Hali mtaani ni mbaya sana cha ajabu viongozi wapo kimya kama hawaoni

Unavyosema ni kweli mkuu, wakati mwingine jamii inajaribu kukanya lakini serikali inamkingia kifua mwanamke either kwa tamaa na matamanio ya viongozi au sheria za nchi after all anaedhalilika ni mwanamke kwa hil mimi bado naona serikali haijaamua ikiamua ni suala dogo tu


Serikali ina mkono mrefu
 
Ila wanaume wakidharirika unaona sawa? Labda Huko mtaani kwako ndiko mnawadharirisha hao wanawake?
 
Kabla hujazungumzia maadili jiulize kwanza sera za ubepari impact zake.
Ukitaka maadili ifanye Nchi iwe mfumo wa dini ndio utaweza ku control hayo maadili
 
Ila wanaume wakidharirika unaona sawa? Labda Huko mtaani kwako ndiko mnawadharirisha hao wanawake?
Angalia video za miziki uone kati ya mwanamke na mwanaume nani anakalishwa uchi
 
Kabla hujazungumzia maadili jiulize kwanza sera za ubepari impact zake.
Ukitaka maadili ifanye Nchi iwe mfumo wa dini ndio utaweza ku control hayo maadili
Kuna ulazima gani wa kuukumbatia ubepari na kwa nijuavyo mm tz ni NAM kwanini tusitekeleze sheria za maadili na zipo
 
Viongozi wako wapi? Wako full AC Toyota Hard Top
 
Viongozi akina Tale tale na Kapuya?
 
Huwa kazi ya hizo dini zenu zilizojaza wafuasi huwa ni nini?
 
Tuweke pembeni kwanza suala la maadili, je ni nyanja ipi ambayo viongozi wetu wameifanyia kazi kwa ufasaha? Uchumi, michezo, elimu,afya, miundombinu au teknolojia? Kama kila nyanja unayoigusa ni uozo mtupu kwanini unatarajia hapo kwenye maadili hali itakua tofauti?. Kwa kifupi viongozi wetu hawana uwezo na ueledi. Tukiweka vizuri mfumo wetu wa kupata competence leaders hayo masuala mengine yatakaa sawa tu automatically
 
Kuna nyanja ni muhimu kuliko umuhimu wenyewe hili swala la maadili ni muhimu sana

Pamoja na ubovu wao na ubovu wa katiba ni muhimu wakaliangalia kizazi kinaangamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…