#COVID19 Hali ya Covid Moshi ni mbaya sana watu wanakuputika balaa

Pole sana ndugu.

Pole sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani unahesabu misiba? Unajua iyo misiba yote marehemu wamekufa nanini kana kwamba uliona death report zao? Unajua kuwa kuna misiba kila mtaa na kila kijiji !!!

Naombeni K-Vant ebu maana naona unatuona sisi watoto
 
Hali si shwari lkn Barakoa watu hawataki kuvaa kbs,Yani ukipita masokoni huko Mbuyuni kwenye usafiri wa public ice,bajaji, barakoa hazivaliwi kbs. Yani Mungu atutetee na watu wabadilike.
 
Mnapozika si mnatengeneza mikusanyiko?!Kwa hiyo unapigiwa simu ili ukakae kwenye mikusanyiko?Mtu mweusi ni Kima aliechangamka!πŸ’πŸ’πŸ’
 
Watu wakitoa taarifa mitungi ya gas imeisha mahospitalini mnawakamata.

Shame on you
 
Wabongo bhana wapo wanaoamini kuwa Corona hakuna ni uzushi tuu...sijui ni kukosa Elimu bora au exposure au kula vyakula vinavyoua uwezo wa kufikiri kwa muda mrefu bila kujua...
 
Wewe ni zaidi ya mjinga
Huyo malisa ana wawakilishi kila kijiji kila mtaa huko moshi?
Huna akili

Wewe MBWEHA acha kupanic ,Malisa ni Akili kubwa ,aendeshwi kwa mihemko kama NYINYI nzi wa Lumumba! Relax and Take Notes while i take totes of marijuana smoke....I just want the paper.

 
Watanzania badonhata hawana habari wala hawachukui tahadhari, Mungu atunusuru maana tutaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…