taifa ulikuwa ukifanya kazi kutokea ughaibuni; Mazimbu, Nachingwea, Faya, Zambia, nk. Sasa kwa CHADEMA mimi binafsi nisingependa kuona hivyo bali tubanane hapahapa. CHADEMA ijitakase, iangalie watu inaowaweka kwenye circles zake (ifanye verting) badala ya kukusanya tu mara moja wanaingia ndani kabisa. Inawezekana hata wakubwa wana mioyo ya kijani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mimi Baba, "usihukumu, usije ukahukumiwa!", calling a spade a spade ndio kuwa judgemental?. Jee Yuda Iskariot ilikuwa shujaa au sio shujaa?!. Kuelezea ile newtons law of "action and opposite reaction" ndio kuwa judgemental?!, au kwa sababu nimesema "payback time?!.
Pasco.
Mkuu kwa heshima zote nadhani unaona kinachoendelea. Ni Tanzania pekee tulio na watu wengi "judgemental" na wachache kama wewe ambao wako informed na kutokuwa judgemental
 
Mapambano yameiva, tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania sijawai ona mapambano ya namna hii. Vyama vyote vya siasa vya upinzani vilikufa kupitia hoja nyepesi sana kama za UDINI, UKABILA nk. Baada ya CHADEMA kuvuka hatua ya UDINI, UKABILA sasa tupo kwenye hatua ya mwisho, nayo ni ya UGAIDI. Kweli tunapita kwenye tanuru la kusafishwa, hakika tutaiva kwa mapambano ya 2015. Naomba tuendelee kusafishwa, wasaliti wote, majambazi wote ndani na nje ya CHADEMA wataumbuka siku si nyingi

Mungu yupo upande wa wenye haki, viva CHADEMA.

Unarahisha tu hoja ya chadema kwenye udini imekwisha, tamko la maaskofu umeliona?
 
Kuhusu hoja ni ukweli ulio wazi kuwa vyombo vya usalama walitakiwa wazifanyie kazi taarifa zote na mapema, lakini majibu yapo wazi na sababu za kutofanya hivyo, watanzania tumekuwa wajinga zaidi sasa kuliko kipindi chochote.
Kwasababu moja au nyingine tunachelewa kuona udhaifu wa kimifumo na kitaasisi uliopo na hata baada ya kuona matatizo hayo na nyie vijana pia kwenye harakati zenu mnaendelea kuendekeza siasa zile zile zilizotufikisha hapa, watanzania tumeweka umimi mbele na sifa zisizo na faida kwa wengi.
Kwa sasa kila kitu kinafanywa kwa uwazi na kwa ujinga zaidi kwa kuwa mnatudharau watanzania kuwa hatuwezi kufikiri, ujinga wowote tutaukubali, hatuwezi kutofautisha rangi nyeusi na nyeupe pia hatuna pa kukimbilia. Katika nchii hii, tupo tunaoweza kusema lolote na kufanya chochote na tusiguswe, tupo juu ya sheria kwa namna moja au nyingine, mifumo imeoza, taasisi na vyombo vya usalama vinasimamia mtu badala ya nchi au vipo likizo, watu wote tu feki.
Tushapotea sana hivyo ni vizuri tuanze upya, tuanze kwenye familia, kuelimishana, kukumbushana thamani ya maisha, watoto wetu tuwafundishe kuhoji na kujifunza kusimamia haki, na kuwa watu halisi.
 
Duh,ujasiri wa Ben wakati mwingine nimejikuta namu admire.uwa wakati mwingine najiuliza huyu bwana mdogo anajiamini nini ? Kwa mfano suara ra Ludovick na deus Mallya nimependa aliyojibu na kuwaacha watu wakihangaika humu ila kitu nimenote ni kuwa kumbe Zitto inawezekana yupo nyuma ya huu mchezo akishirikana na akina mwigulu na kundi la Masalia?Ben ameamua kuwavaa tena kwa maneno yao wenyewe.Cdm jipangeni kukabiliana na hiri na kama kuna vijana jasiri sampuli ya akina Ben basi roho yangu imeturia

Umeona enh'
 
Ben,

Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.

Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.
 
Mkuu Mimi Baba, "usihukumu, usije ukahukumiwa!", calling a spade a spade ndio kuwa judgemental?. Jee Yuda Iskariot ilikuwa shujaa au sio shujaa?!. Kuelezea ile newtons law of "action and opposite reaction" ndio kuwa judgemental?!, au kwa sababu nimesema "payback time?!.
Pasco.

Pasco ,
upande wangu najua unatetea kula yako.
my brother,kaa mbali na ushabiki,japo najua unaweza kuwa moja ya watu wanaojua haya,kwani si ninyi ndiyo mnahusishwa.

Look here,sikio la Mungu si zito kuzikia.
 
Ben,

Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.

Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.

...so you mean Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe,anahusika? ebu jifunze kuwa na busara wewe mwanamke, maana usijemgombanisha Dr Slaa na kiongozi mwenzake, shame on you...
 
Pasco, hapo kwenye red.
Unasema ulikuwa humfahamu kabisa huyu Ludo, lakini uliposoma tu kwenye gazeti la Jamhuri, (linaloandikwa na Manyerere aliyekuwa anashabikia kwamba Ludo akamatwe) habari zake, tayari haraka-haraka umekubali kuwa yaliyoandikwa na hilo gazeti ni kweli tupu bila chenga, na yamepelekea wewe kufanya conclusion kwamba "the guilty are afraid"!!

Mkuu, Pasco ni boonge la mnafiki' anachoangalia ni maslahi yake tu,haangalii mwingine anaumizwaje na unafiki wake'
 
Kabembe hapo Red hapo ni serious concern.....!

You are professionally and technically likeable person, Ben. Every time when I follow your posts you are often right technically . However, on the on-going saga have you ever thought/would wish to see the general public and interested parties to demand political accountability particularly on those responsible for our general internal security... Ministers responsible for internal security would be one of them.. who else..

Why do I say this.. the intimidating events are happening under their leadership and they are the ones to prevent them or uncover culprits! This is an alternative thinking to the matter!

A blinded third eye imagination!
 
Jitihada za baadhi yao kutumia waandishi uchwara nitakabiliana nazo kwa haraka na kwa usahihi.

Jambo lingine,Kama Jitihada za kubambikizia kesi viongozi na wanachama wa CHADEMA zitaendelea ni dalili kwamba mbinu zile zile walizotumia makaburu Afrika Kusini ndizo zinazoelekea kutumika,natoa Rai kwa CHADEMA na kambi ya upinzani(wale wapinzani wa kweli) tujiandae sasa kutumia mbinu zile za Akina Nelson Mandela za Umkhontho we Sizwe(Spear of the nation) kupambana na ukaburu wowote utakaoinyemelea Tanzania.Kuna kila dalili ya kutaka ku-tarnish image ya wanachama,viongozi na CHADEMA kuwa ni chama cha KIGAIDI.

......

This is very strong statement that needs top leaders' blessings. Isnt it?

Ben,

Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.

Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.

haki ya nani, hii sasa balaa, waweza kumtuhumu naibu Katibu Mkuu wa chama chako kiasi hiki? je, una ushahidi wa kuthibitisha tuhuma dhidi yake?

wewe ukiwa mke wa Dr Slaa, hufahamu ni kiasi gani hii sentensi yaweza kukuathiri wewe, kumuathiri Dtr Slaa na kuiathiri CHADEMA kwa ujumla? hii sasa sio siasa bali ni chukii na uhasama wa muda mrefu

Unapokosa busara ya kuzungumza mbele ya hadhara ndio unataka uwe first lady wetu? kwa busara ndogo hii si utakuwa ukiropoka visivyotakiwa kuzungumzwa public? shame on you!!!!!
 
Hivi huyo kwenye Avatar ni Mtoto wako?
 
Ben,nimekuwa msomaji tu wa hii post na majibu yako since yesterday,na sasa naomba niseme kitu kimoja
kwako
,'Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini na kukubali kuwa Ben Saanane anatumiwa kuimaliza CHADEMA'
namuomba Mungu wangu katika utatu mtakatifu,anipe uzima na neema ya kushuhudia mwisho wa wasaliti
wote wa haki ya watanzania'

Nikutie moyo tu kuwa Mungu aliyempigania Daudi dhidi ya Dubu na simba wakali,na akampa kumpiga Goliathi
kwa jiwe dogo laini, atamfanya Goliathi wako kuanguka mbele ya macho yako na ya watanzania soon'

haki ya nani, hii sasa balaa, waweza kumtuhumu naibu Katibu Mkuu wa chama chako kiasi hiki? je, una ushahidi wa kuthibitisha tuhuma dhidi yake?

wewe ukiwa mke wa Dr Slaa, hufahamu ni kiasi gani hii sentensi yaweza kukuathiri wewe, kumuathiri Dtr Slaa na kuiathiri CHADEMA kwa ujumla? hii sasa sio siasa bali ni chukii na uhasama wa muda mrefu

Unapokosa busara ya kuzungumza mbele ya hadhara ndio unataka uwe first lady wetu? kwa busara ndogo hii si utakuwa ukiropoka visivyotakiwa kuzungumzwa public? shame on you!!!!!

Acha unazi wewe, Mwizi wacha aitwe Mwizi si vinginevyo! unajuaje kama ana uhakika na anayoandika?
 
haki ya nani, hii sasa balaa, waweza kumtuhumu naibu Katibu Mkuu wa chama chako kiasi hiki? je, una ushahidi wa kuthibitisha tuhuma dhidi yake?

wewe ukiwa mke wa Dr Slaa, hufahamu ni kiasi gani hii sentensi yaweza kukuathiri wewe, kumuathiri Dtr Slaa na kuiathiri CHADEMA kwa ujumla? hii sasa sio siasa bali ni chukii na uhasama wa muda mrefu

Unapokosa busara ya kuzungumza mbele ya hadhara ndio unataka uwe first lady wetu? kwa busara ndogo hii si utakuwa ukiropoka visivyotakiwa kuzungumzwa public? shame on you!!!!!

...Huyu mwanamke busara yake ni F, naamini Mheshimiwa Zitto atamsamehe tu na kumpotezea...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom