Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Nimeshafundiisha vyuo vikuu mbalimbali kwa zaidi ya miaka 35 sasa; hakuna mwanafunzi wangu aliyewahi kushindwa kwa point 1.5. Yaani Kama syllabus yangu inasema kuwa A inaanzia 90 hadi 100 basi wote waliopata kuanzia 88.5 watapata A. Boundary scores zinahitaji busara sana kuzihandle kwani inawezekana kuna homework moja ambayo haikusahihishwa vizuri ikamsoshesha mtoto huyo point moja!