Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Nilichogundua PK hapendwi,achilia mbali huko nje hata humu jf......michango ya watu humu ni ushahidi
 
hii vita ikitokea kweli Tanzania tunaweza kunufaika sana kuliko tunavyofikiria kwanza zana nyingi za kivita zitapitia bandarini kwetu na mamia ya wakimbizi watakuja kwenye kambi zetu kwa hiyo ajira njenje na kwa maaskari walioko mipakani pesa ni za kujiokotea kabisa kutoka kwa hao wakimbizi kwahiyo kama mimi ningekuwa ndio nawashauri ningewashauri waanze kutwangana hata Jana asubuhi
Mkuu utakua upo kwenye kamati ya roho mbaya [emoji23][emoji23]
 
Naigonja kwa hamu saana hii vita

uchumi wa rwanda na burundi ni sawa ila rwanda wanajenga kigali burundi wenyewe wanajenga nchi nzima

rwanda anaeonekana bora mizinga yake mipya ni BM-21 ambayo kwa tanzania ilikuwepo toka miaka ya 70 mizinga ya burundi ni BM-45 ni bora zaidi kuliko ya slim

wote airforce zao ni hovyo bt rwanda anakaunafuu kidogo

Burundi wana ant tank nzuri zaidi kuliko rwanda lkn rwanda wana vifaru vzr zaidi ya burundi

uhusiano wa jw na burundi upo kama baba na mwana nakumbuka 2014 burundi waliingiza jet zao ziliingia kilometa nyingi kwenye anga la tz lkn hazikutunguliwa japo zilizua taharuki kias chake

vita hii inaweza kugeuka nakuwa ya ukabila na kama itatokea hivyo kuna jamii itakiona cha moto coz ukimuona tu unamjua wala hauangaiki kumtafuta

ili hii vita ipigane lzm FAZA wa ukanda huu atoe ruksa kwa pande zote mbili coz yeye ndio mwenye uwezo wa kuamua mshindi

kazi ni kwao
Ha ha ha sasa nimejua wewe ni Nani

Lakini nikuulize swali , Father wa ukanda huu ni nani?

Maana kila siku unamkataa
 
Acha woga yani unataka kusema watanzania 50 milioni hamana hata watu walio mzidi pk akili.
Ndgu hakuna jirani mnafik kama paka a.k. a mr slim kama aliwahi kusema anajua hadi rangi mashuka anayolalia Mh JK magogoni kipindi kile anatuulia vijana kule Congo DRC ,na JPM anajua unafiki wa slim, kama ni mrafiki awatoe askari wetu Kyle drc waliopelekwa na Jk kipindi l'île kumwadhibu paka
 
Kama heading inavyojieleza,kuna sintofahamu kubwa kati ya nchi hizi jirani yaani Burundi na Rwanda ambapo majuzi baada ya kagame kushuhudia mazoezi ya kijeshi huku askari wake wakijaribu mizinga mipya alitoa hotuba iliyo m criticise Nkurunziza baada ya wiki 2 lilitokea tukio la uvamizi katika msitu wa Nyungwe\ Nyaruguru ambapo watu wanaosemekana kutoka Burundi walivamia wakachoma magari 3 ambapo mashuhuda walio hojiwa wanasema wavamiz walikua wanaongea Kirundi lakini wandishi wa nje hawakuruhusiwa kuhoji wanchi kuhusu tukio hilo na kwa mjibu wa msemaji wa jeshi la RDF alikili kua walibahatika kuua wavamizi 3 wengine wapatao 30 walitimkia Burndi hivyo msemaji huyo alisisitiza kua watajibu dhidi ya uvamizi huo na kwaupande wa pili wa Burundi juzi katiks mdaharo uliojumuisha wandishi wa habari na mawazari akiwemo wazir mambo ya ndani msemaji wa rais ,msemaji wizara ya ulinzi na usalama wa nchi ,mwandishi 1 aliuliza halo ya usalama ktk mpka na Rwanda na uchokozi ikiwa ni pamoja na kuteka wavuvi wa Kirundi swali hilo lilijibiwa na msemàji wa waziri usalama aliwatoa hofu wanachi wa Burundi kwakusema mipaka na jiran yao huyo imelindwa na aliongeza kwa kusema tunasafisha siraha zetu kila saa na tuko imara.
Swali langu je mikataba ya jumuia EAC inazunguza nini endapo wanachama watatwangana ? Welcome all

By: JF lover
Rais Nkuruzinza anajaribu kumuiga rais wa Ukraine kwa ku-export matatizo yake kwa urusi. Akijaribu kufanya hivyo ataumia vibaya sana na atakosa msaada kutokana na jeuri yake na mwisho wa siku atajikuta ICC
 
Believe or not, Rwanda has more enemies within than outside!
In addition Kagame haelewani na Uganda kwa sababu M7 anaunga mkono wapinzani wa PK including Gen Kayumba Nyamwasa. Sasa PK kuwa kwenye mgogoro na Nkurunziza ni kujiongezea matatizo.
Kwa sasa Burundi wanapata misaada ya kiuchumi na ulinzi kutoka SA, China, Russia, Libya & Misri. Pia yeyote akubali au asikubali, Tanzania ni rafiki mkubwa wa Burundi kuliko Rwanda.
PK anatiwa jeuri na US, Israel, UK, Canada, Australia pamoja na baadhi ya nchi za umoja wa ulaya.

Hivi Nkurunzinza sisi si ndio tulimrudisha kukalia tena kiti walipomtikisa! Ama saiv tumehamia upande wa pili, airtel!
 
Sasa mwambie PK aka

Mimi bado nasubiri kuona kwa macho. Kagame atie tu mguu ndani ya Burundi then tuone mbabe ni nani!
Hahah Burundi huyu huyu aliyepinduliwa kizembe akiwa Tz mpk JW ikamrudisha ndiye unaona anaweza vita?hivi Burundi chini ya Nkurunziza ilishawahi kupigana vita wapi na ikashinda?
 
Hizi taarifa ni za kweli ila walijitahidi sana kuzificha!
Ndiyo maana huko juu nimeandika 'PK ana maadui wengi ndani ya nchi yake kuliko walioko nje'!
Thread hii hapa Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda - JamiiForums
iliwekwa hapa eti waasi wamekaribia Kigali sijui nini nikawauliza mnatoa siku ngapi waasi watakua wamechukua nchi?

Si ni Burundi ilikua inalalamika kwamba RDF wanazuga kuvamiwa msituni huko karibu na mpaka wao na Burundi ili ipate sababu ya kuingia ndani ya Burundi?
 
Mbaya zaidi hao drc uganda na hiyo burundi majeshi yao ni wazoefu kwenye vita uganda wanajeshi wao wanajulikana wazoefu kwenye vita Drc wamepata uzoefu nyumbani kwao na hawaipendi Rwanda kwasababu kila mara inawavuruga burundi nao wako kwenye uzoefu wa kurinda amani hata somaria wapo angalia Rwanda ananinj sasa na mbaya zaidi woote wamemzunguka Rwanda
Mkuu Burundi ni wazoefu wa vita?Hebu tuwekee hapa vita ambavyo Burundi chini ya Nkurunziza imepigana ikavishinda?

Drc wana uzoefu wa vita?aisee hapo ndio haupo serious wale ni mdebwedo hawajawahi kua na ujasiri wa kupigana zaidi ya kujua kukata mauno(ndomboroo) na kuja kusuka dada zetu huku dar ila kwny vita hamna kitu hapo.Afu kusema Rwanda inawavuruga Congo si kweli ila Congo wao ndio walianza kuwachokoza Rwanda kwa kuwapokea waliofanya Genocide miaka ile na kuwaruhusu waanzishe training camps ndani ya Congo,na kilicjofuata ndio mpk leo hawakai kwa amani.

Uganda wao huyo PK anawajua mpk chumbani kwao,huyo PK si ndio former CMI wa Uganda sio?Unajua kwanini IGP wa Uganda alifukuzwa kazi na kesi juu mahakamani?
 
M23 ilipigana na combination ya majeshi ya nchi 3 (South Africa+Tanzania+Malawi) ulitegemea nini hapo?
Sio kwamba walipigwa na jw peke yake?

why jw wanaona kama hyo ni victory kwao na haliyakuwa walipoteza commando wao na jw haikupata kamanda ata mmoja wa M23
 
Sio kwamba walipigwa na jw peke yake?

why jw wanaona kama hyo ni victory kwao na haliyakuwa walipoteza commando wao na jw haikupata kamanda ata mmoja wa M23
Possibly sababu ya Ugomvi kipindi kile kati ya PK na JK ndio maana ilionekana ni ka-vita flani ka kiaina kati ya M23(Rwanda) vs JW(Tz) lkn ile mambo ingeendelea ingezusha proxy war.,sijui ni kwanin SA/Malawi hua hawaongelei hio operation ya kuwafyekelea mbali M23.

Jiulize swali rahisi kama kweli PK na M7 wana ugomvi iweje wale jamaa wa M23 majority walikimbilia hapo Uganda na hata yule Bosi wa M23 Makange alienda zake Uganda tena akisindikizwa na nasafara wa Kijeshi?

RIP commando Mlima.
 
hii vita ikitokea kweli Tanzania tunaweza kunufaika sana kuliko tunavyofikiria kwanza zana nyingi za kivita zitapitia bandarini kwetu na mamia ya wakimbizi watakuja kwenye kambi zetu kwa hiyo ajira njenje na kwa maaskari walioko mipakani pesa ni za kujiokotea kabisa kutoka kwa hao wakimbizi kwahiyo kama mimi ningekuwa ndio nawashauri ningewashauri waanze kutwangana hata Jana asubuhi
Alafu baada ya kupata vyote unavyosema tutaanza tena kuvamiwa kwenye mabasi ya abiria saa 10 jioni tunavuliwa nguo mbele za watoto, na wakwe zetu tukiimbishwa mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe?

Tuanze kuangaika na kukusanya silaha haramu na magonjwa ya milipuko huko kanda ya ziwa?

Ngoja tu niheshimu maoni yako japo yameniweka njia panda kifikra.
 
Back
Top Bottom