Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 375
- 465
Jamii na viongoz wapi wako wengi? Mafano: kila uchaguzi wanakuja ishawishi jamii iwape kura, bila jamii kukubali hamna kuraViongozi nao ni miongoni mwa jamii
Serikali ina mkono mrefu kuna mengi sana yanatekelezwa hata bila wananchi kutaka mfano tozoJamii na viongoz wapi wako wengi? Mafano: kila uchaguzi wanakuja ishawishi jamii iwape kura, bila jamii kukubali hamna kura
Yoye haya wanachangiwa pakubwa na utandawazi na muziki wa kizazi kipya full stopNi siku nyingine tena, nawasalimu
Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini?
Wanawake wanadhalilika sana wengine kwa kupenda wengine kwa kutokupenda. Wanawake ndio kioo cha maadili, hali ya kupuuza na kuacha wajiuze, watembee uchi kama bidhaa, watukanwe matusi ya nguoni kama wafanyavyo wasanii na watu wengine mtaani na udhalilishaji mwingine ni kukididimiza kizazi na jamii kwa ujumla
Uongozi ni kuonesha dira njema katika taifa katika nyanja zote kiuchumi na kijamii, kitendo cha viongozi kukalia kimya suala hili la udhalilishaji wa wanawake ni kukwepa uwajibikaji nashauri mamlaka ziangalie suala hili kwa undani na wachukue hatua stahiki
Wanawake ni mama zetu, dada zetu na ndugu zetu kumdhalilisha mwanamke yeyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako au dada yako jamii ilitazame hili
Ahsanteni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mikopo kausha damu chupi mkononi inawadharirisha sana wanawake.
Inaitwa chupi mkononi kwa sababu mwanamke hana kipato cha uhakika anachukua mkopo unategemea nini zaidi ya kuvua chupi ili akalipe mkopo asichukuliwe vitu vyake
Kwani maadili lazima yaambatane na Dini? Mbna unachanganya mambo wee?Kabla hujazungumzia maadili jiulize kwanza sera za ubepari impact zake.
Ukitaka maadili ifanye Nchi iwe mfumo wa dini ndio utaweza ku control hayo maadili
Jamii itazame udhalilishaji kwa wote ama wanawake pekee?kumdhalilisha mwanamke yeyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako au dada yako jamii ilitazame hili
Nilitaka kushangaa Ushoga usitajweee, hivi Ushoga unawatesa sanaa eeeeh? KhaaaaahHuo ni upepo was anguko la kimaadili ulimwenguni pote!
Ni kama biashara ya ushoga na ukahaba nani ataizuia Kwa maneno zaidi ya mtu mwenyewe!!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wale watoto wanajiita 32 mara sijui 45 hawana adabu hata chembe mpaka unajiuliza kizazi chake kitakuwaje huyu
Umalaya ni kosa ila kuvaa unayofikiria haina maadili sio kosa, na sijakuelewa maana usije ukawa unataka tupangiane mavazi kama Iran
Sina maana tuwe kama iran ila atleast tuwastiri hawa watu kwa sheria ndogo ndogo imekuwa too muchUmalaya ni kosa ila kuvaa unayofikiria haina maadili sio kosa, na sijakuelewa maana usije ukawa unataka tupangiane mavazi kama Iran
Pole ndio haiba ya viongoz wetu wanapenda kuwa wamwisho kwenye matatizo badala ya kuwa wa kwanzaNilikuwa na changamoto ofisi Fulani hivyo ikapelekea nimtafute mbunge wangu aliposikia alisikitika sana kwa changamoto hiyo.lakini alichonijibu alisema Nenda kamalizane nao kwahyo hakunipa msaada wowote
Jamii inakiwa ianze ku apply pressure kwa viongozi , jamii ndio yenye power zaidi. Jamii ina nguvu zaidi kuliko viongozi, tumeona recently mwako wa jamii umeeafanya serikal inaze kuwajibika zaidi kwneye mambo mbali mbali.Serikali ina mkono mrefu kuna mengi sana yanatekelezwa hata bila wananchi kutaka mfano tozo
Kwaiyo hata hili wakilitilia mkazo linatekelezeka japo tumegawanyika wapenda starehe na wapenda ustaarabu
Kwa kuwa wao ni binadamu zaidi kuliko wanaume?Wangeanza na wanawake
Wewe hata mshedede wako ukiwa nje hudhaliliki tofauti na mwanamke hapa naongelea maadili sio uchumiKwa kuwa wao ni binadamu zaidi kuliko wanaume?
Chakata akili yako ichangamke; binadamu wote ni sawa. Vita dhidi ya uovu vinapobagua makundi ya watu, huo ni ujinga uliobatizwa jina la UFEMINISTI!
Hakuna maadili ya kike wala ya kiume. Maadili ni maadili; ukiweka upendeleo hiyo ni ajenda binafsi.Wewe hata mshedede wako ukiwa nje hudhaliliki tofauti na mwanamke hapa naongelea maadili sio uchumi