Hali tete Lecturer hataki kutoa mark up

Nimeshafundiisha vyuo vikuu mbalimbali kwa zaidi ya miaka 35 sasa; hakuna mwanafunzi wangu aliyewahi kushindwa kwa point 1.5. Yaani Kama syllabus yangu inasema kuwa A inaanzia 90 hadi 100 basi wote waliopata kuanzia 88.5 watapata A. Boundary scores zinahitaji busara sana kuzihandle kwani inawezekana kuna homework moja ambayo haikusahihishwa vizuri ikamsoshesha mtoto huyo point moja!
 
Wengi hufanya makusudi, Sisi kuna Dr wa Structural Analysis I alikuwa anafunga mlango kama umechelewa kisha anatoa Quiz na kuiingiza kwenye CA
Iyo ilikuwa tabia ya DR minani yule muha ataki uzembe alikuwa na hiyo tabia asipo toa. Quiz anagawa marks za bure na usipofikisha marks wewe jiandae tu mwakani
 
Una akili mno
 
Halafu sio 'Mark up' inaitwa "Make up test"
 
Iyo ilikuwa tabia ya DR minani yule muha ataki uzembe alikuwa na hiyo tabia asipo toa. Quiz anagawa marks za bure na usipofikisha marks wewe jiandae tu mwakani
Hahaha.........huyo inaonekana anaongeleka, ukifeli hapo inakuwa uzembe wako tu
 
Huyo wenu balaa, yaani hata akidi haijatimia yeye anapiga pindi πŸ™Œ

Kuna wakati nilikuwa Class Representative, nikiona Dr analeta hizi habari nilikuwa namkatalia, kama darasa la watu 40 nilikuwa namwambia asubirie wafike walau 20+

Wakaniona sio, next semester wakauchukua uCR wao πŸ™Œ
 
Sasa vijana mnashindana kupost Uzi wa Rick boy .....mtafaulu saangapi[emoji23][emoji23]
 
Hii mbona ni discontinue ya wazi kabisaaa...
 
Kipondi kinaanza saa moja kamili kaja na dakika 40 hakuna watu alafu unataka afanyeje πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€tulikariri vibaya kipindi cha asubuhi haamki anapenda raha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kipondi kinaanza saa moja kamili kaja na dakika 40 hakuna watu alafu unataka afanyeje πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€tulikariri vibaya kipindi cha asubuhi haamki anapenda raha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Poleni aisee, hao Waalimu wa hivyo huwa watata sana.

Hongereni pia kama mlihitimu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…