Hali mtaani ni mbaya sana cha ajabu viongozi wapo kimya kama hawaoni

Chai ikizidi sukari inakosa utamu
Ndio na Sukari ikizidi Chai utamu unaisha acha waendelee kutuonyesha UCHI wao, hivi ushawahi kukutana na Hawa wanaovaa taiti zile zinazobana k.uma yaan taiti imebana k.uma unaiona kabisa Ile imejichora halafu hawavai CHUPI na hawajishtukii
 
Huo ni upepo was anguko la kimaadili ulimwenguni pote!

Ni kama biashara ya ushoga na ukahaba nani ataizuia Kwa maneno zaidi ya mtu mwenyewe!!?
 
Huwa kazi ya hizo dini zenu zilizojaza wafuasi huwa ni nini?
Dini zipo ndani ya serikali kwa maana serikali ndio mtawala wa kila kitu ndani ya nchi kwaiyo haiwezi kukwepa wajibu huu wa kulinda maadili na udhalilishwaji wa jinsia ke
 
Ndio na Sukari ikizidi Chai utamu unaisha acha waendelee kutuonyesha UCHI wao, hivi ushawahi kukutana na Hawa wanaovaa taiti zile zinazobana k.uma yaan taiti imebana k.uma unaiona kabisa Ile imejichora halafu hawavai CHUPI na hawajishtukii
Tuchukulie wamejisahau au wanafanyia shida ili wauze ni nani wa kuwakanya na kuwazuia zaidi ya mkono wa serikali mtu mmoja mmoja hauwezi

Kuna kundi kubwa la wanawake wenyewe hapendi jinsi wenzao wanavyowadhalilisha ila hawana cha kufanya
 
Huo ni upepo was anguko la kimaadili ulimwenguni pote!

Ni kama biashara ya ushoga na ukahaba nani ataizuia Kwa maneno zaidi ya mtu mwenyewe!!?
Kwa mtu mwenyew ni ngumu sana mkuu huo ni kama uraibu kuuacha ni kazi na kuuingia ni rahisi

Siku zote hakuna mtu anapenda kulipa kodi ila kwa mkono wa serikali watu wanalipa either kwa kufungiwa biashara au kamatakamata hata hili wakiliamulia linawezekana
 
Nini hoja Yako? Watu waache kununua Malaya au?
 
Hii ya kusema wanawake ni mama zetu si sahihi mama yako ni mama yako. Mama yako hawezi kukuuwa, ila mwanamke anaweza kukuuwa. Mtetee mama yako usiwatetee wanawake.
 
Hii ya kusema wanawake ni mama zetu si sahihi mama yako ni mama yako. Mama yako hawezi kukuuwa, ila mwanamke anaweza kukuuwa. Mtetee mama yako usiwatetee wanawake.
Hapana mkuu kwa lugha nyepesi kabisa ni kuwa siwezi kumdhalilisha mama yako eti kisa sio mama yangu, nikamtukana au nikafurahia akitembea uchi akijiuza hiyo sio sahihi
 
Pamoja na mmomonyoko wa maadili uliopo, bado ni vigumu sana kutofautisha mtu anayejiuza na mtu anayefanya mapenzi na mwenza wake.

Sheria haikatazi mtu kuwa malaya ama kuwa na michepuko, bali sheria inakataza mtu kujipatia fedha/mali kupitia umalaya/kujiuza.
 
CHANZO CHA HALI MBAYA MITAANI NI CCM NA HAO VIONGOZI WAPO KIMYA NI WA CCM WAO WANAKULA KEKI YA TAIFA NA FAMILIA ZAO ENDELEENI KUIPENDA CCM NAYO ITAENDELEA KUWATESA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…