Hali ya hewa leo Dar

Hali ya hewa leo Dar

Uduguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kitawaka moto
Uduguuuu kimepashwaa sio mchezooo, yaan acha kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
unataka malezi😆
😅😅😅, wala hata kujuliana hali tu ndo muhimu. No mooore

Malezi yapo huku mkuu unakutana na lishangazi. Mlimani city lina v8 ya 2022, mme wake kafa hela imo hajui aitumieje 😎😎😎😎.

Hapo ndo utaona dunia yako hii mishangazi ya jf mingi ni njaa njaa tu sasa mpaka mtu anaishi nyumba ya kupanga humo huyo unamuitaje shangazi huyo ni mbibi tena kokoo 😅😅😅😅.

Siku uje dar dogo uone wanawake wenye hela waliokosa dyudyu la kuwakuna vyedi 😁
 
arusha ndo wamejaa wake za watu wa EAC😂 na UN, mererani, NCAA

njoo dogo ule bata
 
Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.

Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.

Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.

Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.

Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mimi nipo na series ya Citadel hapa karibuni[emoji8]
Hii baridi haitaki chai
 
Uzi Murua kabisa,,, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom