Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
- Thread starter
- #21
Unavyosema ni kweli mkuu, wakati mwingine jamii inajaribu kukanya lakini serikali inamkingia kifua mwanamke either kwa tamaa na matamanio ya viongozi au sheria za nchi after all anaedhalilika ni mwanamke kwa hil mimi bado naona serikali haijaamua ikiamua ni suala dogo tuMkuu kuna wale wanajifanya kutetea haki za hao wanawake cjui kama hata akili zimo wale jamaa wanawake wanadhalilika na kudhalilishwa mtaan huko wao wanaenda kudili na yule dada aliekaambiwa akaze sauti na makonda, halaf muda mwingine wanawake wanafanya mambo ya kujidhalilisha ila ukinyanyua mdomo tu kukemea utaambiwa mfumo dume, mara 50/50 mara unyanyasaji wa kijinsia, we jaribu tu utaona
Serikali ina mkono mrefu