NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,298
- 2,514
hilo jengo lina zaidi ya miaka kumi mpaka sasa,....kuna wakati wanafunzi walikuwa wanaliogopa,... watalamu wakaliskimu, na kulipaka rangi upya wakati wa likizo,..wanafunzi wanarudi wanaendelea kulitumia,...dah mbona ani hatari, wahusika wafanyie kazi hizi mambo si utani hata nini