Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

Angekuwa anakubalika asingekuwa mgumu kufanya uchaguzi unaokuwa huru na kusimamiwa na tume huru.
 
Uko sahihi. Na mimi nimejionea tangu enzi. Mara nyingi wanaosombwa ni wanaCCM wenyewe wajumbe wote kuanzia ngazi ya mtaa au kijiji. Raia asiyemwanachama au asiyejihusisha na siasa hasumbuliwi. Nasema haya through experience na mara kadhaa nimepigiwa simu na mheshimiwa mkuu wa Wilaya kuombwa kuwezesha usafiri kutoka kwenye taasisi yetu ili kuwabeba wajumbe hata pindi za kura za maoni pale anapoona inafaa kuwashirikisha wadau.

Swala la maduka kufungwa sijui hayo maduka yawe yanauza kitu gani? Bangi? Wakati wa mikutano hii ya Mheshimiwa Rais ndio pindi ambayo baadhi ya biashara huwa wanapiga pesa kwa kuwa wahudhuriaji huhitaji huduma nyingi wakati wa kumsubiri.
Mtoa uzi kuna ujumbe anataka kuufikisha, inekane ccm wanalazimisha watu.
 
Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.

Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.

Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.

Wenye shule za English medium wameamliwa kutoa magari ya Shule Kwa ajiri ya kusomba raia.

Je hii nguvu kubwa ya Nini, je serikali ya mkoa inawasiwasi kuwa wananchi wanaweza susia mikutano ya Raisi?

Tuombeeni sisi wana Simiyu maana maagizo ni mengi
Aisee
 
Back
Top Bottom