Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

Hapa mwanza City mitaa ya Kemondo nimeona mabasi ya shule yamejazana

Wazee na vijana walalamika tuuu oo sijui helaaa oo sijui gari langu

Hili sipandi anabembelezwa uelekeo ni Simiyu
😁😁😁 Walkuwa wanaenda Lamadi
 
Unajua maana ya uhuru wa maoni? Maoni yako ni lazima yawe sawa na yangu kwenye jambo fulani?
Kwann tweeter na siyo fb???
Kiongozi wangu.
Nafahamu kabisa maana ya uhuru wa maoni, na ninaheshimu haki yako ya kuwa na mtazamo tofauti na wangu. Hakuna anayesema maoni lazima yafanane—tofauti ya mawazo ndiyo msingi wa demokrasia na maendeleo ya kweli.

Kuhusu swali lako la "kwanini Twitter na siyo Facebook?" — jibu linaweza kuwa rahisi: kila mtu anachagua jukwaa analoamini lina ushawishi mkubwa au linawafikia walengwa wake vizuri. Twitter mara nyingi hutumiwa kwa mijadala ya kisiasa na ya kitaifa, ndiyo maana watu huikimbilia kwenye masuala nyeti.

Lakini mwisho wa siku, uhuru wa kutoa maoni unakwenda sambamba na uwajibikaji wa maneno yetu. Tofauti zetu zisigeuke chuki bali ziwe chanzo cha kuelewana zaidi.
 
Lakini pia, tukitaka kweli mabadiliko ya haki na kudumu, ni lazima tusimame kwenye msingi wa hoja, siyo hasira pekee. Lugha ya staha si udhaifu, bali ni silaha ya watu wanaotaka kushinda kwa uadilifu. Tukitumia maneno ya kejeli au hasira, tunawapa nafasi walioko madarakani kutopokea ujumbe wetu.
"Lugha ya Staha" ni 'euphemism" ya ulaghai ninaousema hapa. Mnapenda sana kuwalaghai watu, huku mkifanya kinyume na mnayo yatenda. Mbowe ni mfano mzuri wa watu mliotumia ujinga huo kumlaza akili.

Mnapokuwa watu wa hadaa, waongo kwa kutumia kinga ya watu "kutumia lugha ya staha", kuna wakati watu wanatambua kuwa hiyo ni njia yenu ya kupoteza lengo.

Haya, unazungumzia hapa "kutaka mabadiliko ya HAKI na kudumu", kwamba "tusimame kwenye misingi ya hoja"
Naomba sasa unieleze ni wapi tunakoelekea katika kutafuta HAKI ya waTanzania kupiga kura kwa uhuru kamili, ili wawachague viongozi wanaowataka wao, bila ya kuvurugwa kwa njia yoyote ile!
Samia na GENGE lake wamesemaje kuhusu jambo muhimu hili?

Unajuwa mkuu 'Kipanga special'; pengine unaweza kuona kuwa hata ANC kule Afrika Kusini na wao walihimizwa sana watumie "lugha ya staha" kama hii mnayotuhimiza waTanzania tuitumie, ili tuombe HAKI yetu kutoka kwenu!

Sioni tofauti kubwa kati yenu na Makaburu wa wakati huo huko Afrika Kusini.
 
Ni kawaida kuwa na hisia kali, hasa linapokuja suala la haki na mustakabali wa taifa. Lakini tukubaliane kuwa "lugha ya staha" si ujanja wala ulaghai—ni njia ya kujenga hoja zenye mashiko na kuheshimika mbele ya jamii na jumuiya ya kimataifa.

Haki tunayodai, kama kupiga kura kwa uhuru, haipatikani kwa matusi wala kejeli, bali kwa kuonyesha ustaarabu, msimamo wa hoja, na mshikamano. Historia imeonyesha kuwa hata harakati kubwa duniani zilipoandamana na busara, ziliweza kupata usikivu na mafanikio ya kweli.

Kwa hiyo, kudai haki si kosa—lakini namna ya kuwasilisha madai hayo huamua kama tunayakaribia mafanikio au la. Tusikate tamaa, tuendelee kusisitiza mabadiliko kwa njia inayojenga, si kubomoa.
 
Tusikubali hasira zituharibie njia. Badala yake, tuzitumie kuimarisha hoja zetu
Wao wanapofanya maovu, kuteka nakadhalika; bila shaka utasema hawatumii hasira. Wanatumia ucheshi na mambo yote mazuri ya kuvutia watu.

Hili la "hasira" sijui unaliingiza humu kwa faida gani hasa!
Nani amekuwa na hasira? Watu wanapokwenda vitani, wanakwenda kwa hasira!
 
Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.

Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.

Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.

Wenye shule za English medium wameamliwa kutoa magari ya Shule Kwa ajiri ya kusomba raia.

Je hii nguvu kubwa ya Nini, je serikali ya mkoa inawasiwasi kuwa wananchi wanaweza susia mikutano ya Raisi?

Tuombeeni sisi wana Simiyu maana maagizo ni mengi
Haihitaji kuwa na D mbili kuielewa hii. Sasa mwananchi aliye mbalo kama km 100 atafikaje.
Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.

Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.

Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.

Wenye shule za English medium wameamliwa kutoa magari ya Shule Kwa ajiri ya kusomba raia.

Je hii nguvu kubwa ya Nini, je serikali ya mkoa inawasiwasi kuwa wananchi wanaweza susia mikutano ya Raisi?

Tuombeeni sisi wana Simiyu maana maagizo ni mengi
Haihitaji kuwa na D mbili kuielewa hii. Acha uchawa, Sasa kama wananchi wanaishi kilomita 100 kutoka sehemu ya tukio watafikaje kama sito kupelekewa usafiri. Halafu usidanganye watu maana wananchi Huwa na shauku ya kuona viongozi wao wengine hata kabla ya tukio hununua au kishona nguo mpya.
 
Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.

Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.

Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.

Wenye shule za English medium wameamliwa kutoa magari ya Shule Kwa ajiri ya kusomba raia.

Je hii nguvu kubwa ya Nini, je serikali ya mkoa inawasiwasi kuwa wananchi wanaweza susia mikutano ya Raisi?

Tuombeeni sisi wana Simiyu maana maagizo ni mengi
Goli likifungwa Kwa mkono referee akalikubali, mashabiki wa timu husika hushangilia Kwa furaha.
 
Kiongozi wangu.
Nafahamu kabisa maana ya uhuru wa maoni, na ninaheshimu haki yako ya kuwa na mtazamo tofauti na wangu. Hakuna anayesema maoni lazima yafanane—tofauti ya mawazo ndiyo msingi wa demokrasia na maendeleo ya kweli.

Kuhusu swali lako la "kwanini Twitter na siyo Facebook?" — jibu linaweza kuwa rahisi: kila mtu anachagua jukwaa analoamini lina ushawishi mkubwa au linawafikia walengwa wake vizuri. Twitter mara nyingi hutumiwa kwa mijadala ya kisiasa na ya kitaifa, ndiyo maana watu huikimbilia kwenye masuala nyeti.

Lakini mwisho wa siku, uhuru wa kutoa maoni unakwenda sambamba na uwajibikaji wa maneno yetu. Tofauti zetu zisigeuke chuki bali ziwe chanzo cha kuelewana zaidi.
Ujumbe wako upo kwenye AYA yako ya pili hapo juu
Siku ( nikizipata bunduk)i shairi la mohamed seif khatibu, fungate ya uhuru
 
Nimekuuliza swali naona unalikwepa. Naomba nirudie tena. Huyu mtu mlimchukulia hatua gani? Au alichokisema ni sawa?
View attachment 3369900
Upo sahihi mkuu, ni haki yako kuuliza na kupata majibu ya swali lako, so Kuhusu mtu unayemzungumzia, kama alikiuka maadili au sheria, nadhani ni hekima tu hatua stahiki zinatakiwa zichukuliwe kulingana na ushahidi uliopo na kwa kufuata taratibu za haki. Asante
 
Ni kawaida kuwa na hisia kali, hasa linapokuja suala la haki na mustakabali wa taifa. Lakini tukubaliane kuwa "lugha ya staha" si ujanja wala ulaghai—ni njia ya kujenga hoja zenye mashiko na kuheshimika mbele ya jamii na jumuiya ya kimataifa
Basi, kama hilo la "lugha" ndicho kikwazo; tuakuwa tunachekacheka tu na nyinyi wakati tukijadiliana, huku tukijua hakuna litakalobadilika bila ya kutumia njia bora zaidi zitakazo walazimisha kuachana na kutunyima HAKI yetu ya msingi.

Wewe unadhani 'lugha za staha" hata huko Umoja wa mataifa zimezuia mitafaruku duniani?

Unapotumia njia za kijanja janja kunyima HAKI; hao unaowanyima haki hata bila kutumia lugha za hisia watatafuta mbadala wa kukomesha uovu wanaofanyiwa.

Haya maswala ya "lugha za staha" hayana maana yoyote tena, waTanzania wamekwisha yaelewa maana yake ni nini na kwa nini mnayaweka mbele kila mara mnapoelezwa uovu mnaoufanya.
 
Back
Top Bottom