Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
- #21
Ndo kasema yeye hana maksi wasome mwakaniSasa huyo Lecturer maksi za kuwapa anatoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kasema yeye hana maksi wasome mwakaniSasa huyo Lecturer maksi za kuwapa anatoa wapi?
Labda umfate kwake kabsa na hakuna anaepajua na hata ukienda hatokupokeaUkiamua kumsaka je
Wapi huko hyo 1000 dollar si ada ya mwaka mzima vyuo vya TzVyuo vya wenzetu wameondoa uzembe kwa wanafunzi
Ukifeli somo unasapua kwa $500
Carry Over unalipa $1000
Wakileta hii kwenye vyuo vyeti watu watasoma
Tumia mtu wake wakaribu mbongo ukiwa na shida nae mfate mtu wake wa karibu wanaeshibana atamuonea aibu hii imenisaidia sanaLabda umfate kwake kabsa na hakuna anaepajua na hata ukienda hatokupokea
Kama amehitimu kidato cha nne mwaka 2004, kwasasa lazima awe na miaka 40 hivi, so kuna possibilities za kuvurugwa na mambo ya kifamilia na kazi pia maana huyu mtu lazima atakuwa in-serviceBinafsi nimeshangaa miaka iliyopo pale 😁
Lecturer mchungaji unazani atakubali dhambi hyo (Rev.Dr)Tumia mtu wake wakaribu mbongo ukiwa na shida nae mfate mtu wake wa karibu wanaeshibana atamuonea aibu hii imenisaidia sana
In service ndio huyoKama amehitimu kidato cha nne mwaka 2004, kwasasa lazima awe na miaka 40 hivi, so kuna possibilities za kuvurugwa na mambo ya kifamilia na kazi pia maana huyu mtu lazima atakuwa in-service
Kama ni Rev yupo sahihi we komaa tu na kuzijazilia marks second semesterLecturer mchungaji unazani atakubali dhambi hyo (Rev.Dr)
Ni swali zuri. Je anapewa jibu?Ni hatari kweli kweli, watu wanamfata lecturer niongeze hata alama 1 tu lecturer nae anakuja kama wewe umezikosa mimi nitazitoa wapi?
Maombi yenu yanahitajika sana kwa hawa ndugu zetu.
Maisha ya taaluma mwisho 30Kama amehitimu kidato cha nne mwaka 2004, kwasasa lazima awe na miaka 40 hivi, so kuna possibilities za kuvurugwa na mambo ya kifamilia na kazi pia maana huyu mtu lazima atakuwa in-service
NakaziaKama ni Rev yupo sahihi we komaa tu na kuzijazilia marks second semester
madogo wa 2004 wengine tuna familia mzee wangu😂Nimeona kuna Mwanafunzi wa 2004 alafu ame carry Over, huyo kwa umri lazima amefeli kwa msongo wa matatizo ya familia 🤪
Awe na huruma mtu ana 19.5 nae anawakaziaNi swali zuri. Je anapewa jibu?
Kuna baadhi ya fani hata ukiwa na miaka 35 unaweza ukasoma Bachelor.Maisha ya taaluma mwisho 30
Nawa 18 hadi 19.5 unawazungumziajeSasa mtu ana 9 anabebwaje 😀😀mtu ana 2, sjui 6 sijui 7 wooi