jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 705
- 1,033
Sasa kwanini tusiache shauku hiyo itumike badala ya kutumia nguvu kubwa ya kuwalazimisha watu kujitokeza kushiriki.Huu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
Usichokijua ni kwamba desturi ya watu wa Simiyu hawaamini katika uongozi wa mwanamke katika ngazi yeyote ya kimaamuzi (labda katika vikundi vya kina mama) ndio maana huwezi kuta sehemu yeyote kuna N'sumba N'tale wa kike kwenye nzengo yeyote ile huko.