Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.

Mkuu ni hakika unachokinena. Maneno ya Hawa ni maneno ya Adam. Hawa atulie ampe nafasi Adam kufanya kazi. Huyu Mama ikitokea akawa First Lady basi tutawakumbuka mafisrt ladies wote including Mama Salma.

CC: Ritz
 
Last edited by a moderator:

Makundi yepi tena watu wanaleta mada za kutaka watu hao wahojiwe kutokana na mada walizoleta hapa na viambatanisho vya kuthibitisha kwamba video ya lwakatare ni halisi sasa chama kinaingiaje hapo
 
Maganga Mkweli,

Hakuna mgogoro wowote.Ukweli tu ndiyo unaotakiwa kusimama

Sioni mahali alipoingia Dr.Slaa zaidi ya wale wanaojua wanachokitafuta kuingiza jina lake na viongozi wengine humu

Hapa kuna suala la jinai,haina itikadi.

Kuna huu utamaduni kwenye jinai hapa nchini,When thieves or robbers are caught, they are paraded on tv even before going to court to know whether they are guilty or not.Tutengeneze sasa taifa lenye usawa before the Law.

Wengine wakinituhumu na kutaka mimi nihojiwe tena kwa mambo ya uongo ya kutunga kabisa wakisahau 'reckless utterance' zao humu
 
Last edited by a moderator:
Makundi yepi tena watu wanaleta mada za kutaka watu hao wahojiwe kutokana na mada walizoleta hapa na viambatanisho vya kuthibitisha kwamba video ya lwakatare ni halisi sasa chama kinaingiaje hapo
mie sibishani wala sipingi hoja hiyo hata kidogo... mtela thread ametoa reference zake za kwanini hicho kifanyike..
kuhusu hili la makundi ni mtazamo wangu binafsi hili wewe hupwasi kuamini au kukubali.. na hii ni based na matukio na yanyojiri CDM kwa sasa yawezekana kuna hujuma sikati ila kama tu wamoja iweje kuna lugha mbili tofauti ( slaa vs zitto)..
yawezekana unaona hii ni irrelevant hapa ila mie naona ndio mahala pake...
CHAMA DEMOKRASIA NA MAENDELEO... INABIDI KISAFISHE UCHAFU ndio gharama ya demokrasia hiyo mamluki wote watolewe( yeyote yule) ...binafsi bado naamini ndio mkombozi kwa njia ya demokrasia...
 
nakuelewa sana comrade ... kwangu mimi binafsi bado naona hili suala ni unhealthly kwa chama yawezekana hakuna mgogoro na mambo ni shwari kabisa ndani ya chama lakini je sisi tulio nje chamani tunalitazamaje..?

tutaaminije kuwa hakuna migogoro hasa huu wa viongozi wawili (zitto vs slaa).. ukizingatia kundi linamuattack dr slaa( wanaoitwa MASALIA) ambao wengi wao ni wafuasi wa zitto kabwe..?
 
Mkuu ni hakika unachokinena. Maneno ya Hawa ni maneno ya Adam. Hawa atulie ampe nafasi Adam kufanya kazi. Huyu Mama ikitokea akawa First Lady basi tutawakumbuka mafisrt ladies wote including Mama Salma.

CC: Ritz

Huyo mwanamke hawezi kuwa first lady labda first lady kivuli.
 
Last edited by a moderator:
Huo sio tu utoto bali ni upimbi wa mawazo pia kujiona we. Ndiye mjanja na mawazo ya wenzako ni primitive.
Kwa hiyo hao uliowataja ndio wanasiasa pekee waliowahi kudai kukoswa au kuwindwa kuuawa?
 

Napenda sana misimamo yako mikali.Natamani tungekua na vijana 5 tu kama wewe Tanzania hii
 

Ben,

Najua hata nikisema kitu hutaniamini kwa kuwa nimekua nikikushambulia sana huku tangu uchaguzi wa BAVICHA.Tafadhali naomba angalie pm yako unijibu please.Kwa kweli haya maneno uliyoandika hapa juu yamenigusa sana.Najua pamoja na mapungufu kidogo ya kuwa too radical,extrimist lakini ni bora kuwa na vijana tough kama wewe.Nilikushauri humu siku moja tukiwa na Matola, Mkandara, MWANAKIjiji, TSN Sikonge na wengineo juu ya umuhimu wa wewe na Zitto kukaa na wazee wenu vizuri.Na tulitahadharisha kwamba wewe na zitto msingeweza kuja kuiva chungu kimoja kwa sababu ninakufahamu sana ben Tangu tukiwa chuo kikuu na zitto ninamfahamu .Mna hulka zinazofanana kwa kiasi fulani ila sina uhakika kama anaweza kuwa too radical .Kuna mahali umenigusa sana ukisema misukosuko nchi za mbali ukiwa kijana mdogo.Hii ni harufu ya kujitoa mhanga inanukia.Please Ben,jaribu kupunguza kuwa hardliner sana.

Hata hivyo naona future yako kisiasa iko bright sana na unajua kucheza siasa vizuri.Ila hulka yako ya visasi naona inabidi uifanyie kazi maana hilo ndilo linalosumbua taifa kwa sasa kwani tunaambiwa mkuu wa kaya Jk ni aina hiyo hiyo ya watu wanaonekana wapole lakini mna visasi na hardliners balaa
 
Last edited by a moderator:
Una heshima gani mnafiki wewe.Endelea kuwa MC wa kitchen Party

Huijui siasa wewe.Achana na CHADEMA endelea kumlamba miguu Lowassa

Mwanume mzima kuwa MC kwenye kitchen party kwa umri huo huoni tatatizo kulingana na mila za kiafrika?
Mkuu Jack Kombe, yaani mimi MC wa Kitchen Party?!, hii ni kumbwa kuliko!, can't imagine Pasco wa jf, ndani ya dera/bazee/kitenge au sare?!, unaweza kuwahadithia wanabodi, hiyo kitchen party ya history MC Mwanaume?!.

La kutoijua siasa, hili nalikubali, ndio maana sithubutu hata kuisogelea, maana hata ujumbe wa nyumba kumi, sidhani kama naweza achilia udiwani na ubunge, na ndio maana hushinda sana Dodoma wakati wa bunge ili tuu kushangaa shangaa!.

Hili la kuachana na Chadema, nalo neno!, sijui ni wangapi mnajua kuwa Chadema inaendeshwa kwa "tax payers money", hivyo the public has "the right to know its public and private conduct!" kwa sababu ni fedha zetu!.

La kumlamba miguu EL, was only ment kwa ma GT only, hivyo kwa watu kama nyinyi, ni haki yenu kuelewa hivyo hivyo unavyoelewa!.

Pasco.
 
Huo sio tu utoto bali ni upimbi wa mawazo pia kujiona we. Ndiye mjanja na mawazo ya wenzako ni primitive.
Kwa hiyo hao uliowataja ndio wanasiasa pekee waliowahi kudai kukoswa au kuwindwa kuuawa?
Hivi wewe kibaraka wa CCM mambo ya cdm yanakuhusu nini.Unataka ben aje ajibu utumbo wa watu bogus kama wewe.Amewashika pabaya mapovu yanawatoka tu.kilaza ulisoma post ya ben vizuri?pimbi kweli wewe
 
Huyu dogo yuko njiani kuoshwa tindi kali, kuna jamaa wana hasira nae. Mtakuja kumsikia tu.anavyo wafanyia unafiki kwa viongozi mpaka wamechukiwa.
 
Ungekua great thinker ungeongozwa kwa busara za nyama za Monduli?hivi si kuna siku ulileta thread hapa ukitaka chadema iwaache masalia?Mnafiki wewe.njaa itakuua kwa umri huu ulio nao kama yule kubwa jinga mwenzio Le Mutuz
 
Huyu dogo yuko njiani kuoshwa tindi kali, kuna jamaa wana hasira nae. Mtakuja kumsikia tu.anavyo wafanyia unafiki kwa viongozi mpaka wamechukiwa.

Ameshasema haogopi lolote wewe mtumwa na kibaraka wa mafisadi inakuuma nini?
 
Huyu dogo yuko njiani kuoshwa tindi kali, kuna jamaa wana hasira nae. Mtakuja kumsikia tu.anavyo wafanyia unafiki kwa viongozi mpaka wamechukiwa.


Dogo anawapa za uso mbaya.teh teh teh.Mnamtisha kwa tindikali tena?Kama zitto alisema alitaka kuuawa kosa la ben liko wapi hapo.si kasema zitto ahojiwe na hao wengine?Ujasiri wa ben unahitajika na vijana wengine zaidi kama hawa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…