Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

Wewe mwenyewe mpiga debe tu, kule saccos yawezekana hata kadi huna.
Wewe kenge Katibu wetu bashiru ameufyata badala Ya kumsaidia unakuja huku kufoka foka, sisi Ccm ya zamani ni tundu lisu ili tuone Nani mjanja, Ccm Mpya Au Ya zamani, tunataka kupiga kura Kwa lisu za hasira Halafu atajua hajui, wabunge wetu wa Ccm tutawapa ila magufuli asahau
 
Wewe kenge Katibu wetu bashiru ameufyata badala Ya kumsaidia unakuja huku kufoka foka, sisi Ccm ya zamani ni tundu lisu ili tuone Nani mjanja, Ccm Mpya Au Ya zamani, tunataka kupiga kura Kwa lisu za hasira Halafu atajua hajui, wabunge wetu wa Ccm tutawapa ila magufuli asahau
Nachojua Chama ni wanachama,
 
Atufukuze wote Ila wale wanaotulaumu kila siku wapate nafasi ya kurekebisha tunapokosea ili kudumisha amani nautengamano wa kitaifa, kwa kurekebisha dosari zinazo tuweka hapa tulipofika leo.
Atufukuze tu ila wote Kwa sasahivi tumeamua kuwa tutapiga kura za hasira kumpigia lisu, sasahivi anajifanya kuwa tuwe pamoja mbona alitudharau na kuwapa vyeo wapinzani? Yeye apigiwe na hao wapinzani na familia zao sisi tunampa kura lisu na tutazitoa Kwa wingi hata amini lazima ahangaike
 
Bashiru Katibu Mkuu wa Ccm aneishaufyata huko anahaaha na kusema kuwa Ccm watapiga kura Kwa upinzani na kusema kuwa atawashughulikia na kuwafukuza, Kwan atawajuaje Wakati kura ni Siri? Sasa atawashughulikiaje Wakati chama kitakuwa kimeishakura mweleka? Ubabe utakuwa umekoma? Nani kakuambia kuwa nguvu husaidia?


Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.



Maoni ya Kada wa CCM.

Acha wafu wazikani
 
Ninayo lakini sio kwa ajili ya kapu la Chadema! Unasema hatuna hela mfukoni halafu unatuchangisha!! Hovyooo!!! Pfyuuu!!
Wewe utahangaika ila Ccm sisi wenyewe hapa tunahangaika hali ni mbaya Sana na Katibu ameanza kutoa matamko na kukiri hilo wewe badala Ya kutuonea huruma Ccm wenzio unahangaika
 
Kifo cha Benjamin mkapa ni pengo kubwa sana kwa CCM

Naweza kuona anguko la CCM likija kwa Kasi ya kutisha Sana kwene Uchaguzi Mkuu wa 2020! This time around CCM ya Magufuli inakwenda kugeuka kama KANU ya Kenya ilivofia mikononi mwa Dan Arap Moi(rip)!
 
Naweza kuona anguko la CCM likija kwa Kasi ya kutisha Sana kwene Uchaguzi Mkuu wa 2020!
This time around CCM ya Magufuli inakwenda kugeuka kama KANU ya Kenya ilivofia mikononi mwa Dan Arap Moi(rip)!
Mimi ni Ccm huo ndio ukweli huku wanachama hawataki magufuli na wanaambizana chini Kwa chini anaenda akishatoka maeneo hayo wanaambizana kuwa si alitudharau? Tutamchinja
 
CCM Kyela nadhani ndio kumezidi kuwa na hali mbaya
Ni kweli ccm kyela imeenda na Mwakyembe wake,huu mwaka utashuhudia vurugu kubwa pale mkurugenzi wa uchaguzi eneo husika atakapo kataa kumtangaza mpinzani kuwa kashinda kwa maagizo aliyoyatoa mkulu,na badala yake amtangaze m ccm sipati picha kabisaaa.
 
Mwenyekiti wa CCM Taifa anatokea,Mkoa wa Geita Kanda ya ziwa, jirani na mkoa wa Geita ni mkoa wa kagera anatokea katibu mkuu wa chama, Kanda ya ziwa. Katibu mwenezi anatokea mkoa wa Mara ,Kanda ya ziwa.mnategemea ccm iko salama?

John Pombe Magufuli....Geita.
Bashiru Ally Kakurwa.......Kagera.
Humphrey Polepole..........Mara.
CDF General Mabeyo........Shinyanga.
IGP Simon Zero................. Mara.
Phillip Mpango-Fedha....... Kigoma.
Doto James Katibu Hazina/Fedha.....Geita.

Ni UKANDA, UKANDA, UKABILA, UKABILA na UNDUGU, UNDUGU.

Tukisema Jiwe anaigawa Tanzania kikanda, kikabila na Kibaguzi tuko sahihi Perce....!!!!
 
Wakuu, Katibu Mkuu wa Ccm ametishia kuwafukuza wanaccm ambao wamepanga kumpa kura tundu lisu na kufikia mahali Ya kusema kuwa, watafukuzwa na watataifishwa Mali zao...
Umetumwa wewe. Jiongelee mwenyewe usituongelee sisi. Hapa kila mtu na akili zake na maamuzi yake. Hahahhahaaa niko tayari tutambutua Tundu oktoba 28. Atapata maumivu makali hatariii.
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama...
Maoni ya Kada wa CCM.
CCM IMESHA OZA MDA SANA
 
John Pombe Magufuli....Geita.
Bashiru Ally Kakurwa.......Kagera....
Hii aina nguvu, huwezi kuweka watu sehemu muhimu usio wafahamu kisa tu unepuka ukanda. Kassim Majaliwa, Kabudi, Kitila, Mwigulu nao ni wakanda ya ziwa?
 
Back
Top Bottom