Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Nilichogundua PK hapendwi,achilia mbali huko nje hata humu jf......michango ya watu humu ni ushahidi
 
Mkuu utakua upo kwenye kamati ya roho mbaya [emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha sasa nimejua wewe ni Nani

Lakini nikuulize swali , Father wa ukanda huu ni nani?

Maana kila siku unamkataa
 
Acha woga yani unataka kusema watanzania 50 milioni hamana hata watu walio mzidi pk akili.
 
Rais Nkuruzinza anajaribu kumuiga rais wa Ukraine kwa ku-export matatizo yake kwa urusi. Akijaribu kufanya hivyo ataumia vibaya sana na atakosa msaada kutokana na jeuri yake na mwisho wa siku atajikuta ICC
 

Hivi Nkurunzinza sisi si ndio tulimrudisha kukalia tena kiti walipomtikisa! Ama saiv tumehamia upande wa pili, airtel!
 
Sasa mwambie PK aka

Mimi bado nasubiri kuona kwa macho. Kagame atie tu mguu ndani ya Burundi then tuone mbabe ni nani!
Hahah Burundi huyu huyu aliyepinduliwa kizembe akiwa Tz mpk JW ikamrudisha ndiye unaona anaweza vita?hivi Burundi chini ya Nkurunziza ilishawahi kupigana vita wapi na ikashinda?
 
Hizi taarifa ni za kweli ila walijitahidi sana kuzificha!
Ndiyo maana huko juu nimeandika 'PK ana maadui wengi ndani ya nchi yake kuliko walioko nje'!
Thread hii hapa Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda - JamiiForums
iliwekwa hapa eti waasi wamekaribia Kigali sijui nini nikawauliza mnatoa siku ngapi waasi watakua wamechukua nchi?

Si ni Burundi ilikua inalalamika kwamba RDF wanazuga kuvamiwa msituni huko karibu na mpaka wao na Burundi ili ipate sababu ya kuingia ndani ya Burundi?
 
Mkuu Burundi ni wazoefu wa vita?Hebu tuwekee hapa vita ambavyo Burundi chini ya Nkurunziza imepigana ikavishinda?

Drc wana uzoefu wa vita?aisee hapo ndio haupo serious wale ni mdebwedo hawajawahi kua na ujasiri wa kupigana zaidi ya kujua kukata mauno(ndomboroo) na kuja kusuka dada zetu huku dar ila kwny vita hamna kitu hapo.Afu kusema Rwanda inawavuruga Congo si kweli ila Congo wao ndio walianza kuwachokoza Rwanda kwa kuwapokea waliofanya Genocide miaka ile na kuwaruhusu waanzishe training camps ndani ya Congo,na kilicjofuata ndio mpk leo hawakai kwa amani.

Uganda wao huyo PK anawajua mpk chumbani kwao,huyo PK si ndio former CMI wa Uganda sio?Unajua kwanini IGP wa Uganda alifukuzwa kazi na kesi juu mahakamani?
 
M23 ilipigana na combination ya majeshi ya nchi 3 (South Africa+Tanzania+Malawi) ulitegemea nini hapo?
Sio kwamba walipigwa na jw peke yake?

why jw wanaona kama hyo ni victory kwao na haliyakuwa walipoteza commando wao na jw haikupata kamanda ata mmoja wa M23
 
Sio kwamba walipigwa na jw peke yake?

why jw wanaona kama hyo ni victory kwao na haliyakuwa walipoteza commando wao na jw haikupata kamanda ata mmoja wa M23
Possibly sababu ya Ugomvi kipindi kile kati ya PK na JK ndio maana ilionekana ni ka-vita flani ka kiaina kati ya M23(Rwanda) vs JW(Tz) lkn ile mambo ingeendelea ingezusha proxy war.,sijui ni kwanin SA/Malawi hua hawaongelei hio operation ya kuwafyekelea mbali M23.

Jiulize swali rahisi kama kweli PK na M7 wana ugomvi iweje wale jamaa wa M23 majority walikimbilia hapo Uganda na hata yule Bosi wa M23 Makange alienda zake Uganda tena akisindikizwa na nasafara wa Kijeshi?

RIP commando Mlima.
 
Alafu baada ya kupata vyote unavyosema tutaanza tena kuvamiwa kwenye mabasi ya abiria saa 10 jioni tunavuliwa nguo mbele za watoto, na wakwe zetu tukiimbishwa mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe?

Tuanze kuangaika na kukusanya silaha haramu na magonjwa ya milipuko huko kanda ya ziwa?

Ngoja tu niheshimu maoni yako japo yameniweka njia panda kifikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…