Hali mtaani ni mbaya sana cha ajabu viongozi wapo kimya kama hawaoni

Hali mtaani ni mbaya sana cha ajabu viongozi wapo kimya kama hawaoni

Nilikuwa na changamoto ofisi Fulani hivyo ikapelekea nimtafute mbunge wangu aliposikia alisikitika sana kwa changamoto hiyo.lakini alichonijibu alisema Nenda kamalizane nao kwahyo hakunipa msaada wowote
 
Jamii na viongoz wapi wako wengi? Mafano: kila uchaguzi wanakuja ishawishi jamii iwape kura, bila jamii kukubali hamna kura
Serikali ina mkono mrefu kuna mengi sana yanatekelezwa hata bila wananchi kutaka mfano tozo

Kwaiyo hata hili wakilitilia mkazo linatekelezeka japo tumegawanyika wapenda starehe na wapenda ustaarabu
 
Ni siku nyingine tena, nawasalimu

Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini?

Wanawake wanadhalilika sana wengine kwa kupenda wengine kwa kutokupenda. Wanawake ndio kioo cha maadili, hali ya kupuuza na kuacha wajiuze, watembee uchi kama bidhaa, watukanwe matusi ya nguoni kama wafanyavyo wasanii na watu wengine mtaani na udhalilishaji mwingine ni kukididimiza kizazi na jamii kwa ujumla

Uongozi ni kuonesha dira njema katika taifa katika nyanja zote kiuchumi na kijamii, kitendo cha viongozi kukalia kimya suala hili la udhalilishaji wa wanawake ni kukwepa uwajibikaji nashauri mamlaka ziangalie suala hili kwa undani na wachukue hatua stahiki

Wanawake ni mama zetu, dada zetu na ndugu zetu kumdhalilisha mwanamke yeyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako au dada yako jamii ilitazame hili

Ahsanteni
Yoye haya wanachangiwa pakubwa na utandawazi na muziki wa kizazi kipya full stop
 
Mikopo kausha damu chupi mkononi inawadharirisha sana wanawake.
Inaitwa chupi mkononi kwa sababu mwanamke hana kipato cha uhakika anachukua mkopo unategemea nini zaidi ya kuvua chupi ili akalipe mkopo asichukuliwe vitu vyake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabla hujazungumzia maadili jiulize kwanza sera za ubepari impact zake.
Ukitaka maadili ifanye Nchi iwe mfumo wa dini ndio utaweza ku control hayo maadili
Kwani maadili lazima yaambatane na Dini? Mbna unachanganya mambo wee?
 
Umalaya ni kosa ila kuvaa unayofikiria haina maadili sio kosa, na sijakuelewa maana usije ukawa unataka tupangiane mavazi kama Iran

Umalaya ni kosa ila kuvaa unayofikiria haina maadili sio kosa, na sijakuelewa maana usije ukawa unataka tupangiane mavazi kama Iran
Sina maana tuwe kama iran ila atleast tuwastiri hawa watu kwa sheria ndogo ndogo imekuwa too much

Inakuwa sio poa kumuona mama wa mtu anadhalilishwa either kwenye miziki au kitaa, wengine ni shida wakuta mtu katafuta soko kakosa hadi anaamua kuvaa tight tupu na kujipitisha so sad
 
Attachments

  • YouCut_20240611_074009706.mp4
    6.2 MB
Nilikuwa na changamoto ofisi Fulani hivyo ikapelekea nimtafute mbunge wangu aliposikia alisikitika sana kwa changamoto hiyo.lakini alichonijibu alisema Nenda kamalizane nao kwahyo hakunipa msaada wowote
Pole ndio haiba ya viongoz wetu wanapenda kuwa wamwisho kwenye matatizo badala ya kuwa wa kwanza
 
Serikali ina mkono mrefu kuna mengi sana yanatekelezwa hata bila wananchi kutaka mfano tozo

Kwaiyo hata hili wakilitilia mkazo linatekelezeka japo tumegawanyika wapenda starehe na wapenda ustaarabu
Jamii inakiwa ianze ku apply pressure kwa viongozi , jamii ndio yenye power zaidi. Jamii ina nguvu zaidi kuliko viongozi, tumeona recently mwako wa jamii umeeafanya serikal inaze kuwajibika zaidi kwneye mambo mbali mbali.
So both party zina nafasi
 
Wangeanza na wanawake
Kwa kuwa wao ni binadamu zaidi kuliko wanaume?

Chakata akili yako ichangamke; binadamu wote ni sawa. Vita dhidi ya uovu vinapobagua makundi ya watu, huo ni ujinga uliobatizwa jina la UFEMINISTI!
 
Kwa kuwa wao ni binadamu zaidi kuliko wanaume?

Chakata akili yako ichangamke; binadamu wote ni sawa. Vita dhidi ya uovu vinapobagua makundi ya watu, huo ni ujinga uliobatizwa jina la UFEMINISTI!
Wewe hata mshedede wako ukiwa nje hudhaliliki tofauti na mwanamke hapa naongelea maadili sio uchumi
 
Wewe hata mshedede wako ukiwa nje hudhaliliki tofauti na mwanamke hapa naongelea maadili sio uchumi
Hakuna maadili ya kike wala ya kiume. Maadili ni maadili; ukiweka upendeleo hiyo ni ajenda binafsi.

Na kama kutembea mshedede nje si kudhalilika, usivae nguo kuanzia leo.
 
Hakuna maadili ya kike wala ya kiume. Maadili ni maadili; ukiweka upendeleo hiyo ni ajenda binafsi.

Na kama kutembea mshedede nje si kudhalilika, usivae nguo kuanzia leo
Noted
 
Back
Top Bottom