wanavyobweka mitandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanavyobweka mitandaoni
Hongera Ilani ya Nilipigwa Risasi 32, Mimi ni Mkenya, Mbeligiji, na Damu za wanaoitwa Mabeberu n.k. Jamani naomba kura Mimi siwezi kuwa kama Majalala yanayotumikia Ofisi za Serikali. He is very stupid, than we think. Is that Politics that can convince voters to vot him. It is stupidity.Mwenye macho haambiwi tazama. Hali si shwari. Hali ni mbaya. Kampeni haziendi. Na wakizifosi ziendelee basi itabidi wavunje bank maana recurring costs zimekuwa kubwa kuliko ilivyotegemewa.
Wajumbe hawakuwa wapumbavu kuwakata vichwa hao mlowachagulia. Mkadhani labda watamwogopa Mwenyekiti lakini ndio kwanza wanamchomolea betri waziwazi. Na akiwafosi sana wanaenda kumkata hata Mwenyekiti mwenyewe.
Mama Maria nahisi kashukiwa na mume wake Mwl. Nyerere aje awaambie kwamba muache kufosi watu waje kuongeza idadi kwenye mikutano yenu. Mama Maria anaumwa hana muda na kampeni kajuaje mnasafirisha watu kuja kujaza viwanja, ni wazi atakuwa katumwa na malaika wa bwana kuja kuwagutua toka usingizini.
Mwanza leo mmesitisha masomo ili tuu muonekane mmejaza uwanja. Huku na kule Warioba naye kawapiga chembe kidevu. CCM amkeniiiii.
Ni muda muafaka wa kusitisha kampeni zenu mkajipange upyaa. Tena mtafute mzungumzaji kwa niaba ya mgombea wenu sababu ndipo penye ufa mkubwaaa.
Wakati ni ukuta huwezi kupambana nao.
Sasa mdee hilo lori lililosomba hizo tani za tofari si angeleta japo sturi wajameni
chagueni watu wa kutengeneza post za maana...
Sasa si ufurahi kwamba nyie mtashindaMwenye macho haambiwi tazama. Hali si shwari. Hali ni mbaya. Kampeni haziendi. Na wakizifosi ziendelee basi itabidi wavunje bank maana recurring costs zimekuwa kubwa kuliko ilivyotegemewa.
Wajumbe hawakuwa wapumbavu kuwakata vichwa hao mlowachagulia. Mkadhani labda watamwogopa Mwenyekiti lakini ndio kwanza wanamchomolea betri waziwazi. Na akiwafosi sana wanaenda kumkata hata Mwenyekiti mwenyewe.
Mama Maria nahisi kashukiwa na mume wake Mwl. Nyerere aje awaambie kwamba muache kufosi watu waje kuongeza idadi kwenye mikutano yenu. Mama Maria anaumwa hana muda na kampeni kajuaje mnasafirisha watu kuja kujaza viwanja, ni wazi atakuwa katumwa na malaika wa bwana kuja kuwagutua toka usingizini.
Mwanza leo mmesitisha masomo ili tuu muonekane mmejaza uwanja. Huku na kule Warioba naye kawapiga chembe kidevu. CCM amkeniiiii.
Ni muda muafaka wa kusitisha kampeni zenu mkajipange upyaa. Tena mtafute mzungumzaji kwa niaba ya mgombea wenu sababu ndipo penye ufa mkubwaaa.
Wakati ni ukuta huwezi kupambana nao.
ampeni zisitishwe kwa utaratibu upi au kwa sheria ipi , hakuna kusitisha kampeni , cha msingi tu mshindi huru atangazwe, haya ndo matunda ya kibri, nitakua wa kwanza kukemea endapo maraisi wastahafu hawatapatiwa stahiki zao kma wazee wastahafu,kampeni ziendeleeMwenye macho haambiwi tazama. Hali si shwari. Hali ni mbaya. Kampeni haziendi. Na wakizifosi ziendelee basi itabidi wavunje bank maana recurring costs zimekuwa kubwa kuliko ilivyotegemewa.
Wajumbe hawakuwa wapumbavu kuwakata vichwa hao mlowachagulia. Mkadhani labda watamwogopa Mwenyekiti lakini ndio kwanza wanamchomolea betri waziwazi. Na akiwafosi sana wanaenda kumkata hata Mwenyekiti mwenyewe.
Mama Maria nahisi kashukiwa na mume wake Mwl. Nyerere aje awaambie kwamba muache kufosi watu waje kuongeza idadi kwenye mikutano yenu. Mama Maria anaumwa hana muda na kampeni kajuaje mnasafirisha watu kuja kujaza viwanja, ni wazi atakuwa katumwa na malaika wa bwana kuja kuwagutua toka usingizini.
Mwanza leo mmesitisha masomo ili tuu muonekane mmejaza uwanja. Huku na kule Warioba naye kawapiga chembe kidevu. CCM amkeniiiii.
Ni muda muafaka wa kusitisha kampeni zenu mkajipange upyaa. Tena mtafute mzungumzaji kwa niaba ya mgombea wenu sababu ndipo penye ufa mkubwaaa.
Wakati ni ukuta huwezi kupambana nao.
View attachment 1562097
Watoto wa shule za msingi wanaamrishwa kushiriki uchafu huu na ccm ili iweje ?
Tuliaaa Dawa ikuingieee wewe Unaijua Halo mbaya wewe yaani unataka kuniambia BABA LAO mwenye nchi take anaweza kosa hela ya Mafuta ya Garii Mzeee anachanja Buga na anaeleweka Leo Mwanza Ndio Tumehitimisha Kampeni tunachofanya sasa in kusalimia wananchi na kusubiri kuapishwa
Hongera Ilani ya Nilipigwa Risasi 32, Mimi ni Mkenya, Mbeligiji, na Damu za wanaoitwa Mabeberu n.k. Jamani naomba kura Mimi siwezi kuwa kama Majalala yanayotumikia Ofisi za Serikali. He is very stupid, than we think. Is that Politics that can convince voters to vot him. It is stupidity.
Watanzania tuna akili zetu, Watandikane Risasi wenyewe kwa Maslahi ya misiasa yao na huruma tuwaonee cc namba....u
Dah! Bi Kidude juu ya matofali ndo jukwaa!!
Hahahah huyu Anawaaga Wna Kawe KijanjaDah! Bi Kidude juu ya matofali ndo jukwaa!!
Ni haki haya majizi yashindwe kujenga ofisi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh hoja mfu za kujifariji...mngetembea na wanamuziki na kukodi mibas ya kubebea wanafunziUpinzani ulishajifia tangu 2015, kilichobaki kwa Sasa ni futuhi.
Umenena mkuuMwenye macho haambiwi tazama. Hali si shwari. Hali ni mbaya. Kampeni haziendi. Na wakizifosi ziendelee basi itabidi wavunje bank maana recurring costs zimekuwa kubwa kuliko ilivyotegemewa.
Wajumbe hawakuwa wapumbavu kuwakata vichwa hao mlowachagulia. Mkadhani labda watamwogopa Mwenyekiti lakini ndio kwanza wanamchomolea betri waziwazi. Na akiwafosi sana wanaenda kumkata hata Mwenyekiti mwenyewe.
Mama Maria nahisi kashukiwa na mume wake Mwl. Nyerere aje awaambie kwamba muache kufosi watu waje kuongeza idadi kwenye mikutano yenu. Mama Maria anaumwa hana muda na kampeni kajuaje mnasafirisha watu kuja kujaza viwanja, ni wazi atakuwa katumwa na malaika wa bwana kuja kuwagutua toka usingizini.
Mwanza leo mmesitisha masomo ili tuu muonekane mmejaza uwanja. Huku na kule Warioba naye kawapiga chembe kidevu. CCM amkeniiiii.
Ni muda muafaka wa kusitisha kampeni zenu mkajipange upyaa. Tena mtafute mzungumzaji kwa niaba ya mgombea wenu sababu ndipo penye ufa mkubwaaa.
Wakati ni ukuta huwezi kupambana nao.
Upinzani ulishajifia tangu 2015, kilichobaki kwa Sasa ni futuhi.
Umevuta bangi au?Mwenye macho haambiwi tazama. Hali si shwari. Hali ni mbaya. Kampeni haziendi. Na wakizifosi ziendelee basi itabidi wavunje bank maana recurring costs zimekuwa kubwa kuliko ilivyotegemewa.