Hali ya hewa leo Dar

Uduguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kitawaka moto
Uduguuuu kimepashwaa sio mchezooo, yaan acha kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwanini usifikie kwangu unaenda kwa lishangazi
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, huyu demu napenda akili zake kwa kweli ukifuatilia post zake tu inatosha kukuaminisha sasa mi nataka kuona kama yaliyomo yamo. 😁😁😁

. Ww kujuana jf na kf huku kunatosha kabisa
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, huyu demu napenda akili zake kwa kweli ukifuatilia post zake tu inatosha kukuaminisha sasa mi nataka kuona kama yaliyomo yamo. 😁😁😁

. Ww kujuana jf na kf huku kunatosha kabisa
unataka maleziπŸ˜†
 
unataka maleziπŸ˜†
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, wala hata kujuliana hali tu ndo muhimu. No mooore

Malezi yapo huku mkuu unakutana na lishangazi. Mlimani city lina v8 ya 2022, mme wake kafa hela imo hajui aitumieje 😎😎😎😎.

Hapo ndo utaona dunia yako hii mishangazi ya jf mingi ni njaa njaa tu sasa mpaka mtu anaishi nyumba ya kupanga humo huyo unamuitaje shangazi huyo ni mbibi tena kokoo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Siku uje dar dogo uone wanawake wenye hela waliokosa dyudyu la kuwakuna vyedi 😁
 
arusha ndo wamejaa wake za watu wa EACπŸ˜‚ na UN, mererani, NCAA

njoo dogo ule bata
 
arusha ndo wamejaa wake za watu wa EACπŸ˜‚ na UN, mererani, NCAA

njoo dogo ule bata
Kuna juju, humo mke wa mtu sumu. Saivi na deal na wajane wenye hela. 😁😎

Hao wa EAC na UN si waume zao wanatembea na risasi sio?

Kuwa makini dogo. Wajane watamu bana 😬
 
Hii baridi haitaki chai
 
Uzi Murua kabisa,,, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…