Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani watu wamefikia kwenye level ambayo sio tena
Kwaiyo unamanisha ange baki uko aliko afie uko kisa mshono?...daktari gani ? Busara ingetumika kuliko kitu alicho fanya uyo jamaaWatz tuna tabia ya kudharau taaluma za watu, unaenda kutibia hauna hela? Doc ye ale nini?
Watz tuna tabia ya kudharau taaluma za watu, unaenda kutibia hauna hela? Doc ye ale nini?
Nadhani busara ingeanzia kwa mgonjwa kujieleza kuwa hana hela hivyo anaomba msaada, we unawezaje kwenda kuhudumiwa hauna hela na hausemi tangu mwanzo ili mtu anapofanya kaz ajue kabisa anatenda wemaKwaiyo unamanisha ange baki uko aliko afie uko kisa mshono?...daktari gani ? Busara ingetumika kuliko kitu alicho fanya uyo jamaa
Siungi mkono suala la mgonjwa kufumuliwa, ila napinga kitendo cha mgonjwa kwenda kutibiwa bila hela wala maelezo ya awali kuwa anahitaji msaadaBora umshikilie asitoke, au umshtaki kituoni ila unafumua mshono...roho gani hiyo....napata ukakasi yaani tu.
Siungi mkono suala la mgonjwa kufumuliwa, ila napinga kitendo cha mgonjwa kwenda kutibiwa bila hela wala maelezo ya awali kuwa anahitaji msaada
Doctor anadai alimwambia mgonjwa kuwa awatafute ndugu Kuhusu malipo, hakufanya hivyo, bila shaka huyo doc aliathirika kisaikolojia alipofukuzwa asifanye mtihani kipindi anasoma, hayo ndio matokeo, aliona ku undo ndio solutionkumbe kutokuwa na hela ndo kudharau taaluma ya Dr? kwanini wasingemzuia mpaka atakapo lipa?
Ni kweli, sasa imagine unamwambia abaki mpaka atakapolipa anagoma, awatafute ndugu zake wamlipie hataki na anasisitiza kuondoka unadhani nini kingefuata(just imagine)Kosa limeanzia kwa mgonjwa, ni kama tu uingie kwenye mgahawa na kuagiza huku ukijua hauna hela, hivyo mgonjwa ana kosa, lakini muuguzi kufumua huo mshono ni ukatili uliopitiliza, angemshikilia au achukue hatua nyingine. Hapo amejiingiza kwenye matatizo makubwa maana atasemwa wilaya yote na nchi yote na pia anaweza akafungwa gerezani kabisa, na akapoteza hata kibali cha uuguzi.
Kwani hiyo kituo Cha afya Ni Cha huyo mganga au Ni Cha serikali?Watz tuna tabia ya kudharau taaluma za watu, unaenda kutibia hauna hela? Doc ye ale nini?
Jinai haihalalishi jinai nyingine,Kuna hatua za kufuataNi kweli, sasa imagine unamwambia abaki mpaka atakapolipa anagoma, awatafute ndugu zake wamlipie hataki na anasisitiza kuondoka unadhani nini kingefuata(just imagine)
Maana kwenye hiyo clip naona wanamshambulia tu doc hawampi hata nafasi ya kuongea
Hizo ni sheria za kianithiJinai haihalalishi jinai nyingine,Kuna hatua za kufuata
Jinga kubwa weyeHizo ni sheria za kianithi
Hali ya maisha ya. Watanzania ni Bora zaidi ya wakenya lakiniYaani watu wamefikia kwenye level ambayo sio tena
Hii kanuni nakupa ...kama jambazi anavunja sheria kwa kufanya ujambazi dhidi ya haki je kuna kosa gani wewe kuvunja sheria kwa ajili ya haki.Jinga kubwa weye
Hivi huwa wanazuiaje?kumbe kutokuwa na hela ndo kudharau taaluma ya Dr? kwanini wasingemzuia mpaka atakapo lipa?