Rwanda wahutu wanatawaliwa kwa msumali wa moto huku wakiwa 80% YA raia wa rwanda, upande wa Burundi wahutu ni ,86% ya raia wote na ndio wa tawara , pia usisahau FDRL kule DRC zaidi Burundi ana jeshi kubwa zaidi ya slim ukitaka ingia YouTube angalia nchi hizo 2 kijeshi kisha leta jibu hapa JF.Burundi?
Hahah nchi haina wajeshi hio ila ina ka-kundi ka wahuni wahuni wenye silaha tu.
We jamaa kwenye hayo masuala hunidanganyi kitu endelea kuwapiga kanyaboya wenzako.Ila ngoja nianze kukuchana kidogo:Rwanda wahutu wanatawaliwa kwa msumali wa moto huku wakiwa 80% YA raia wa rwanda, upande wa Burundi wahutu ni ,86% ya raia wote na ndio wa tawara , pia usisahau FDRL kule DRC zaidi Burundi ana jeshi kubwa zaidi ya slim ukitaka ingia YouTube angalia nchi hizo 2 kijeshi kisha leta jibu hapa JF.
Jamaa yangu hapa tunapeana elimu kiroho safi ,lakini kubali kataa hizi nchi siyo hata hizo S-200 ambazo zitafanya chochote ktk vita baina yao kubwa na baya ni ukabila uliopo mr slim anataka mataifa haya 2 ystawaliwe na watutsi huku wahutu nao wanatamani watawale Rwanda na Burundi kwakua wao ni wengi na mpaka hiv tunaongea kuna uasi kusini mwa rwand ktk misitu ya Nyungwe \Nyaruguru kuna wapiganaji wa FLN na FDRL walioungana na msemaji wao Kallixite Sankara,pia kumbuka kagame hana uhusiano na jirani zake wew pia utakua unalijua ,hiyo vita anamshindaje Nkuru?We jamaa kwenye hayo masuala hunidanganyi kitu endelea kuwapiga kanyaboya wenzako.Ila ngoja nianze kukuchana kidogo:
*Unaongelea Burundi gani hio yenye jeshi imara?hii hii ambayo Nkuru alipinduliwa majuzi tu hapa mpk JW ikamrudisha?
*FDLR?wale wahuni wanaoishi huko Congo na kubaka wanawake huku biashara yao ni kuuza mkaa?
*Burundi hata ikiachiwa wale wahuni wa M23 kwa sasa wamesambaa (Sudan wakimsaidia Salva Kiiri,wako jamhuri ya kati,na Congo) wanampindua Nkuru ndani ya siku chache tu.
*Kuna mdau amesema Burundi ina RPG 10 nchi nzima,hahah nimecheka sana aisee sasa RPG launcher inacost $2200 na grenade yake $700,so Burundi nzima RPG zake total costs ni $29,000 only hahah,maajabu sana haya.
*Umesema niende youtube kuangalia hizo mambo za jeshi sio?Burundi Military expenditure kwa mwaka 2017 ni $56.30milwkt Rwanda Military expenditure kwa mwaka 2017 ni $114mil,Hahah mkuu leta point strong bana.
*Unaongelea Burundi yenye Fdi ya $300,00 only wkt mwenzake ana FDI ya $336mil, huo uwezo wa kuendesha jeshi kisasa wkt nchi hata fedha tu haina itatoa wapi?
*Nikikuleta kwenye hayo ma S-200 huko sijui hata kama utanielewa anyway ngoja tuendelee kupiga gahawa kidogo.
mzee baba upo sawa lkn rwanda hakuna UASI wowote uko nyungwe lkn naona kama wakipigana pk atakuwa ana hali ngumu zaidiJamaa yangu hapa tunapeana elimu kiroho safi ,lakini kubali kataa hizi nchi siyo hata hizo S-200 ambazo zitafanya chochote ktk vita baina yao kubwa na baya ni ukabila uliopo mr slim anataka mataifa haya 2 ystawaliwe na watutsi huku wahutu nao wanatamani watawale Rwanda na Burundi kwakua wao ni wengi na mpaka hiv tunaongea kuna uasi kusini mwa rwand ktk misitu ya Nyungwe \Nyaruguru kuna wapiganaji wa FLN na FDRL walioungana na msemaji wao Kallixite Sankara,pia kumbuka kagame hana uhusiano na jirani zake wew pia utakua unalijua ,hiyo vita anamshindaje Nkuru?
Hahah daah jamaa angu unaandika vitu vya kufikirika balaa.Jamaa yangu hapa tunapeana elimu kiroho safi ,lakini kubali kataa hizi nchi siyo hata hizo S-200 ambazo zitafanya chochote ktk vita baina yao kubwa na baya ni ukabila uliopo mr slim anataka mataifa haya 2 ystawaliwe na watutsi huku wahutu nao wanatamani watawale Rwanda na Burundi kwakua wao ni wengi na mpaka hiv tunaongea kuna uasi kusini mwa rwand ktk misitu ya Nyungwe \Nyaruguru kuna wapiganaji wa FLN na FDRL walioungana na msemaji wao Kallixite Sankara,pia kumbuka kagame hana uhusiano na jirani zake wew pia utakua unalijua ,hiyo vita anamshindaje Nkuru?
By the way Nkurunziza hajaingia madarakani kwa mtutu hata kuikaribia Bujumbura hakufanikiwa ila makubaliano ya Arusha ndio yalimwingiza madarakani.Jamaa yangu hapa tunapeana elimu kiroho safi ,lakini kubali kataa hizi nchi siyo hata hizo S-200 ambazo zitafanya chochote ktk vita baina yao kubwa na baya ni ukabila uliopo mr slim anataka mataifa haya 2 ystawaliwe na watutsi huku wahutu nao wanatamani watawale Rwanda na Burundi kwakua wao ni wengi na mpaka hiv tunaongea kuna uasi kusini mwa rwand ktk misitu ya Nyungwe \Nyaruguru kuna wapiganaji wa FLN na FDRL walioungana na msemaji wao Kallixite Sankara,pia kumbuka kagame hana uhusiano na jirani zake wew pia utakua unalijua ,hiyo vita anamshindaje Nkuru?
Kosa lilifanywa na UNO baada ya vita ya kwanza. Rwanda na Burundi zilikuwa Germany East Africa. Walipo wapa Burundi na Rwanda uangalizi wa wa Bergig ndo shida ilipoanza.Huenda tulikosea kuwakaribisha hawa wenzetu kwenye EAC...ni watu waliozoea kuuwana. Yaani wasipoona damu ya halaiki ikitiririka mioyo yao haitulii. Kuna umuhimu wa nchi hizi kuchukuliwa na kuwa mikoa ya Tanzania. Jwtz kapanueni mipaka ya nchi yetu
Ndugu angalia mfano wa vita ya Elitiria na Ethiopia ( upo kwenye top 10 ya majeshi imara afrika )
Ubora wa Ethiopia hata haukuonekana kabisa Burns vs Rwnd kila 1 ana marafiki na mbaya mimi naonaona kagame ana maadui wengi kwasababu ya uchokozi wake MF:Uganda , DRC n.k
Ndugu angalia mfano wa vita ya Elitiria na Ethiopia ( upo kwenye top 10 ya majeshi imara afrika )
Ubora wa Ethiopia hata haukuonekana kabisa Burns vs Rwnd kila 1 ana marafiki na mbaya mimi naonaona kagame ana maadui wengi kwasababu ya uchokozi wake MF:Uganda , DRC n.k
Kagame Hana kitu; unakumbuka M23, unawmbiwa Kwa urefu wao kama twiga ni rahisi Sana kuwatungua.Teh teh teh teh Burundi haiwezi kupambana na Rwanda. Labda ipate msaada wa kutosha.
Believe or not, Rwanda has more enemies within than outside!
In addition Kagame haelewani na Uganda kwa sababu M7 anaunga mkono wapinzani wa PK including Gen Kayumba Nyamwasa. Sasa PK kuwa kwenye mgogoro na Nkurunziza ni kujiongezea matatizo.
Kwa sasa Burundi wanapata misaada ya kiuchumi na ulinzi kutoka SA, China, Russia, Libya & Misri. Pia yeyote akubali au asikubali, Tanzania ni rafiki mkubwa wa Burundi kuliko Rwanda.
PK anatiwa jeuri na US, Israel, UK, Canada, Australia pamoja na baadhi ya nchi za umoja wa ulaya.
Huwajui wahutu na watusi mkuu..Ningekuwa na power ningeziunganisha Rwanda na Burundi kuwa sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania iwe for conquest, negotiations & agreements, union, or any means. Hii itasaidia kuziondoa hizo nchi kwenye primitive conflicts & expanding territorial Dominions for economic and strategic purposes.
Generally speaking; the intervention will focuses on stabilizing & harmonizing situation, and those countries they shall benefit from trade interm of privileges and interests based on Indian ocean keyboard.
War strategy kwasasa ni kuangalia adui na namna ya kumkabili. M7 once Uganda patriot,Sasa anampigia Salute mwanafunzi wake PK.Nkurunziza bila tanzania angeshaondoka pale kitambo yeye mwenyewe hana uwezo wa kujihakikishia kubaki madarakani, kwa hali ya jeshi lake na mazingira ya uchumi hawezi kupambana na rwanda, marafiki wa rwanda ni waaminifu kwake na hawaoni shida kujitokeza muda wowote hata huyo museveni mnayedai ni adui wa kagame hamtaamni mtakapoona akiunga mkono rwanda.
Kakudangqnya nani?Rwanda wapo vizuri sana kwenye vita., siyo rahisi kutwaa hata km moja yao, patachimbika kweli kweli
Juzi kati kuna waasi wanajiita wachunguzi walipiga wanajeshi wa kagame na kuuwa 14 na 60 kuumizwa vibaya sana, kifupi walichoma kambi nzima ya RDF huko maeneo ya kisenyi. Sasa pata picha.Hili sikubaliani nalo. Burundi wakiweka uzalendo mbele kupigania nchi yao, jeshi la Burundi pamoja na Waasi wa Nterahamwe (kama sijakosea) walioko mapori ya Congo ni wazoefu wa ambushi/vita kuliko unavyodhani. Hakuna jinsi Kigali itapona.
Kigali ina vingi vya kupoteza kuliko BujumburaTeh teh teh teh Burundi haiwezi kupambana na Rwanda. Labda ipate msaada wa kutosha.
Sasa mwambie PK akaBurundi?
Hahah nchi haina wajeshi hio ila ina ka-kundi ka wahuni wahuni wenye silaha tu.
Mimi bado nasubiri kuona kwa macho. Kagame atie tu mguu ndani ya Burundi then tuone mbabe ni nani!Nkurunziza bila tanzania angeshaondoka pale kitambo yeye mwenyewe hana uwezo wa kujihakikishia kubaki madarakani, kwa hali ya jeshi lake na mazingira ya uchumi hawezi kupambana na rwanda, marafiki wa rwanda ni waaminifu kwake na hawaoni shida kujitokeza muda wowote hata huyo museveni mnayedai ni adui wa kagame hamtaamni mtakapoona akiunga mkono rwanda.
Hizi taarifa ni za kweli ila walijitahidi sana kuzificha!Juzi kati kuna waasi wanajiita wachunguzi walipiga wanajeshi wa kagame na kuuwa 14 na 60 kuumizwa vibaya sana, kifupi walichoma kambi nzima ya RDF huko maeneo ya kisenyi. Sasa pata picha.
M7 anampigia salute PK? Acha utani wakoWar strategy kwasasa ni kuangalia adui na namna ya kumkabili. M7 once Uganda patriot,Sasa anampigia Salute mwanafunzi wake PK.
Why?corruption
Unapoanza kuhonga vyeo kwa mke,mwanao,binamu,shemeji thats the end of your rule.