Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Kuna wazee wana dawa za kienyeji...mlevi yoyote akipewa lazima aache ulevi ..iwe bangi,pombe na hata sigara...labda wampeleke huko.KigambonI kwa Pili misana alishapelekwa kipind kile mwanzoni kabisa,then akaja kupelekwa Zanzibar, then Bagamoyo, Alivyotoka Bagamoyo kidogo ndo alibadilika kabisa,akapata hadi mwili , ila ndo hivyo amerudi tena kwenye njia yake
Ukweli ni kuwa mateja wengi ni waathirika wa gonjwa la Ukimwi. Na hawajali kuhusu kutumia dozi wala nini. Na wengi ni walevi wa pombe kali , unakuta kashaunguza maini yote kwa pombe kali.Dah haya madawa yametuharibia vipaji vingi sana, Langa alikuja kustuka ikiwa too late, Maleria kali ikamuondoa nafkiri kinga za mwili zilishakua weak sana, Nakumbuka kipindi cha Msiba wa Albert Mangwea alienda FNL kutambulisha video ya wimbo wake wa Rafiki wa kweli, Na Sammisago akamuuliza kuhusu Ngwair jamaa akafunguka kwa upande wake then akawekewa beat afanye freesyle kuhusu Albert ngwea ...then One week later nayeye akafariki ...
Kalapina alishasema Chid benz hawezi kuacha madawa kwasababu anadeka sana. Madawa mtu haachi kwa kubembelezwa ni mpaka aamue kutok ndani ya nafsi yake kutaka kubadilika laa sivyo unamchukua leo kwenda sober house then kesho anakimbia kurudi mtaani.Sure mkuu, kama vp muibukie Kikosini Block 41 Kinondoni
depression inaweza ikam-maliza kabisa, Kwa upande wa Familia yake sijui wao wamejipangaje
Mkuu wa mkoa wa Ilala mstaafuNi nani huyo mtu? Anahusika na nini?
Ok. So issue ni nini hapa?Mkuu wa mkoa wa Ilala mstaafu
Kijana huyu ni mhuni wanamdekeza kwa sababu ya legacy yake amegoma kuacha kutumia cocaine na pombe ndo tunamjadili.Ok. So issue ni nini hapa?
Wamweke sero. Kwa nini wanamdekeza? Afungwe tu.Kijana huyu ni mhuni wanamdekeza kwa sababu ya legacy yake amegoma kuacha kutumia cocaine na pombe ndo tunamjadili.
100% truly.Hakuna atakaekusaidia kuishi maisha yako zaidi yako. Acha aishi maisha yake, mtu akishafikia hatua ya kujiona yupo sawa na wakati hayupo sawa sio jambo jepesi kumtoa huko alipo, unadhani familia yake imempotezea?
Ni habari ya kitambo sana na waliokuwa wanapakuliwa wanajulikana tu, ila baada ya Chidi Benz kuthibitisha ukweli huo, mada imefufuliwa upya na kushangaza vijana waliozaliwa 2010 kuja sasa!Hivi hizi issue za ushoga kwa bongo fleva lina ukweli kiasi gani
Hii ni kweli.Chid benz anabeba mapito ya vijana wengi wa kitz wanaoishi bila matumaini wakiachwa wajifie wenyewe
Shida nyingine afya ya akili hana, nuts zimelegea.Leo nimekutana tena na mwamba asubuhi maeneo yake ya msasani ila sahv kidogo afya yake imeimarika,
Huyo wanakosea sana kumpa hela mkononi, ili kumsaidia inatakiwa apelekwe kwenye matibabu moja kwa moja na hilo linawezekana Chid bado ana watu wa kumsaidia.Kwa kile kidonda alicho nacho mguu wa kulia, ukimuangalia unaweza ukalia
Mwezi mmoja nyuma alienda kwa mkuu wa mkoa akitokea boma Kota ndio maskani yao na kwao alipokua. Alipewa Laki 2, akaishia kunywa pombe na kuwatoa masela wake. Ndani ya usiku mmoja waliimaliza ile pesa
Kile kidonda kinamtafuna Sana, alafu miguu yote imevimba. Kikimuuma huwa analia Kama mtoto huku akijikuna
Mungu amfanyie wepesi either kwa kumponja au kumchukua mapema
Ukiongea na chid ana madini Sana Sana tatizo ni ujuaji na kujiona yupo sawa..Huyo wanakosea sana kumpa hela mkononi, ili kumsaidia inatakiwa apelekwe kwenye matibabu moja kwa moja na hilo linawezekana Chid bado ana watu wa kumsaidia.
Ni fundi magari ya benzi.Ni nani huyo mtu? Anahusika na nini?