Hali tete Lecturer hataki kutoa mark up

Hali tete Lecturer hataki kutoa mark up

madogo wa 2004 wengine tuna familia mzee wangu😂
Hahahaha...............first degree ukisoma ukiwa na familia ili kufauru inahitaji uishi Bweni, pia ujue ku interact na Vijana lakini familia uwe umeiachia Kadi ya benki au uwe unawatumia fedha ya mahitaji ya kutosha,

Bila kusahau Mama watoto naye kichwa kiwe kinachaji, ukiwa na Mwanamke kimeo anaweza kuchangia ushindwe shule.
 
Maisha ya chuo ilikuwa noma😥nakumbuka mwaka wetu mmoja alifeli Dk ya mwisho ile crew yetu mpaka mwaka wa 3 tulianza kama 10 tulibaki 4 na tukatengana kabisa , wengine walipata kazi wakawa wanaingia vipind vya jioni .

Mpaka tunagraduate hamna vibes nilikuwa alone na sherehe sikuenda.

Sadly ,ni ule mwaka wa pili jamaa alicarry somo la IT mambo ya binary yale sijui Nand gate ,zile hesabu Test aliramba zero zote mbili aliokota 3 tu kati ya 20 .
 
Hahahaha...............first degree ukisoma ukiwa na familia ili kufauru inahitaji uishi Bweni, pia ujue ku interact na Vijana lakini familia uwe umeiachia Kadi ya benki au uwe unawatumia fedha ya mahitaji ya kutosha,

Bila kusahau Mama watoto naye kichwa kiwe kinachaji, ukiwa na Mwanamke kimeo anaweza kuchangia ushindwe shule.
bahati yangu chuo nilichopo CA ukipata hata zero hamna shida
 
Situation kama hiyo ilinikuta nikiwa chuo ili uingie UE lzm uwe na 16 CW sasa CW zimetoka nimekosa alama 2 komaa na ticha kagoma nikakata tamaa jamaa zangu wakaniambia twende uingie tu ufanye itajulikana hukohuko kweli nikajipa moyo nikasoma siku ya pepe nikazama venue kuingia kumbe watu wengi walizama pia ambao hawakufikisha CW venue zote zikajaa ticha haelewi akaanza biti kama umeingia hujafikisha CW toka mwenyewe watu kimya na muda unaenda piga biti hakuna aliyetoka mwisho zikatafutwa venue nyingine tukafanya pepa nimepiga ile pepa majibu yametoka nimefaulu vizuri kabisa
 
Vyuo vya wenzetu wameondoa uzembe kwa wanafunzi

Ukifeli somo unasapua kwa $500

Carry Over unalipa $1000

Wakileta hii kwenye vyuo vyeti watu watasoma
Una hoja, usikilizwe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vyuo vya wenzetu wameondoa uzembe kwa wanafunzi

Ukifeli somo unasapua kwa $500

Carry Over unalipa $1000

Wakileta hii kwenye vyuo vyeti watu watasoma
Nilipataga sap ya QMS first year nililia kama nimefiwa 😀😀😀badae nikagundua kumbe ni kawaida tu
 
Mkiambiwa mkasome mnakuwa wabishi. Wewe semester nzima hukupata hizo 2 au 6 za kuwepo kwenye marks. Yeye unataka ndani ya dk kadhaa azitoe wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnanichekesha sanaaa.
 
Chuoni kwetu hakukuaga na hiyo kitu sijui mark up, ilikua ukifeli imeenda hiyo.
Mtafute lecturer kwa muda wako mjue mfanyaje.

Sasa unafeli vipi kama kuna mark up!!?
 
Una bahati, wengine hizo zilikuwa zina hesabika.

Ukikutana na Mkufunzi mwingine anavizia weekend ya Jumapili/Jumamosi anaitisha Test ili mradi mfeli wengi kwa kukosa hizo CA
Usinikumbushee, nilitoka nduki toka ubungo terminal had class, ila lecturers wanachofanya sio poaa kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom