Tetesi: Hali si shwari CHADEMA

Mbona unakuwa mkali imekugusa nini? Siasa in
Kusema ukweli mkuu siasa siyo uhuni km mnazofanya uko ukutani
Unahangaika bure na huyo mtu. Mwaka jana alitupia post za kutosha kuhusu ufisadi wa Edo lakini ukimuuliza leo Edo amekuaje malaika hana majibu.
 
Reactions: Ame
Si mlisema Dr Slaa ameondoka na wafuasi wake? Sasa inakuwaje tena unasema wafuasi *wengi* wa Dr Slaa!?
 
haa haa eti chadema tukutu duh. any way hivi cdm na ccm nani yuko imara kwa sasa?
 
Mashabiki wa Chadema hawana tofauti na wa Yanga waliamua kumkodisha Yanga, Manji.. tetesi Chadema imekodishwa kwa Lowasa miaka 10.. Mpaka 2020... Kumbe ni mipango ya Manji na LOWASA... Mmoja amekodi Chama cha siasa mwingine Timu ya mpira wa miguu
 
Mbona unarusha mateke kama huna akili nzuri!
Jikite kwenye mada, mawazo nengine anzisha mada yake.
 
Mimi nikitafakari huwa nacheka sana eti LOWASA naye anawaza siku moja anaweza kuiongoza tanzania.
 
Reactions: MC7
next week mbona mbali sana kamanda. kwa nini. haya mambo yamimine mapema ili kama ni mbwai basi iwe mbwai na mabadiliko yafanyike mapema. uozo ndani ya chadema unazidi kuibomoa na sijajua kwa nini makamanda hawajastukia malengo makuu ya wale jamaa waliohamia kwa ghafla kutoka kule. lakini nadhani wameshastuka ila kwa sasa its too late kwa sababu wamelamba mchongo wa kutosha kiasi hata cha kuamua kuwasafisha watuhumiwa waleee. anyway lakini ndio siasa. wameitumia fursa vizuri na wamefanikiwa kibinafsi.
 
unasemaje ? no negative impact ??? hii ni kulingana na mawazo yako au umefanya utafiti. we kweli. nini maana ya msemaji mkuu wa chama kama alivyo Tumaini Makene. kwa hiyo hakuna umuhimu wa yeye kuwepo. umejifunzia siasa wapi mzee nyie ndio wale wale nadhani
 
Mbona unakuwa mkali imekugusa nini? Siasa in
Kusema ukweli mkuu siasa siyo uhuni km mnazofanya uko ukutani
Anakuwa mkali kwa kuona mtu mzima fikra zako unzotamani unazifanya uhalisia. Kwani chama kikiwa na msemaji hao wengine hawana nafasi ya kuzungumza yaliyo katika capacity yao?
Mbona hofu imewajaa hivi? Badala ya kuiogopa Chadema, acheni unafiki na kumuambia bosi wenu "unavunja katiba".
Nduguyo chizi akiwa barabarani na rungu badala ya kumnyang'anya unapoteza muda kupambana na wananchi wanaojipanga kumdhibiti kwa mawe?
 

Ile gia ya angani itawatafuna. Kambi ya Sumaye na Tundu Lissu ndiyo Chadema Asili. Waunde chama chao tutarudi.
 
Ile gia ya angani itawatafuna. Kambi ya Sumaye na Tundu Lissu ndiyo Chadema Asili. Waunde chama chao tutarudi.
Hawana ubavu hao ni wapiga mdomo tu ila mfukoni kweupee, na chadema watu wamekaa kimaslahi zaidi kila mtu anavia deal
 
Hawana ubavu hao ni wapiga mdomo tu ila mfukoni kweupee, na chadema watu wamekaa kimaslahi zaidi kila mtu anavia deal

Hao weupe mifukoni ndiyo viongozi waadilifu na watapata wanachama wengi. Mafisadi siku zao zinahesabika awamu hii.
 
Hao weupe mifukoni ndiyo viongozi waadilifu na watapata wanachama wengi. Mafisadi siku zao zinahesabika awamu hii.
Tatizo wabongo wengi hawajui maana ya siasa wanadhani kuwa mwanasiasa ni kusaka madaraka na pesa ndiyo maana unaona wanamfuata Lowassa
 
Kwani hao ambao umewataja kama wasemaji wa chama siyo viongozi ndani ya CHADEMA?kwani hujui kuwa CHADEMA ni taasisi pana ambayo ina viongozi wengi ambao wanaweza wakatoa tamko na likahesabika kuwa nitamko la chama?.

Kwa nini hushangai ya serekali ambayo ina mawaziri wengi,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya na viongozi kadhaa wakadhaa ambao wanatoa matamko mbalimbali na yanahesabika moja kwa moja kuwa ni matamko ya serekali?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…