Mkuu 'Erythro', kubwa ya hii yote ni hiyo Fomu inayotengenezwa na "TK Movement."
Hiyo Fomu ni uvunjifu wa sheria, na CHADEMA inalazimu ilisimamie hili kisheria.
Hii haikubaliki mahala popote.
Zamani watu wakiwa usingizini ndio walikuwa wanaona fahari kwenda kumuona rais. Sasa hivi watu wanajitambua, wanajitokeza kwa hiari yao kumuona wanayemtaka.Wazushi kama nyie mnatakiwa kushughulikiwa.
Rais hawezi lazimisha mtu Utaenda mwenyewe tuu kwani wewe hupendi Kumuona Rais na msafara wake?
We mbwa koko utakuwa Luhaga Mpina, acha ushamba Simiyu wana tofauti gani na sehemu zingine za nchi? Unajidhalilishaji tu uonekane mpumbavu. Wananchi wana hamu ya kumwona Rais wao wasiende kwanini. Acheni siasa za kishamba.Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.
Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.
Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.
Wenye shule za English medium wameamliwa kutoa magari ya Shule Kwa ajiri ya kusomba raia.
Je hii nguvu kubwa ya Nini, je serikali ya mkoa inawasiwasi kuwa wananchi wanaweza susia mikutano ya Raisi?
Tuombeeni sisi wana Simiyu maana maagizo ni mengi
Reforms za kuibeba ccm? Ziweke hizo reforms hapa tuzione.reforms zimeshafanyika tatizo mnalala sana mnakuja kuzinduka na michango ya tone tone
Hata Sasa sio swala la zamani.Usipoenda Kwa Rais Utaenda Kwa Heche Ili upate nini? 😁😁Zamani watu wakiwa usingizini ndio walikuwa wanaona fahari kwenda kumuona rais. Sasa hivi watu wanajitambua, wanajitokeza kwa hiari yao kumuona wanayemtaka.
CCM Haina Mpango wa kutoka madarakani never so msipoteze energy na kujizeesha Bure.Reforms za kuibeba ccm? Ziweke hizo reforms hapa tuzione.
Huko ndio kulazimisha watu? Kihongosi Huwa anajaza watu sembuse Rais? Kijijini hawasombwi raia Bali Wana CCM kama kawaida Yao ila Rais Wataenda wenyewe.
Ni wapi umewahi ona Rais amefanya Ziara watu wasijitokeze?
Achaga ujinga wewe nyumbu wa Chadomo,Barabara zinafungwa mjini huo u busy wa biashara utautoa wapi?
Ngombereforms zimeshafanyika tatizo mnalala sana mnakuja kuzinduka na michango ya tone tone
Rais yupi wanahamu naye? Hakuna mazoba siku hizi. Nyie tumieni mbinu za kazamani kulazimisha ionekane m mnakubalika.We mbwa koko utakuwa Luhaga Mpina, acha ushamba Simiyu wana tofauti gani na sehemu zingine za nchi? Unajidhalilishaji tu uonekane mpumbavu. Wananchi wana hamu ya kumwona Rais wao wasiende kwanini. Acheni siasa za kishamba.
Nipo Migato-Itilima njoo unikamateWazushi kama nyie mnatakiwa kushughulikiwa.
Rais hawezi lazimisha mtu Utaenda mwenyewe tuu kwani wewe hupendi Kumuona Rais na msafara wake?
Itatoka taka isitake.CCM Haina Mpango wa kutoka madarakani never so msipoteze energy na kujizeesha Bure.
Hao washamba hawanaga ht aibu, ukweli ni kuwa ziara ya Rais ina ladha na hadhi hakuna mwananchi atataka kuikosa, kwanza ni adhimu sana na kule kuna mbwembwe na burudani nyingi nani asitake kwenda, hivyo vibwengo vipuuzwe, ht huyu mbwa ukute yuko Dsm ameamua tu kuzushs aangalie km atapata watakaomwunga mkono.Huu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
Watulie Maeneo Waendelee Na Majukumu Yao Ya KilaSema waTanzania wafanye nini kuukomesha upumbavu huu.
Mama hauzikiWewe hujui kitu ila unatanguliza mahaba ya uchawa. Ungekuwa na akili ungefuatilia wafanyabishara wa Brd walivyo busy Kwa sasa kupeleka magari kusomba raia Toka vijijini Ili kuongeza idadi ya wahudhuliaji fake.
Lete hizo picha tena video. Nyie mbwa koko ni km sisimizi mbele ya RaisNa wanao sombwa kwenye malori kama mkaa wao hutolewa sayari Gani?
Ndiyo UkweliItatoka taka isitake.
Jambo Gumu SanaMama hauziki
Sijaelewa yani mwalimu amekua categorized tofauti na mwajiriwa?🤣🤣hii kada sanadharauliwa sana
Una akili za kipumbavu sana! Natangaza kukudharau mileleCCM Haina Mpango wa kutoka madarakani never so msipoteze energy na kujizeesha Bure.