Ni kweli kwa sheria zetu na mgandamizo wa democracy watu wanajifichia ndani kwa ndani kwenye izo sheriaPamoja na mmomonyoko wa maadili uliopo, bado ni vigumu sana kutofautisha mtu anayejiuza na mtu anayefanya mapenzi na mwenza wake.
Sheria haikatazi mtu kuwa malaya ama kuwa na michepuko, bali sheria inakataza mtu kujipatia fedha/mali kupitia umalaya/kujiuza.
Mfano unapendekeza chama gani kipewe madaraka ambacho kinaweza tekeleza haya!CHANZO CHA HALI MBAYA MITAANI NI CCM NA HAO VIONGOZI WAPO KIMYA NI WA CCM WAO WANAKULA KEKI YA TAIFA NA FAMILIA ZAO ENDELEENI KUIPENDA CCM NAYO ITAENDELEA KUWATESA
Serikali na wazazi wote wanasaidiana kulea, mbona mzazi asipompeleka mtoto wake mwenyew shuleni serikali inamfunga mzaziMmomonyoko wa maadili unaanzia ngazi ya familia...wazazi wa zama hizi wamekuwa wapumbavu sana.
Malezi mabovu ya watoto ndio mzizi na chimbuko la matatizo yote ya maadili mabaya kwenye jamii.
Unataka serikali ndio ikulelee watoto uliowaleta duniani kwa starehe zako?
Hebu punguzeni kujipa umuhimu kwenye serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole lakini ,ila mambo mengine nikujitakia kama anajiuza acha apate vyake ,kwani wameshindwa kwenda kulima kama wamekosa kazi zingine sometimes viongozi tunawaone tuNi siku nyingine tena, nawasalimu
Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini?
Wanawake wanadhalilika sana wengine kwa kupenda wengine kwa kutokupenda. Wanawake ndio kioo cha maadili, hali ya kupuuza na kuacha wajiuze, watembee uchi kama bidhaa, watukanwe matusi ya nguoni kama wafanyavyo wasanii na watu wengine mtaani na udhalilishaji mwingine ni kukididimiza kizazi na jamii kwa ujumla
Uongozi ni kuonesha dira njema katika taifa katika nyanja zote kiuchumi na kijamii, kitendo cha viongozi kukalia kimya suala hili la udhalilishaji wa wanawake ni kukwepa uwajibikaji nashauri mamlaka ziangalie suala hili kwa undani na wachukue hatua stahiki
Wanawake ni mama zetu, dada zetu na ndugu zetu kumdhalilisha mwanamke yeyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako au dada yako jamii ilitazame hili
Ahsanteni
Wanaendelea kugawana na kuficha maburungutu ya hela hamna kipindi ambacho wezi wapo huru kama hikiNi siku nyingine tena, nawasalimu
Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini?
Wanawake wanadhalilika sana wengine kwa kupenda wengine kwa kutokupenda. Wanawake ndio kioo cha maadili, hali ya kupuuza na kuacha wajiuze, watembee uchi kama bidhaa, watukanwe matusi ya nguoni kama wafanyavyo wasanii na watu wengine mtaani na udhalilishaji mwingine ni kukididimiza kizazi na jamii kwa ujumla
Uongozi ni kuonesha dira njema katika taifa katika nyanja zote kiuchumi na kijamii, kitendo cha viongozi kukalia kimya suala hili la udhalilishaji wa wanawake ni kukwepa uwajibikaji nashauri mamlaka ziangalie suala hili kwa undani na wachukue hatua stahiki
Wanawake ni mama zetu, dada zetu na ndugu zetu kumdhalilisha mwanamke yeyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako au dada yako jamii ilitazame hili
Ahsanteni
Sikatai maana wewe ni chizi piaKweli wewe ni chizi
Umalaya ni kosa ila kuvaa unayofikiria haina maadili sio kosa, na sijakuelewa maana usije ukawa unataka tupangiane mavazi kama IranNi kweli ni jukumu langu lakini hata ulinzi na usalama ni jukumu la jamii ila kuna majeshi na askari wanalipwa kwa ajili ya jukum hilo
sasa ulitaka viongozi wapige hodi kwenye kila nyumba wafundishe maadili?Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini?
Kiongozi wa serikali kazi yake ni nini mkuu kula mishahara tusasa ulitaka viongozi wapige hodi kwenye kila nyumba wafundishe maadili?
Kila mtu ashughulike na familia yake jamani siyo kila kitu viongozi, kiongozi wa kwanza ni wewe kwenye familia.
Hilo ni jukumu la jamii, si serikali peke yake, jamii ndio enable hawa watu.Ni siku nyingine tena, nawasalimu