Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
unapotosha wa wazi sana huu asubuhi mapema...Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa Viongozi wetu ndio wanaofaidi keki ya taifa ata wewe mkuu ulikiri wazi kuwa wateule wako wanakula sana watanzania wengi wamebakia kubangaiza
Vijana na ukosefu wa ajira
Wastaafu na kikokotoo
Watumishi na udogo wa mishahara
Machinga na migambo
Wafanyabiashara na utitiri wa Kodi
Wakulima na ukosefu wa masoko
UngeongezaKila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa Viongozi wetu ndio wanaofaidi keki ya taifa ata wewe mkuu ulikiri wazi kuwa wateule wako wanakula sana watanzania wengi wamebakia kubangaiza
Vijana na ukosefu wa ajira
Wastaafu na kikokotoo
Watumishi na udogo wa mishahara
Machinga na migambo
Wafanyabiashara na utitiri wa Kodi
Wakulima na ukosefu wa masoko
MtanikumbukaKila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa Viongozi wetu ndio wanaofaidi keki ya taifa ata wewe mkuu ulikiri wazi kuwa wateule wako wanakula sana watanzania wengi wamebakia kubangaiza
Vijana na ukosefu wa ajira
Wastaafu na kikokotoo
Watumishi na udogo wa mishahara
Machinga na migambo
Wafanyabiashara na utitiri wa Kodi
Wakulima na ukosefu wa masoko
Usitudanganye Hali ni ngumuunapotosha wa wazi sana huu asubuhi mapema...
wenye bidii ya kutafuta na moyo wa kutokukata tamaa wanakutazama na kukushangaa tu, wanatakufakari kwamba uskute, huyu mvivu ameandika upotoshaji halafu karudi kitandani kulala dah🐒
tafuta namna binafsi ya kuilainisha na kuitatua hiyo hali gentleman, na hakuna namna nyingine, ila you must work hard🐒Usitudanganye Hali ni ngumu
Tunateswa sana kama Wana Waisrael walivyokuwa wanatumikishwa na farao kule misri tunateswa sana na serikali hii tunafanya kazi lakini pesa wanachukua wao tunamuomba Mungu atupe Musa mwingine atuongoze turudi kaananGharama za maisha zimepanda, wao hawawezi kuzisikia sababu wanachota vikubwa, hivyo hawana tabu.
Machawa wa, CCM, kama, kama kale ka dada penyeza, sijuhi peneza,baada ya kuongelea haya, kanajificha nyuma ya chadema, laiti kangejua kanatumika tu, utamu, ukiisha, kanatemwaKila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa Viongozi wetu pekee ndio wanaofaidi keki ya taifa ata wewe mkuu ulikiri wazi kuwa wateule wako wanakula sana watanzania wengi wamebakia kubangaiza
Vijana na ukosefu wa ajira
Wastaafu na kikokotoo
Watumishi na udogo wa mishahara
Machinga na migambo
Wafanyabiashara na utitiri wa Kodi
Wakulima na ukosefu wa masoko
Wewe mwenyewe ungekuwa busy mda huu wala tusingekuona humu tatizo ni uchawa tu unadhani utawafikisha wapiunapotosha wa wazi sana huu asubuhi mapema...
wenye bidii ya kutafuta na moyo wa kutokukata tamaa wanakutazama na kukushangaa tu, wanatakufakari kwamba uskute, huyu mvivu ameandika upotoshaji halafu karudi kitandani kulala dah🐒
hela ngumu hadi kwenye betting. imagine leverkusen kasepa na kijiji jana.Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa Viongozi wetu pekee ndio wanaofaidi keki ya taifa ata wewe mkuu ulikiri wazi kuwa wateule wako wanakula sana watanzania wengi wamebakia kubangaiza
Vijana na ukosefu wa ajira
Wastaafu na kikokotoo
Watumishi na udogo wa mishahara
Machinga na migambo
Wafanyabiashara na utitiri wa Kodi
Wakulima na ukosefu wa masoko
mbona umepanic gentleman,Wewe mwenyewe ungekuwa busy mda huu wala tusingekuona humu tatizo ni uchawa tu unadhani utawafikisha wapi
We huwezi kuelewa kwa kuwa ni chawa unategemea viji posho vya hao hao tunaowalalamikia.unapotosha wa wazi sana huu asubuhi mapema...
wenye bidii ya kutafuta na moyo wa kutokukata tamaa wanakutazama na kukushangaa tu, wanatakufakari kwamba uskute, huyu mvivu ameandika upotoshaji halafu karudi kitandani kulala dah🐒
amka basi mihogo ya chai itaisha, acha uvivu, ongeza bidii ya kazi, nakauhakikishia hutalalamikaWe huwezi kuelewa kwa kuwa ni chawa unategemea viji posho vya hao hao tunaowalalamikia.