Ni tabia tu kaka, haihusiani na ulemavu wake!! Muwe na aman Kutuajiri wakuuPole sana mkuu.One day Yes.
Japo wachache wenu wanazingua.Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi Mwanza kabla sijahamia Arusha nilienda ofsi flani nikakuta mtu mwenye ulemavu wa viungo aiseee nilijuta ana majibu ya hovyo yule usiombe kukutana nae.
Nashukuru kwa ushauri wako!! Nimewahi shuhudi moja ya watu niliosoma nao alikua anaandikia Mguu!! Na anaandika vizuri kabisa!! Sasa huyu ata akifaulu halafu akakosa kazi inaumiza sanKabisa yaani Tena ilikuwa hata bila kusoma mlemavu yeyote awe na ruzuku kabisa na inawezekana lkn nani wakufanya Hilo? Watu wazima jua linawakia utosini walemavu Hali iko vipi? Ushaur: wapatiwe ruzuku ya kujikimu Kila mwezi Ili nao wafurahie maisha na Hilo linawezekana.
Hawa si wakufanya labda wapewe elimu kwenye taasisi kubwa na kazi Yao itakuwa ni kuelimisha watu kuhusu kitu flani basi na hiyo ni kwa wote walemavu hii kusoma ni Kuwaibia tu, hata mlemavu anaibiwa?Nashukuru kwa ushauri wako!! Nimewahi shuhudi moja ya watu niliosoma nao aliikua anaandikia Mguu!! Na anaandika vizuri kabisa!! Sasa huyu ata akifaulu halafu akakosa kazi inaumiza san
Mungu ni mwema utaajiriwa kaka.Ni tabia tu kaka, haihusiani na ulemavu wake!! Muwe na aman Kutuajiri wakuu
Kweli MUNGU ni mwema!.. wadau wa JF hili jambo nimelileta kwenu!! Mtusaidie kupaza sautiMungu ni mwema utaajiriwa kaka.
Huwa nashangaa wanawake ndo wanapewa kipaumbele zaidi kuliko watu wenye ulemavu
Cjaelewa mkuu, labda ufafanue zaidHawa si wakufanya labda wapewe elimu kwenye taasisi kubwa na kazi Yao itakuwa ni kuelimisha watu kuhusu kitu flani basi na hiyo ni kwa wote walemavu hii kusoma ni Kuwaibia tu, hata mlemavu anaibiwa?
Sawa mkuu.Kweli MUNGU ni mwema!.. wadau wa JF hili jambo nimelileta kweny!! Mtusaidie kupaza sauti
Dah! Viongozi hawa wa ccm?Pole sana mkuu
Nadhani viongozi wataona hii taarifa walifanyie kazi
Pole sana Mungu awasaidie
Kuwa na shida ya viungo haimaanishi mtu haupo capable, kwasababu kazi nying zinatumia knowledge tu!!.Hii issue yako ni ngum sana kujadili, ila ukweli ndo huo kila taasis inahitaji Capable and productive personel to fix the goals.
Lakin serkali ikiangalia vizur kuna kazi zisizohitaji nguvu nyingi wala movement wangewapa kipaumbele.
Kwa private siwez kuwalaum wale ni wafanyabiashara wanaangalia productivity.
Vijana wanapamban sana.. ni wakat sasa Jamii isikie kilio chao!Dah! Viongozi hawa wa ccm?
Kweli hili ni changamoto maeneo mengi, japo miaka ya karibuni kwenye majengo ya Umma hasa ya Serikali wameanza kuweka accessories za kuweza kuwa accommodate watu wenye ulemavu piaTunaelewa bt kuna muda nako huwezi laumu sana. Hata miundombinu mingi ya ofisi zetu si rafiki kwa wenzetu.
Hata katika ujenzi miundombinu ya wenzetu inaongeza gharama sana.
Jiulize tu hata nyumba zetu tunazojenga ni rafiki kwa wenye ulemavu?
Kama hawa ajiri walemavu hizo Changamoto hawawezi kuziona!! Maana hakuna mtu mwenye uhitaji huo kweny ofc zaoKweli hili ni changamoto maeneo mengi, japo miaka ya karibuni kwenye majengo ya Umma hasa ya Serikali wameanza kuweka accessories za kuweza kuwa accommodate watu wenye ulemavu pia
Ni mwanzo mzuri kwa kuanzia
Lakini kuna uwakilishi wa Watu wenye ulemavu bungeni, nafikiri yule Mwanamuziki Keisha aliingia bungeni Kwa tiketi hiyoKama hawa ajiri walemavu hizo Changamoto hawawezi kuziona!! Maana hakuna mtu mwenye uhitaji huo kweny ofc zao
Kuna takiwa kiwe na Affirmative actions ...Equity linapokuja suala la Ajira kwa Watu Wenye Ulemavu.Ingawaje ukweli ni kwamba kwa Sekta Binafsi ni jambo gumu! Ila Serikali unaweza .Pole sana mkuu.
Ni swali tu ambalo nahitaji uelewa, hivi kwenye usaili hasa serikalini, swala la ulemavu ni kigezo au ni kipaumbele katika kupata ajira? Naomba kujuzwa.
Kwa sababu kwa hali iliyopo sasa sidhani kama issue ni walemavu vs wasiokuwa walemavu, unless otherwise uwe competent na bado ufanyiwe figisu kutokana na hali yako. Ninachofahamu Issue ya ajira ni janga la kitaifa.
I stand to be corrected.
Nafikiri kwasasa imekuwa mtihan kwake, au majukum yamemzidiaLakini kuna uwakilishi wa Watu wenye ulemavu bungeni, nafikiri yule Mwanamuziki Keisha aliingia bungeni Kwa tiketi hiyo
Nadhani alipaswa kulisemea hili kwaajili ya kutungwa sera na kanuni zitakazo mbana mwajiri kutoa kipaumbele cha ajira Kwa watu wenye ulemavu pia
Jambo hili ni wote tuu!! Japo serikali inatakiwa ionyeshe mfanoKuna takiwa kiwe na Affirmative actions ...Equity linapokuja suala la Ajira kwa Watu Wenye Ulemavu.Ingawaje ukweli ni kwamba kwa Sekta Binafsi ni jambo gumu! Ila Serikali unaweza .
Huenda ikawa hivyoNafikiri kwasasa imekuwa mtihan kwake, au majukum yamemzidia
Mbunge kuwa msanii ni Changamoto wakati mwingne.. si rahis hata kuonana nae kwa status yake ya Usanii,Huenda ikawa hivyo
Pole sana Mkuu...Mbunge kuwa msanii ni Changamoto wakati mwingne.. si rahis hata kuonana nae kwa status yake ya Usanii,
halafu kuongezea na Ubunge ndo kabisa!!.. sijajua kwa wengine lakin kwetu ni Changamoto sana
Huwezi pata hata hio nafasi, na hata simu zikipigwa ukijitambulisha tuu basi, unaweza usipat nafas ya kuongea chochote tena.
Hili limewakuta wengi na mi mmoja wapo