DOKEZO Hali ni mbaya sana kwa walemavu tuliosoma, Si Serikali wala kampuni binafsi ambazo ziko tayari kutuajiri. Tunabaguliwa

DOKEZO Hali ni mbaya sana kwa walemavu tuliosoma, Si Serikali wala kampuni binafsi ambazo ziko tayari kutuajiri. Tunabaguliwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Pole sana mkuu.One day Yes.

Japo wachache wenu wanazingua.Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi Mwanza kabla sijahamia Arusha nilienda ofsi flani nikakuta mtu mwenye ulemavu wa viungo aiseee nilijuta ana majibu ya hovyo yule usiombe kukutana nae.
Ni tabia tu kaka, haihusiani na ulemavu wake!! Muwe na aman Kutuajiri wakuu
 
Kabisa yaani Tena ilikuwa hata bila kusoma mlemavu yeyote awe na ruzuku kabisa na inawezekana lkn nani wakufanya Hilo? Watu wazima jua linawakia utosini walemavu Hali iko vipi? Ushaur: wapatiwe ruzuku ya kujikimu Kila mwezi Ili nao wafurahie maisha na Hilo linawezekana.
Nashukuru kwa ushauri wako!! Nimewahi shuhudi moja ya watu niliosoma nao alikua anaandikia Mguu!! Na anaandika vizuri kabisa!! Sasa huyu ata akifaulu halafu akakosa kazi inaumiza san
 
Nashukuru kwa ushauri wako!! Nimewahi shuhudi moja ya watu niliosoma nao aliikua anaandikia Mguu!! Na anaandika vizuri kabisa!! Sasa huyu ata akifaulu halafu akakosa kazi inaumiza san
Hawa si wakufanya labda wapewe elimu kwenye taasisi kubwa na kazi Yao itakuwa ni kuelimisha watu kuhusu kitu flani basi na hiyo ni kwa wote walemavu hii kusoma ni Kuwaibia tu, hata mlemavu anaibiwa?
 
Ni tabia tu kaka, haihusiani na ulemavu wake!! Muwe na aman Kutuajiri wakuu
Mungu ni mwema utaajiriwa kaka.
Huwa nashangaa wanawake ndo wanapewa kipaumbele zaidi kuliko watu wenye ulemavu
 
Mungu ni mwema utaajiriwa kaka.
Huwa nashangaa wanawake ndo wanapewa kipaumbele zaidi kuliko watu wenye ulemavu
Kweli MUNGU ni mwema!.. wadau wa JF hili jambo nimelileta kwenu!! Mtusaidie kupaza sauti
 
Hawa si wakufanya labda wapewe elimu kwenye taasisi kubwa na kazi Yao itakuwa ni kuelimisha watu kuhusu kitu flani basi na hiyo ni kwa wote walemavu hii kusoma ni Kuwaibia tu, hata mlemavu anaibiwa?
Cjaelewa mkuu, labda ufafanue zaid
 
Hii issue yako ni ngum sana kujadili, ila ukweli ndo huo kila taasis inahitaji Capable and productive personel to fix the goals.
Lakin serkali ikiangalia vizur kuna kazi zisizohitaji nguvu nyingi wala movement wangewapa kipaumbele.
Kwa private siwez kuwalaum wale ni wafanyabiashara wanaangalia productivity.
 
Kuwa na shida ya viungo haimaanishi mtu haupo capable, kwasababu kazi nying zinatumia knowledge tu!!.

Hakuna shida kabisa!! Tena Kuna ambao walienda mpka jeshini (jkt)kwa Mujibu wa Sheria na walimaliza mafunzo Yao vyema kabisa
 
Tunaelewa bt kuna muda nako huwezi laumu sana. Hata miundombinu mingi ya ofisi zetu si rafiki kwa wenzetu.

Hata katika ujenzi miundombinu ya wenzetu inaongeza gharama sana.

Jiulize tu hata nyumba zetu tunazojenga ni rafiki kwa wenye ulemavu?
Kweli hili ni changamoto maeneo mengi, japo miaka ya karibuni kwenye majengo ya Umma hasa ya Serikali wameanza kuweka accessories za kuweza kuwa accommodate watu wenye ulemavu pia

Ni mwanzo mzuri kwa kuanzia
 
Kama hawa ajiri walemavu hizo Changamoto hawawezi kuziona!! Maana hakuna mtu mwenye uhitaji huo kweny ofc zao
 
Kama hawa ajiri walemavu hizo Changamoto hawawezi kuziona!! Maana hakuna mtu mwenye uhitaji huo kweny ofc zao
Lakini kuna uwakilishi wa Watu wenye ulemavu bungeni, nafikiri yule Mwanamuziki Keisha aliingia bungeni Kwa tiketi hiyo

Nadhani alipaswa kulisemea hili kwaajili ya kutungwa sera na kanuni zitakazo mbana mwajiri kutoa kipaumbele cha ajira Kwa watu wenye ulemavu pia
 
Pole sana mkuu.

Ni swali tu ambalo nahitaji uelewa, hivi kwenye usaili hasa serikalini, swala la ulemavu ni kigezo au ni kipaumbele katika kupata ajira? Naomba kujuzwa.

Kwa sababu kwa hali iliyopo sasa sidhani kama issue ni walemavu vs wasiokuwa walemavu, unless otherwise uwe competent na bado ufanyiwe figisu kutokana na hali yako. Ninachofahamu Issue ya ajira ni janga la kitaifa.

I stand to be corrected.
Kuna takiwa kiwe na Affirmative actions ...Equity linapokuja suala la Ajira kwa Watu Wenye Ulemavu.Ingawaje ukweli ni kwamba kwa Sekta Binafsi ni jambo gumu! Ila Serikali unaweza .
 
Lakini kuna uwakilishi wa Watu wenye ulemavu bungeni, nafikiri yule Mwanamuziki Keisha aliingia bungeni Kwa tiketi hiyo

Nadhani alipaswa kulisemea hili kwaajili ya kutungwa sera na kanuni zitakazo mbana mwajiri kutoa kipaumbele cha ajira Kwa watu wenye ulemavu pia
Nafikiri kwasasa imekuwa mtihan kwake, au majukum yamemzidia
 
Kuna takiwa kiwe na Affirmative actions ...Equity linapokuja suala la Ajira kwa Watu Wenye Ulemavu.Ingawaje ukweli ni kwamba kwa Sekta Binafsi ni jambo gumu! Ila Serikali unaweza .
Jambo hili ni wote tuu!! Japo serikali inatakiwa ionyeshe mfano
 
Huenda ikawa hivyo
Mbunge kuwa msanii ni Changamoto wakati mwingne.. si rahis hata kuonana nae kwa status yake ya Usanii,

halafu kuongezea na Ubunge ndo kabisa!!.. sijajua kwa wengine lakin kwetu ni Changamoto sana

Huwezi pata hata hio nafasi, na hata simu zikipigwa ukijitambulisha tuu basi, unaweza usipat nafas ya kuongea chochote tena.

Hili limewakuta wengi na mi mmoja wapo
 
Pole sana Mkuu...

Kama una hoja unayotaka imfikie, sio lazima iende kwake.

Waweza ukai-channel Kwa Waziri husika.

Hopefully Waziri atakuwa na nafasi kubwa kukujibu kuliko huyo Mbunge.
 
Back
Top Bottom