Hali Tete: Wana struggle kuuza tiketi za siku yao

Hali Tete: Wana struggle kuuza tiketi za siku yao

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna

Capture.JPG
 
kama ni kweli ni jambo la kufikirisha ila crdb si wameweka mpunga naamini mambo yataaenda vyema tu
 
Mkuu usipojiangalia utakufa na ufukara hivyohivyo.. Make your money.. Achana na mambo yasiyokusaidia maishani
 
Mkuu usipojiangalia utakufa na ufukara hivyohivyo.. Make your money.. Achana na mambo yasiyokusaidia maishani
utopoloni huko inaelekea kila mtu tajiri sana???? kila mkishikwa makende mnakimbilia punchline ya kujifanya mnazo pesa sana, Imbecile.
 
Vip jezi zishatoka, udhamini wa 26.1 bil ila mpaka sasa hazi heleweki kaa zinatoka China au India.
Simba haigharamii jezi, anayegharamia ni Vunjabei maana alishailipa Simba 2B. Kwa hiyo hapo hela za udhamini hazihusiki, zimetulia zinasubiri matumizi mengine
 
Na jumatatu asilimia70 ya mashabiki wao watakuja wamevaa chapa sportspesa patam hapo
tunawapa mileage ya burebure mwishoni hiyo kampuni maskini hata jezi za kilimanjaro na vodacom zitakuwepo pia sembuse za tarimba
 
kama ni kweli ni jambo la kufikirisha ila crdb si wameweka mpunga naamini mambo yataaenda vyema tu
kweli hiyo na katika hizo 27,000 kuna tawi lao maarufu limegawa tiketi nyingi sana leo za bure
 
Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna

View attachment 2315399
We jamaa propoganda na Majungu kwako vimevuka mipaka. Naungana aliyekushauri kutumia muda wako kutengeneza mambo ya msingi kwako na familia yako pia. Huu mwendo unaoenda nao hutoboi.
 
Simba haigharamii jezi, anayegharamia ni Vunjabei maana alishailipa Simba 2B. Kwa hiyo hapo hela za udhamini hazihusiki, zimetulia zinasubiri matumizi mengine
Kwa hiyo hata akitoa mwakani sawa,mkataba haumbani. Ila nyie Simba mikataba yenu ni ya kipekee........
 
Na jumatatu asilimia70 ya mashabiki wao watakuja wamevaa chapa sportspesa patam hapo
Ila vilaza kama wewe hamkosekani

Siku Arsenal inacheza utaona Mashabiki wamevaa jezi za JVC, wapo waliovaa SEGA/Dreamcast wapo wa 02 na wapo watakaoovaa various versions za Fly Emirates za miaka ya nyuma

Likewise Man U wakicheza kama hutawaona waliovaa Sharp, Vodafone, AIG, AON, Chevrolet na Teamviewer

Ni kawaida tuu
 
Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna

View attachment 2315399
Nakwambia Kila siku wewe ni mshangiliaji siyo shabiki. Kama kweli Yanga mpaka Sasa wameuza tiketi 27k katika nchi ambayo zaidi ya 75% ya wanaoingia kwenye viwanja kuangalia soka wanakata tiketi siku ya Mechi, basi kesho watu wengi watabaki nje.
 
Back
Top Bottom