Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
- Thread starter
- #61
Ni kweli kwa sheria zetu na mgandamizo wa democracy watu wanajifichia ndani kwa ndani kwenye izo sheriaPamoja na mmomonyoko wa maadili uliopo, bado ni vigumu sana kutofautisha mtu anayejiuza na mtu anayefanya mapenzi na mwenza wake.
Sheria haikatazi mtu kuwa malaya ama kuwa na michepuko, bali sheria inakataza mtu kujipatia fedha/mali kupitia umalaya/kujiuza.
Lakini kama taifa ni vyema hata sheria ndogo ndogo zikatungwa pamoja na kuboresha hali ya maisha kwa wahanga maana hili lishakuwa janga