Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaTatizo liko wapi kama anaweza kuifanya kazi aliyoajiriwa, mimi nigeajiri bila matatizo na sio swala la huruma ni qualifications
Nakubaliana na wewe .Hakuna watu wakorofi kazini kama walemavu.
Nimekoma.
Mungu wetu akutazame kwa jicho la hurumaNiende kwenye mada moja kwa moja!!.
Nimekuwa moja ya wahanga wa hili Tatizo kwa muda mrefu sana
Kati ya watu wanaosoma kwa mateso makubwa sana ni watu wenye ulemavu, kuanzia shule za msingi mpaka sekondari, hii inatokana na miundo mbinu mingi kuwa tofauti na Hali zetu watu wenye ulemavu.
Wakati mtu mwenye ulemavu anapambna akiamini kuwa yeye hawez kulima, kutembeza mitumba, Wala kufanya kazi ngumu za ujenzi akitegemea akili yake tu ya darasani angalau impe mwanga wa maisha.
Baada ya ajira huyu mtu mwenye ulemavu anaanza kuzunguka na baiskeli yake au magongo yake kweny interview mbalimbali, wakati mwingine hufanyika mikoani, au kwenye majengo yasiyo na lift.
Wengi wanaishia kukata tamaa sana.
Kuna sehemu niliwahi kataliwa kabisa kisa mimi ni mlemavu kwamba siwezi kufanya hio kazi kwasababu nitakuwa naenda sana hospitali, yaani trip kazini trip hospitali. Wanahisi labda sisi ni wagonjwa fulani hivi,
Inaumiza sana sana, naongea kwa niaba Yao sana.
Wengi walioajiriwa ni sababu za kisiasa, ili ionekane hawabaguliwi hasa kwenye sekta zinazohusiana na walemavu ndio huko wamejazwa!
Nina watu nawajua ni walemavu, wanapitia kipindi kigumu sana lakini wakiwa na elimu Yao kichwani! Yaani huu unyanyapaa huwezi ona kwa jicho la kawaida! Ni dhamira za watu.
Kitanda usicholalia huwezi jua kunguni wake!! We feel pain sana sana
Natimiza mwaka wa saba(7) tangu nimalize digrii yangu ya usimamizi wa fedha..
Serikali haitujali tena, zaidi ya kutulazimisha tukope pesa tuu.
Wadau wapo kimaslahi na kisiasa zaidi wapate attention wakati wanatoa misaada.
Hata vyama vya walemavu sasa hawana la kusema baada ya kulamba sukari
Sisi tukimbilie wapi zaidi yenu wadau wa hapa JF, tusaidieni kupaza sauti sisi walemavu tuliopambana kusoma kwa bidii, tunatamani kubeba tofali angalau tupate mkate wa kila siku lakini Hali zetu hazituruhusu.
Tuliamini katika elimu nayo imetusaliti, nchi imetutenga, tuna hari mbaya sana
Shuleni hujaenda kupata akili ya darasani tu usikate taamaaUkifikia hatua hii hakuna namna kabisa!! Inabid uanze ziro kabisa!! Kiasi unajuta kupoteza muda darasan
Nadhani shida ni kuwa accomodate ni ghali sana sio ubaguzi tu. Mnahitaji special care kulinganisha na wengine. Tanzania bado haina miu fombi u mizuri kwa ajoli ya walemavu. Mazingira ya kaziNi binadamu Kama binadamu wengine! Sisi huwa wakati mwingi tuna feel the same na watu wengine!.. Kwahio sisi sio kwamba tunaishi tukiwa tuna group letu tofauti na binadamu wengine hapana!! Kama ilivyo kwa mtu wa kawaida kulamba sukar, na huku ni vivyo hivyoSasa hata walemavu pia mnasalitiana kwa kulambishwa sukari Basi hàkuna haja ya kulaumu wasio walemavu kuwabagua, acheni kwanza kubaguana ninyi kwa ninyi ndo muanze kuwalaumu wasio walemavu.
Tuko wengi sana, tafadhali tupazien sauti zetuMungu wetu akutazame kwa jicho la huruma
Wana JF tupazien sauti zetu tumehangaika sehem nyingi lakn hakuna tunachoambuliaPole sana kiongozi Mungu akasimame nawe nankukutimizia haja ya moyo wako
Dada angu Faiza, mlemavu ni mtu wa kawaida kabisa, mwenye tabia naturally za kibinadamu ambazo hazijatokana na kuwa mlemavu!! Kwahio utakutana na wenye tabia tofauti kabisa!! Nafikiri ukisema sisi ni wakorofi ni Kama hatuko kweny makundi ya kibinadamu!! Najua hata hapo kazini kwako wapo wakorofi ambao c WALEMAVU, lakn huwezi generalize kwamba wasio Walemavu ni wakorofi!! Nafikiri ulikutana na binadamu mkorofi tuuHakuna watu wakorofi kazini kama walemavu.
Nimekoma.
Natambua Hilo lakn sisi kukosa ajira maalumu ni mateso makubwa sana!! Tunachekaga usoni lakn mioyo yetu inavuja damu!! Jamii tusaidieniPole ndugu, Ajira Zina changamoto kwa wote walemavu na wasiowalemavu.....
Pole Sana mkuuNiende kwenye mada moja kwa moja!!.
Nimekuwa moja ya wahanga wa hili Tatizo kwa muda mrefu sana
Kati ya watu wanaosoma kwa mateso makubwa sana ni watu wenye ulemavu, kuanzia shule za msingi mpaka sekondari, hii inatokana na miundo mbinu mingi kuwa tofauti na Hali zetu watu wenye ulemavu.
Wakati mtu mwenye ulemavu anapambna akiamini kuwa yeye hawez kulima, kutembeza mitumba, Wala kufanya kazi ngumu za ujenzi akitegemea akili yake tu ya darasani angalau impe mwanga wa maisha.
Baada ya ajira huyu mtu mwenye ulemavu anaanza kuzunguka na baiskeli yake au magongo yake kweny interview mbalimbali, wakati mwingine hufanyika mikoani, au kwenye majengo yasiyo na lift.
Wengi wanaishia kukata tamaa sana.
Kuna sehemu niliwahi kataliwa kabisa kisa mimi ni mlemavu kwamba siwezi kufanya hio kazi kwasababu nitakuwa naenda sana hospitali, yaani trip kazini trip hospitali. Wanahisi labda sisi ni wagonjwa fulani hivi,
Inaumiza sana sana, naongea kwa niaba Yao sana.
Wengi walioajiriwa ni sababu za kisiasa, ili ionekane hawabaguliwi hasa kwenye sekta zinazohusiana na walemavu ndio huko wamejazwa!
Nina watu nawajua ni walemavu, wanapitia kipindi kigumu sana lakini wakiwa na elimu Yao kichwani! Yaani huu unyanyapaa huwezi ona kwa jicho la kawaida! Ni dhamira za watu.
Kitanda usicholalia huwezi jua kunguni wake!! We feel pain sana sana
Natimiza mwaka wa saba(7) tangu nimalize digrii yangu ya usimamizi wa fedha..
Serikali haitujali tena, zaidi ya kutulazimisha tukope pesa tuu.
Wadau wapo kimaslahi na kisiasa zaidi wapate attention wakati wanatoa misaada.
Hata vyama vya walemavu sasa hawana la kusema baada ya kulamba sukari
Sisi tukimbilie wapi zaidi yenu wadau wa hapa JF, tusaidieni kupaza sauti sisi walemavu tuliopambana kusoma kwa bidii, tunatamani kubeba tofali angalau tupate mkate wa kila siku lakini Hali zetu hazituruhusu.
Tuliamini katika elimu nayo imetusaliti, nchi imetutenga, tuna hari mbaya sana
Hapana mkuu hambaguliwi ila tu ajira hakuna hivi fikiria mtu kagraduate mwaka 2010 na mpaka Leo anasambaza bahasha na kila usahili yupoNiende kwenye mada moja kwa moja!!.

Una ushauri mzuri sana!! Lakin huwa Angalau tunapambana na Elimu ili kusiwe na sababu ya kutoajirika kabisa!! Kama angalau tungekuwa na ajira maalumu tungesaidiana sisi kwa sisi pia... Maan si wote wanafanikiwa kupata elimNadhani shida ni kuwa accomodate ni ghali sana sio ubaguzi tu. Mnahitaji special care kulinganisha na wengine. Tanzania bado haina miu fombi u mizuri kwa ajoli ya walemavu. Mazingira ya kazi ni magumu hata kwa wasio walemavu.
Ni muda sasa walemavu nanyi muwe wabunifu ili msitegemee ajira za whitecolor job.
Pole sana.
Hata Mimi nilikua nawaza Kama wew!! Lakn mpaka nimekutana na hio issue ya kubaguliwa.. boss akiwa anasema kabisa kwamba nawezaje kukuajiri halafu baada ya siku mbili uende Hosp... Na sio kwangu tuu tayari nimepokea kesi kwa jamaa zangu kadhaa.Hapana mkuu hambaguliwi ila tu ajira hakuna hivi fikiria mtu kagraduate mwaka 2010 na mpaka Leo anasambaza bahasha na kila usahili yupo
Nimepngelea uzoefu nilionao kwao.Dada angu Faiza, mlemavu ni mtu wa kawaida kabisa, mwenye tabia naturally za kibinadamu ambazo hazijatokana na kuwa mlemavu!! Kwahio utakutana na wenye tabia tofauti kabisa!! Nafikiri ukisema sisi ni wakorofi ni Kama hatuko kweny makundi ya kibinadamu!! Najua hata hapo kazini kwako wapo wakorofi ambao c WALEMAVU, lakn huwezi generalize kwamba wasio Walemavu ni wakorofi!! Nafikiri ulikutana na binadamu mkorofi tuu