Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

Upo sahihi mkuu, ni haki yako kuuliza na kupata majibu ya swali lako, so Kuhusu mtu unayemzungumzia, kama alikiuka maadili au sheria, nadhani ni hekima tu hatua stahiki zinatakiwa zichukuliwe kulingana na ushahidi uliopo na kwa kufuata taratibu za haki. Asante
Hujajibu swali lakini, Lisu aliongea maneno yanayoelekeana na hayo, hakukawishwa tayari ashafunguliwa kesi ya uhaini, huyu alizungumza kuhusu kupoteza watu na tunashuhudia watu wakipotezwa, Jamaa yupo mtaani tu anatesa kwa zamu. Hiyo haki unayoizungumza wewe ni ipi?
 
Mkuu 'Kipanga', kwa heshima na taadhima, naomba nikuulize swali ambalo kiuhakika ni swali linalonifikirisha sana kuhusu uandishi wako humu.

Je, unao undugu wowote wa karibu, au urafiki tu na mtu aitwae kwa jina la humu JF 'Tlaatlaah'; au mwingine aitwae 'Steve Joel Ntamusana'?
Au tuseme mliwahi kuwa kwenye darasa moja katika masomo yenu popote pale mlipo yapata?

Nijibu tu vizuri, nitakuelewa, mkuu wangu!
 
Hata siwajui hao watu aiseeeh. Kwa hii JF ya miaka mtu pekee ninayemfaham ni Paskali mayala
 
Huyu mama anapendwa na machawa na manufaika ya teuzi zake tu wale aliowaambia wale kwa urefu wa kamba zao.
Kichwani kwwnyewe hamna kitu!
Alafu hap hao ndiyo wanatuongoza ..Hivi Lissu kesho si atakua huru?
 
Hujajibu swali lakini, Lisu aliongea maneno yanayoelekeana na hayo, hakukawishwa tayari ashafunguliwa kesi ya uhaini, huyu alizungumza kuhusu kupoteza watu na tunashuhudia watu wakipotezwa, Jamaa yupo mtaani tu anatesa kwa zamu. Hiyo haki unayoizungumza wewe ni ipi?
Kwa kweli kwa Zama hizi za AI jambo linaloitwa Haki ni tungo tata.
 
Vioja hivi vinasuuza roho yako siyo?
"manabaki kuendelea kuwa wamoja"!

Wewe huoni jinsi "nyumbu hubaki kuwa wamoja" katika makundi makubwa hata wanaponyemelewa na simba?
Kikubwa nyumbu mumeumbuka mengine ni kujifariji
 
Hv sisi wanaume Tanzania tumekubalije kuongozwa na demu! I wonder!!!
 
hata sielewi unachozungumzia hapa.
Siku zote hukueleza humu kwamba akili yako ni pungufu sana. Sasa hapa kinachokufurahisha sana wewe ni kitu gani hasa?
Nyumbu wa Chadomo kuumbuka,kwani unachangia mada ambayo hujui maudhui yake?

Msomi ambae hunaelimika ni sawa na mpumbavu mmja tuu.
 
Nyumbu wa Chadomo kuumbuka,kwani unachangia mada ambayo hujui maudhui yake?

Msomi ambae hunaelimika ni sawa na mpumbavu mmja tuu.
Wewe ni kinyago tu; karibuni utabaki ukikusanya mavumbi na kusahaulika hapo dirishani utakapokuwa umewekwa kama pambo.
 
Huu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
Sio Rais huyu mwenye jina la Chura Kiziwi alilojipa mwenyewe, labda wengine waliopita..

Huyu watu hata kuona sura yake wanaona kinyaa...

Mimi hata kusikia sauti yake, huhisi labda nasikia sauti ya jini mahaba fulani toka Zanzibar😕😕😕
 
Kwa kweli kwa Zama hizi za AI jambo linaloitwa Haki ni tungo tata.
Hebu angalia hii video. Huyo ni padri Kitima akiikosoa Serikali kuhusu utawala wa sheria, tena kanisani. Wakatoliki hawajazuiwa kuabudu kwa sababu ya Padre Kitima. Gwajima alikosoa Serikali kuhusu utekaji, waumini wa ufufuo na uzima wamenyimwa kuabudu. Bado nauliza, haki unayoizungumzia wewe ni ipi????
 
Mimi nko hapa simiyu wewe ni muongoo,
Simiyu ya wapi..?

Unajua kuwa Simiyu ni jina tu la Mkoa wote lakini hakuna mji unaoitwa Simiyu..?

Makao ya Mkoa wa Simiyu yako ktk mji unaoitwa Bariadi. Hapo ndipo zilipo ofisi za Mkoa, Ikulu ndogo na ndipo nadhani atakapofikia Rais..

Wewe uko Simiyu ya wapi? Maswa au Meatu au Kisesa au Mwandoya au Itilima au Busega au Lamadi au Langangabilili?

Unasemea ukiwa wapi?
 
Hio mbona tangu kitambo mkuu
Uko sahihi. Na mimi nimejionea tangu enzi. Mara nyingi wanaosombwa ni wanaCCM wenyewe wajumbe wote kuanzia ngazi ya mtaa au kijiji. Raia asiyemwanachama au asiyejihusisha na siasa hasumbuliwi. Nasema haya through experience na mara kadhaa nimepigiwa simu na mheshimiwa mkuu wa Wilaya kuombwa kuwezesha usafiri kutoka kwenye taasisi yetu ili kuwabeba wajumbe hata pindi za kura za maoni pale anapoona inafaa kuwashirikisha wadau.

Swala la maduka kufungwa sijui hayo maduka yawe yanauza kitu gani? Bangi? Wakati wa mikutano hii ya Mheshimiwa Rais ndio pindi ambayo baadhi ya biashara huwa wanapiga pesa kwa kuwa wahudhuriaji huhitaji huduma nyingi wakati wa kumsubiri.
 
Back
Top Bottom