ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Kwenye vita ukiwa na wapinzani ndani ya nchi yako inakuwa shida.Hao hao watashirikiana na maadui wa nchi.Ndio maana nikatoa mfano wa Amin maana yeye alikuwa na maadui wengi ambao wapo ndani ya nchi.Rejea majeshi ya tz yalipata taarifa nyingi za kijasusi kutoka kwa raia
uganda ni kubwa kuliko rwanda na burundi
Ant tank kwa vita za africa ni silaha muhimu saana
majuzi apa israel alivyogundua hamas wana ant tank akawa mpore
slim anamaadui wengi mno zaid ya mwenzakeKwenye vita ukiwa na wapinzani ndani ya nchi yako inakuwa shida.Hao hao watashirikiana na maadui wa nchi.Ndio maana nikatoa mfano wa Amin maana yeye alikuwa na maadui wengi ambao wapo ndani ya nchi.
Angalia idadi ya Wahutu wa kila upande.
15% kwa 20%Angalia idadi ya Wahutu wa kila upande.
75 kwa 80Angalia idadi ya Wahutu wa kila upande.
Hao ni Wahutu au Watusi?15% kwa 20%
watucHao ni Wahutu au Watusi?
Angalia uwiano huo , tena angalia historia yao.Sawasawa Wakurd na Washia walivyomsaidia Marekani kwenye Vita dhidi ya Sadam Iraq75 kwa 80
sidhan kama watapigana kiukabila apa kila mtu lzm atetee taifa lakeAngalia uwiano huo , tena angalia historia yao.Sawasawa Wakurd na Washia walivyomsaidia Marekani kwenye Vita dhidi ya Sadam Iraq
Mkuu historia zao hao jamaa ndio zinaamua mambo. Mhutu wa Rwanda apigane sawasawa na Mtusi wa Rwanda kumpiga Mhutu mwenzie wa Burundi.Angalia madai ya Nkuruzinza kuelekea kwa viongozi wa zamani ambao ni Watusi.Ukabila kwa nchi hizo hautaisha mpaka wachangamane maana yake waoane tu.sidhan kama watapigana kiukabila apa kila mtu lzm atetee taifa lake
kwa burundi kiasi fran wamechangamanaMkuu historia zao hao jamaa ndio zinaamua mambo. Mhutu wa Rwanda apigane sawasawa na Mtusi wa Rwanda kumpiga Mhutu mwenzie wa Burundi.Angalia madai ya Nkuruzinza kuelekea kwa viongozi wa zamani ambao ni Watusi.Ukabila kwa nchi hizo hautaisha mpaka wachangamane maana yake waoane tu.
Na bongo hapa hizo ant tank tunazo ngap na ubora wake ukojewalinunua alafu za kisasa zaidi
alafu wana ant tank aina zaid ya kumi
jina lake nimelisahau japo inasemekana zina akili sana na zinapiga long target kwa ufasaha zaid
Siasa zinabadilika sana mkuu, chini ya utawala wa JPM, Tanzania ni rafiki mkubwa wa Rwanda kuliko BurundiBelieve or not, Rwanda has more enemies within than outside!
In addition Kagame haelewani na Uganda kwa sababu M7 anaunga mkono wapinzani wa PK including Gen Kayumba Nyamwasa. Sasa PK kuwa kwenye mgogoro na Nkurunziza ni kujiongezea matatizo.
Kwa sasa Burundi wanapata misaada ya kiuchumi na ulinzi kutoka SA, China, Russia, Libya & Misri. Pia yeyote akubali au asikubali, Tanzania ni rafiki mkubwa wa Burundi kuliko Rwanda.
PK anatiwa jeuri na US, Israel, UK, Canada, Australia pamoja na baadhi ya nchi za umoja wa ulaya.
Bongo mnazo naskia mnaunda wenyewe mkishirikiana kisiri na north koreaNa bongo hapa hizo ant tank tunazo ngap na ubora wake ukoje
Samahan kwqnza hizo ant tank ni nini mkuu maana sizijui kabisa ndugu yanguBongo mnazo naskia mnaunda wenyewe mkishirikiana kisiri na north korea
unazijua RPG?Samahan kwqnza hizo ant tank ni nini mkuu maana sizijui kabisa ndugu yangu
Yaan ni kombora auunazijua RPG?
zipo kama hivyo bt zenyewe zinaweza kuvunja mpaka vifaru
alafu pia mwaka kesho urusi wanazindua kifaru ambacho mpaka sasa hakuna ant tank ambayo inaweza kukivunja
picha sina na ni komboraYaan ni kombora au
Hauna hata picha yake mkuu