Hali mbaya ya maisha imesababisha watu wamekua wakatili zaidi ya wanyama, muuguzi anashona na kufumua jeraha kisa hela

Hali mbaya ya maisha imesababisha watu wamekua wakatili zaidi ya wanyama, muuguzi anashona na kufumua jeraha kisa hela

Watz tuna tabia ya kudharau taaluma za watu, unaenda kutibia hauna hela? Doc ye ale nini?
 
Watz tuna tabia ya kudharau taaluma za watu, unaenda kutibia hauna hela? Doc ye ale nini?

Bora umshikilie asitoke, au umshtaki kituoni ila unafumua mshono...roho gani hiyo....napata ukakasi yaani tu.
 
Kwaiyo unamanisha ange baki uko aliko afie uko kisa mshono?...daktari gani ? Busara ingetumika kuliko kitu alicho fanya uyo jamaa
Nadhani busara ingeanzia kwa mgonjwa kujieleza kuwa hana hela hivyo anaomba msaada, we unawezaje kwenda kuhudumiwa hauna hela na hausemi tangu mwanzo ili mtu anapofanya kaz ajue kabisa anatenda wema
 
Siungi mkono suala la mgonjwa kufumuliwa, ila napinga kitendo cha mgonjwa kwenda kutibiwa bila hela wala maelezo ya awali kuwa anahitaji msaada

Kosa limeanzia kwa mgonjwa, ni kama tu uingie kwenye mgahawa na kuagiza huku ukijua hauna hela, hivyo mgonjwa ana kosa, lakini muuguzi kufumua huo mshono ni ukatili uliopitiliza, angemshikilia au achukue hatua nyingine. Hapo amejiingiza kwenye matatizo makubwa maana atasemwa wilaya yote na nchi yote na pia anaweza akafungwa gerezani kabisa, na akapoteza hata kibali cha uuguzi.
 
kumbe kutokuwa na hela ndo kudharau taaluma ya Dr? kwanini wasingemzuia mpaka atakapo lipa?
Doctor anadai alimwambia mgonjwa kuwa awatafute ndugu Kuhusu malipo, hakufanya hivyo, bila shaka huyo doc aliathirika kisaikolojia alipofukuzwa asifanye mtihani kipindi anasoma, hayo ndio matokeo, aliona ku undo ndio solution
 
Kosa limeanzia kwa mgonjwa, ni kama tu uingie kwenye mgahawa na kuagiza huku ukijua hauna hela, hivyo mgonjwa ana kosa, lakini muuguzi kufumua huo mshono ni ukatili uliopitiliza, angemshikilia au achukue hatua nyingine. Hapo amejiingiza kwenye matatizo makubwa maana atasemwa wilaya yote na nchi yote na pia anaweza akafungwa gerezani kabisa, na akapoteza hata kibali cha uuguzi.
Ni kweli, sasa imagine unamwambia abaki mpaka atakapolipa anagoma, awatafute ndugu zake wamlipie hataki na anasisitiza kuondoka unadhani nini kingefuata(just imagine)

Maana kwenye hiyo clip naona wanamshambulia tu doc hawampi hata nafasi ya kuongea
 
Jinai haihalalishi jinai nyingine,Kuna hatua za kufuata
 
Jinga kubwa weye
Hii kanuni nakupa ...kama jambazi anavunja sheria kwa kufanya ujambazi dhidi ya haki je kuna kosa gani wewe kuvunja sheria kwa ajili ya haki.
Jifunze tofauti ya
1)kuvunja sheria dhidi ya haki na
2)kuvunja sheria kwa ajili ya haki
 
exactly what's going on here? I can't seem to fully make out what's going on in that clip
 
Back
Top Bottom