KASHOROBAN
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 859
- 738
Ni hapo Christmas itakapo ahirishwa na ela yake kupangiwa kazi nyingine, yetu macho,Jiwe lazima ataomba "poo" kama sio kupagwa.
Christmas inaweza kupigwa marufuku kama zile sherehe zilizokuwa zifanyike hivi karibuni.
Fedha zipi? kwan xmas uandaliwa na setikali ? au unasema sadaka za waumini ? kama hawatoenda kanisani sasa sadaka zitoka wapi ??JIWE PIGA MARUKUFU SKUKUU YA XMAS... FEDHA ZOOTE KAZITUMIE KULISHA ULIOWASWEKA LUPANGO
we tulixa makalio humjui jiwe mipango yakeFedha zipi? kwan xmas uandaliwa na setikali ? au unasema sadaka za waumini ? kama hawatoenda kanisani sasa sadaka zitoka wapi ??
Wewe ni mzushi tu....... Labda angesema Matola!Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Kwani ushamuona tena Madhabauni?jana kaomba awe anaitwa kuzindua MisikitiLakini Rais ambaye analalamikiwa, ni Muumini wao wamnyime komonio.
Kama wakiutoa waraka mwingine wataambiwa nao wanatumiwa na mabeberu kukwamisha juhudi....
Mbona umekuwa mpole leo?Sifikiri kama kuna uhitaj wa waraka, Nafikiri huu ni utawala usiohitaji waraka wala matamko koko yyt yale.Nawashauri wachukue hatua tu kama wanakiamini wanachokipigania.
Waraka wa maaskofu utahusu ushoga?Kama huu waraka wa EU?
Huo waraka hautakuwa na maana. Ni sawa na abiria kujamba akiwa kwenye boda bodaKama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Ndiyo mwezi upi huo?Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Ndiyo mwezi upi huo?
Na wewe ni Askofu?Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
HaaaahaaaaNdiyo mwezi upi huo?