Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.

Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.

Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.

Wenye shule za English medium wameamliwa kutoa magari ya Shule Kwa ajiri ya kusomba raia.

Je hii nguvu kubwa ya Nini, je serikali ya mkoa inawasiwasi kuwa wananchi wanaweza susia mikutano ya Raisi?

Tuombeeni sisi wana Simiyu maana maagizo ni mengi
 
Mwendo ni huu msidaganyike.bagosha
 
Huu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
 
Shule zimefungwa watoto wako likizo
 
Naona Mmeanza kuweweseka na kupata kiwewe baada ya kunusa Mafuriko Makubwa ya watu ambao watamiminika kumlaki na kumpokea Rais wa watu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Embu angalia hapa πŸ‘‰
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Kati ya zile 107T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…