Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.
Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.
Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.
Wenye shule za English medium wameamliwa kutoa magari ya Shule Kwa ajiri ya kusomba raia.
Je hii nguvu kubwa ya Nini, je serikali ya mkoa inawasiwasi kuwa wananchi wanaweza susia mikutano ya Raisi?
Tuombeeni sisi wana Simiyu maana maagizo ni mengi
Hatari kweli kweli.Kati ya zile 107TView attachment 3368656
KWA RAIS YUPI? HUYU HUYU MUUAJI?Huu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
Duh, haya mambo yanafikirisha sana.
Ana faida gani kwa wananchi hadi wawe na shauku ya kumwona?Huu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
Miaka ile siyo hii ndugu usikariri yaani mtu aache kwenda kuchunga mifugo yake et anaenda kumuangalia Rais hivi wewe una elewa unachokiandika?Huu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
NgombeHuu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
Shule zimefungwa watoto wako likizo
Poleni kwenu.Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.
Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.
Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.
Wenye shule za English medium wameamliwa kutoa magari ya Shule Kwa ajiri ya kusomba raia.
Je hii nguvu kubwa ya Nini, je serikali ya mkoa inawasiwasi kuwa wananchi wanaweza susia mikutano ya Raisi?
Tuombeeni sisi wana Simiyu maana maagizo ni mengi
Zwazwa la mamaNaona Mmeanza kuweweseka na kupata kiwewe baada ya kunusa Mafuriko Makubwa ya watu ambao watamiminika kumlaki na kumpokea Rais wa watu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Embu angalia hapa 👉View attachment 3368632View attachment 3368632View attachment 3368634
Poleni kwenu.
Lakini fahamuni kuwa huo ni sehemu ya mkakati kuelekea katika kujitangazia ushindi. Nanyi mtakuwa kithibitisho jinsi mlivyokuwa mstari wa mbele kumkubali Samia Suluhu Hassan.
Jiandaeni kukataa upumbavu huo.
NakaziaZwazwa la mama