DOKEZO Hali ni mbaya sana kwa walemavu tuliosoma, Si Serikali wala kampuni binafsi ambazo ziko tayari kutuajiri. Tunabaguliwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Pole sana kiongozi Mungu akasimame nawe nankukutimizia haja ya moyo wako
 
Mungu wetu akutazame kwa jicho la huruma
 
Nadhani shida ni kuwa accomodate ni ghali sana sio ubaguzi tu. Mnahitaji special care kulinganisha na wengine. Tanzania bado haina miu fombi u mizuri kwa ajoli ya walemavu. Mazingira ya kazi ni magumu hata kwa wasio walemavu.
Ni muda sasa walemavu nanyi muwe wabunifu ili msitegemee ajira za whitecolor job.
Pole sana.
 
 
Hakuna watu wakorofi kazini kama walemavu.

Nimekoma.
Dada angu Faiza, mlemavu ni mtu wa kawaida kabisa, mwenye tabia naturally za kibinadamu ambazo hazijatokana na kuwa mlemavu!! Kwahio utakutana na wenye tabia tofauti kabisa!! Nafikiri ukisema sisi ni wakorofi ni Kama hatuko kweny makundi ya kibinadamu!! Najua hata hapo kazini kwako wapo wakorofi ambao c WALEMAVU, lakn huwezi generalize kwamba wasio Walemavu ni wakorofi!! Nafikiri ulikutana na binadamu mkorofi tuu
 
Reactions: Cyb
Pole Sana mkuu
 
Hapana mkuu hambaguliwi ila tu ajira hakuna hivi fikiria mtu kagraduate mwaka 2010 na mpaka Leo anasambaza bahasha na kila usahili yupo
 
Una ushauri mzuri sana!! Lakin huwa Angalau tunapambana na Elimu ili kusiwe na sababu ya kutoajirika kabisa!! Kama angalau tungekuwa na ajira maalumu tungesaidiana sisi kwa sisi pia... Maan si wote wanafanikiwa kupata elim
 
Hapana mkuu hambaguliwi ila tu ajira hakuna hivi fikiria mtu kagraduate mwaka 2010 na mpaka Leo anasambaza bahasha na kila usahili yupo
Hata Mimi nilikua nawaza Kama wew!! Lakn mpaka nimekutana na hio issue ya kubaguliwa.. boss akiwa anasema kabisa kwamba nawezaje kukuajiri halafu baada ya siku mbili uende Hosp... Na sio kwangu tuu tayari nimepokea kesi kwa jamaa zangu kadhaa.
 
Nimepngelea uzoefu nilionao kwao.

Kweli ni watu wanl kawaidà lakini ni wakorofi sana kazini. Nibwao wenyewe wanaohis8 inatakiwa wawe treated kama sio watu wa kawaida.


Mwana complex za ajabu. Ukiwa treat kama mtu mwengine yeyote kosa, ukiwa treat kama walemavu kosa.
 
Reactions: Cyb
Mada hii iwekwe pale juu kwenye sticky pia isambazwe kwenye mitandao mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…