Acha kuwapa hofu wanajalalani wenzio.Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
Kamati ya Kariakoo iliju,muishe na jengo hilo.Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
Halafu waliojenga ni wayahudiWakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
Usishhangae waliojenga hayo ya KKO waliishi humo hall 2Kama hadi huko jalalani kwenye jiko la wasomi nako wasomi hawapigi kelele juu ya usalama wao basi kwwli tuna shida kama taifa.
Kwani hao wote wanaosimamia ujenzi na vibali si ni wamebukua huko huko jalalani ???!!Kama hadi huko jalalani kwenye jiko la wasomi nako wasomi hawapigi kelele juu ya usalama wao basi kwwli tuna shida kama taifa.
Huenda lilirekebishwa, ukipata updates usisite kutujuza pia mdau.
Utakuwa mgeni nji hii......Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
pale hakuna wasomiLile hall watu walovyojazana kama kuku siku likianguka let's say usiku itakua na majanga matupu, tutapoteza wasomi wengi sana
kama vile nawaona.....Tunasubiri lianguke halafu mawaziri waje na viti wakae wakiangalia jinsi watu wanavyookoana wenyewe!
Soon kuna miuhuni itagusa miguu ya jengo ukipigwa mguu mmoja tu chaliMungu awanusuru vijana wetu, waiepuke hiyo ajali