Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

🙂 sawa mkuu! Ila la gizani hudhihirika mwangani. Muda ni Rafiki wa Ukweli. Na yako mengi tusiyoyafahamu. Tusiwe wepesi kufanya hitima..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa! Ila kati ya watu ambao nina uhakika wa asilimia 100 kuwa wana jambo Lao dhidi ya Jiwe hapo 28/10/2020 basi Ni Wahaya!!
 
Zikizidi 100 atakuwa ameiba kwa msaada wa NEC
Hivi wewe kwa jinsi magufuli alivyowatukana wahaya kwenye tetemeko na jinsi alivyowatesa kabendera na mama yake hadi mama yake akafariki kwa akili zako unategemea magufuli aungwe mkono na wahaya????

Magufuli akipata hata kura 100 za wahaya iyo October 28 a Shukuru sana Mungu!
 
Kumbeba hapana! Ila wanaweza wakatembea naye sambamba to the finish line.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maccm wapeni semina wagombea wenu wanayoyaongea huku chini ni mambo ya aibu mnoo..
Unakuta Diwani naye anazungumzia mambo ya kununua ndege, sasa Diwani na ndege wapi na wapi.
Labda kama ni diwani wa Kipawa
 
Hahaha! Serikali Ni Moja jamani... Wanaweza kuyasemea hayo kama wanalenga kumnadi Mgombea wetu wa Urais chief.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Naona huku kuna joto kali sana ndani ya CCM mwenyekiti wa ccm mkoa wa kagera anapokea maaigizo kutoka juu kuwa awaadhibu wasaliti walioko ndani ya chama pia bashiru anataka apewe orodha ya wasaliti mara moja.
Vita vya panzi
 
Wanachokitafuta watakipata ccm ..mapokezi ya mkulu yametiwa DOA kubwa
 
Hivi wewe kwa jinsi magufuli alivyowatukana wahaya kwenye tetemeko na jinsi alivyowatesa kabendera na mama yake hadi mama yake akafariki kwa akili zako unategemea magufuli aungwe mkono na wahaya????

Magufuli akipata hata kura 100 za wahaya iyo October 28 a Shukuru sana Mungu!

Mkuu zimebaki siku 40 subiri tarehe 28 na nakuomba uwepo hapa jukwaani
 
Back
Top Bottom