Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
CCM mnakasirika sana.Tupo makini na sitoki nje ya mstari

Vyote hivyo ni vyangu na siachi.Let me be tenfold

kabla sijakujua vizuri nlikuwa nakuheshimu sana lakini tangu ulewe pombe na kudondosha sumu pale bar nakuona ch...oo...acheni ugaidi na umafia huo mtaishia pabaya mshajulikana
 
kabla sijakujua vizuri nlikuwa nakuheshimu sana lakini tangu ulewe pombe na kudondosha sumu pale bar nakuona ch...oo...acheni ugaidi na umafia huo mtaishia pabaya mshajulikana

Hadithi imechuja aanza kumtafutia Zitto mwanasheria manake lazima atinge mahakamani ajibu tuhuma za kuandaa video na kuenda kuitangaza Star-TV tarehe 29-dec-2013
 
we unasumbuliwa na njaa na chuki ya asili ndio mana unatumika isivyo. Hiyo shule uliyoifata india haijakukomboa umebaki mtu wa hivi hivi na majungu tu.

MWENYE NJAA NI MWANAUME ANAISHI KWA MSAADA WA WANAUM WENZIWE UNAPEWA FEDHA KUJA HAPA KWA id FAKE BEN HE IS IN His own with verified user ID kwa hiyo nani mwenye njaa kama sio wewe Zitto saa hizi yuko kwenye vikao na rafiki zake akina Denis Msacky wewe unakesha hapa na Ben akakukomalia
 
Bado hatujajua ukweli kuhusu kibanda, ni kitendawili. Lakini tunaweza kufikiri, Mauaji ya wafanyabiashara wa madini kule mabwe pande, Tindikali kwa Said Kubenea, Kuteswa (kwa lengo la kuuawa) kwa Dk. Ulimboka, Kulipuliwa Bw. Mwandosi kwa bomu kule Iringa, Mauaji ya wananchi kule Moro, Arusha, Mwanza, Igunga, Mara na Dar es Salaam. Matukio yote haya yanaivua NGUO serikali na dola yake... Ni vigumu kumshawishi mtu anayefikiri kwa akili yake (HURU), kwamba vyombo vya dola vimeshindwa ama kuwawajibisha au kuwapata wahusika wote wa matukio hayo. kama ilivyo vigumu kueleweka kuwa Hadi sasa hivi wahusika wa tukio la Kibanda hawajafahamika. TISS wana uwezo mdogo kiasi hiki au wanatuzuzua?, Tanzania is about to perish kama upuuzi huu utaendelea, na ASSASINS watazidi kuzaliwa kwa kasi, kwa malengo ya kisiasa au malengo binafsi chini wa mwavuli wa kisiasa, au Kwa lengo la ukombozi.. UKOMBOZI UTAKUJA KWA MAJI AU DAMU.
 
 
Last edited by a moderator:
Ben umeiweka vizuri sana. Kama ungekuwa kwenye field halafu mimi ni Mwanasheria ninayekusimamia basi ningekupa 100%. If it was a presentation of evidence before this court,suffice to say that the prosecutor and or the plaintiff will have a hard time in submitting their application. Way to go!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…