DOKEZO Hali ya ghorofa la "Hall Two", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ikoje? Mara ya mwisho kulikuwa na habari kwamba limeinamia upande mmoja

DOKEZO Hali ya ghorofa la "Hall Two", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ikoje? Mara ya mwisho kulikuwa na habari kwamba limeinamia upande mmoja

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yalifanyiwa marekebisho makubwa na wakandarasi waliobobea mwaka jana na juzi.
Msijali yako vizuri, ni mambo madogo tu haya.
Endeleeni kuchapa kazi.
 
Yalifanyiwa marekebisho makubwa na wakandarasi waliobobea mwaka jana na juzi.
Msijali yako vizuri, ni mambo madogo tu haya.
Endeleeni kuchapa kazi.
Je, wewe binafsi unaishi humo humo kwenye hilo jengo?

Isije ikawa kama Watawala wa Tanzania kila siku wanaeleza kwamba wameboresha vizuri sana huduma za afya kwenye hospitali zote za Serikali hapa nchini, lakini kitu cha ajabu wao wenyewe wakiugua ugonjwa Mdogo tu kama vile kipandauso wanapanda ndege na kwenda kutibiwa India au Ulaya!
 
Back
Top Bottom