Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Wewe kenge Katibu wetu bashiru ameufyata badala Ya kumsaidia unakuja huku kufoka foka, sisi Ccm ya zamani ni tundu lisu ili tuone Nani mjanja, Ccm Mpya Au Ya zamani, tunataka kupiga kura Kwa lisu za hasira Halafu atajua hajui, wabunge wetu wa Ccm tutawapa ila magufuli asahauWewe mwenyewe mpiga debe tu, kule saccos yawezekana hata kadi huna.
Nachojua Chama ni wanachama,Wewe kenge Katibu wetu bashiru ameufyata badala Ya kumsaidia unakuja huku kufoka foka, sisi Ccm ya zamani ni tundu lisu ili tuone Nani mjanja, Ccm Mpya Au Ya zamani, tunataka kupiga kura Kwa lisu za hasira Halafu atajua hajui, wabunge wetu wa Ccm tutawapa ila magufuli asahau
Atufukuze tu ila wote Kwa sasahivi tumeamua kuwa tutapiga kura za hasira kumpigia lisu, sasahivi anajifanya kuwa tuwe pamoja mbona alitudharau na kuwapa vyeo wapinzani? Yeye apigiwe na hao wapinzani na familia zao sisi tunampa kura lisu na tutazitoa Kwa wingi hata amini lazima ahangaikeAtufukuze wote Ila wale wanaotulaumu kila siku wapate nafasi ya kurekebisha tunapokosea ili kudumisha amani nautengamano wa kitaifa, kwa kurekebisha dosari zinazo tuweka hapa tulipofika leo.
Sawa matagaWewe mwenyewe mpiga debe tu, kule saccos yawezekana hata kadi huna.
Bashiru Katibu Mkuu wa Ccm aneishaufyata huko anahaaha na kusema kuwa Ccm watapiga kura Kwa upinzani na kusema kuwa atawashughulikia na kuwafukuza, Kwan atawajuaje Wakati kura ni Siri? Sasa atawashughulikiaje Wakati chama kitakuwa kimeishakura mweleka? Ubabe utakuwa umekoma? Nani kakuambia kuwa nguvu husaidia?
NIMEKUDHARAU....!!!Mshana jr sijawahai kuona tabiri zako zikitimia ila zinakuwa kinyume chake View attachment 1574517View attachment 1574518
Acha wafu wazikaniKatibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Maoni ya Kada wa CCM.
Ninayo lakini sio kwa ajili ya kapu la Chadema! Unasema hatuna hela mfukoni halafu unatuchangisha!! Hovyooo!!! Pfyuuu!!Unayo elfu kumi mfukoni kwako muda huu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi jina mataga lilitokana na nini?Ndugu mataga siyo kila thread lazima uelewe, nyingine siyo level yako
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wewe utahangaika ila Ccm sisi wenyewe hapa tunahangaika hali ni mbaya Sana na Katibu ameanza kutoa matamko na kukiri hilo wewe badala Ya kutuonea huruma Ccm wenzio unahangaikaNinayo lakini sio kwa ajili ya kapu la Chadema! Unasema hatuna hela mfukoni halafu unatuchangisha!! Hovyooo!!! Pfyuuu!!
Kifo cha Benjamin mkapa ni pengo kubwa sana kwa CCM
Mimi ni Ccm huo ndio ukweli huku wanachama hawataki magufuli na wanaambizana chini Kwa chini anaenda akishatoka maeneo hayo wanaambizana kuwa si alitudharau? TutamchinjaNaweza kuona anguko la CCM likija kwa Kasi ya kutisha Sana kwene Uchaguzi Mkuu wa 2020!
This time around CCM ya Magufuli inakwenda kugeuka kama KANU ya Kenya ilivofia mikononi mwa Dan Arap Moi(rip)!
Ni kweli ccm kyela imeenda na Mwakyembe wake,huu mwaka utashuhudia vurugu kubwa pale mkurugenzi wa uchaguzi eneo husika atakapo kataa kumtangaza mpinzani kuwa kashinda kwa maagizo aliyoyatoa mkulu,na badala yake amtangaze m ccm sipati picha kabisaaa.CCM Kyela nadhani ndio kumezidi kuwa na hali mbaya
Mwenyekiti wa CCM Taifa anatokea,Mkoa wa Geita Kanda ya ziwa, jirani na mkoa wa Geita ni mkoa wa kagera anatokea katibu mkuu wa chama, Kanda ya ziwa. Katibu mwenezi anatokea mkoa wa Mara ,Kanda ya ziwa.mnategemea ccm iko salama?
Umetumwa wewe. Jiongelee mwenyewe usituongelee sisi. Hapa kila mtu na akili zake na maamuzi yake. Hahahhahaaa niko tayari tutambutua Tundu oktoba 28. Atapata maumivu makali hatariii.Wakuu, Katibu Mkuu wa Ccm ametishia kuwafukuza wanaccm ambao wamepanga kumpa kura tundu lisu na kufikia mahali Ya kusema kuwa, watafukuzwa na watataifishwa Mali zao...
CCM IMESHA OZA MDA SANAKatibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama...
Maoni ya Kada wa CCM.
Hii aina nguvu, huwezi kuweka watu sehemu muhimu usio wafahamu kisa tu unepuka ukanda. Kassim Majaliwa, Kabudi, Kitila, Mwigulu nao ni wakanda ya ziwa?John Pombe Magufuli....Geita.
Bashiru Ally Kakurwa.......Kagera....