Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.

Wenye shule za English medium wameamliwa kutoa magari ya Shule Kwa ajiri ya kusomba raia.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Poleni kwenu.
Lakini fahamuni kuwa huo ni sehemu ya mkakati kuelekea katika kujitangazia ushindi. Nanyi mtakuwa kithibitisho jinsi mlivyokuwa mstari wa mbele kumkubali Samia Suluhu Hassan.

Jiandaeni kukataa upumbavu huo.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Bhaghosha Sana
 
Hatari mkuu
Poleni kwenu.
Lakini fahamuni kuwa huo ni sehemu ya mkakati kuelekea katika kujitangazia ushindi. Nanyi mtakuwa kithibitisho jinsi mlivyokuwa mstari wa mbele kumkubali Samia Suluhu Hassan.

Jiandaeni kukataa upumbavu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…